Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Ndio latest stats sasa tena 2023, unayo zaidi inayopingana na hiyo au una empty words?

Suala la kwenda church ni mtambuka, mbona kuna muslim kibao na msikitini hawakanyagi?
Unajua maana ya nominal?..hapo sensa imepita mtu kaulizwa dini kasema christian lakini anaunga mkono ushoga na anaita bible ni bed time storybook
 
Uwingi wa Washirika kanisani, MUNGU huwa haimsumbui,

Yeye huhesabu waliojikana na kuishi utakatifu

Wakati wewe ukijisifu uwingi wa watu msikitini, Ujuwe kuwa, MUNGU huwatambua wale tu waliojikana na kumfuasa haswa kwa dhati ya mioyo yao

Wengine ndo hivo, huishia kuvaa mabomu tu na kuhukumu viumbe wa Mungu aliyekataa kisasi!

Unauhakika wa kuiona pepo Takatifu au iliyochafukwa na bikira 72 kwa dinyana?
 
Nani alikudanganya wewe?Wahimize nduguzo warudi makwao.Ulaya na Amerika hamtakiwi.Second class creatures!
Hata hao wazungu wamevamia maeneo mengi yasiyo yao.
Hivi unajua kuwa AUSTRALIA NI YA WATU WEUSI??
Hivi unajua USA sio ya Watu weupe ni ya red Indies na Caucasians!??
 
Unajua maana ya nominal?..hapo sensa imepita mtu kaulizwa dini kasema christian lakini anaunga mkono ushoga na anaita bible ni bed time storybook
Come on man kwamba waliofsnya sensor walikosea, wewe ndio unaejua kuzidi mamlaka husika?
suala la ushoga america ni society yao regardless dini. Mle kuna atheist , kuna muslim mle mle,kuna christians , kuna kila dini kuna kila jamii

And wao haliwasumbui, halididimizi uchumi wao wanaona poa tu.
 
Hata hao wazungu wamevamia maeneo mengi yasiyo yao.
Hivi unajua kuwa AUSTRALIA NI YA WATU WEUSI??
Hivi unajua USA sio ya Watu weupe ni ya red Indies na Caucasians!??
kuna zmungu gani kaandika barua azaliwa Ulaya? halafu wakiristo wa Jf sijui akili zao zipo vipi. nani mtu msomi anacomment za mtoto wa mdogo kabisa
 
Pia usisahau ni makafiri hao hao kama uwaitavyo wewe ndo waliwavamia hao unaowaita waislam na kuwapiga mabomu,halafu wakakimbilia huko unakosema ulaya,Angalia historia nikwanini hao waislamu walikimbilia maulaya,Kabla ya kulalamika na kuonyesha chuki zako,tafuta ukweli,
Hakuna nchi ya waislamu waarabu ambao hawapigwa mabomu na wazungu wanaohama kwa makundi kuelekea ulaya,
 
We kweli kichaa nenda UAE katazame wazungu wako kiasi gani, afu nenda Saud Arabia, Kuwait, Qatar, Baharain. Iraq, Jordan. Oman, Egypt,
Morocco afu kawajumlishe warabu waliopa America. na Europe uone wapi wako zaidi. Hivi uliwahi kutembea nchi za kiarabu wazungu wengine wako desert wanapigwa na jua, na vumbi la mchanga na hawataki kurudi kwao πŸ˜„

We ukiona warabu kwenye mtaa flani unawahesabu hawafiki hata 50 unasema warabu wamekimbia kwao hahaha. Hao wazungu waliopo nchi za kiarabu? Inatosha wamarekani tu wako pale Qatar na Abu Dhabi wacha Dubai ina cover warabu wote waliopo Europe. Hata Syria wamejidai kwenda kuwasaidia wapinzani wa Assad kumbe wamenda iba na hawataki kutoka.

Dogo wanakuambia usirushie wenzake mawe kwenye majumba yao wakati nyumba yako ni vigaye au vioo.
 
Hawajaenda huko kama wakimbizi na hawaleti fujo.Wanatumia dollars zao tu.
 
Katika uislam ni dhambi kuishi katika nchi ambazo sio za kiislam..
 
UAE ni eneo ambalo limewekwa kuwa kama ilivyokuwa Efeso ya zamani,

Kuliweka huru kwa mtu yeyote mwenye pesa, jangiri, fisadi n.k kuruhusu kununua eneo na kuishi hapo kwa mtu yeyote bila bughudha
 
Tarizo ni madrasa, elimu ndogo. Mimi siwezi kwenda Iran, hata kwa kila kitu bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, siendi maana siwaamini , si wenzangu, si wenzetu.
 
And they are taking over the whites
 
si watalii hao? we vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…