Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Nani alikudanganya wewe?Wahimize nduguzo warudi makwao.Ulaya na Amerika hamtakiwi.Second class creatures!sisi waislam tunaamini dunia yote ni yetu binaadam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani alikudanganya wewe?Wahimize nduguzo warudi makwao.Ulaya na Amerika hamtakiwi.Second class creatures!sisi waislam tunaamini dunia yote ni yetu binaadam
Unajua maana ya nominal?..hapo sensa imepita mtu kaulizwa dini kasema christian lakini anaunga mkono ushoga na anaita bible ni bed time storybookNdio latest stats sasa tena 2023, unayo zaidi inayopingana na hiyo au una empty words?
Suala la kwenda church ni mtambuka, mbona kuna muslim kibao na msikitini hawakanyagi?
Nafahamu hilo ndio ila Ottoman Empire imevunjika vita ya kwanza ya dunia.Ottoman imetawala Ulaya kwa zaidi ya Miaka 400, sijui kama unafahamu historia vizuri
Uwingi wa Washirika kanisani, MUNGU huwa haimsumbui,Uislamu ni dini ya pili kwa ukubwa baada ya Ukristo kwa sasa lakini inakua kwa haraka sana.
Hata hivyo hilo huenda likabadilika iwapo mwenendo wa watu wanaojiunga na dini hiyo utaendelea, kulingana na utafiti uliochapishwa na kituo cha utafiti cha Marekani Pew Research Center.
Kulingana na utafiti huo Uislamu unakuwa kwa haraka ikilinganishwa na dini nyengine yoyote ile duniani.
Itaipiku dini ya Kikristo ifikiapo 2070 kulingana na makadirio yake na hivyobasi kuwa dini yenye ufuasi mkubwa duniani.
Kuna mzungu katengeza mbingu? Kuna mzungu kaunda bahari? Kuna mzungu kaunda nyota? zote si kazikuta? halafu mkiristo gani wewe bwege hivyo? unaakili za kuku kabisa?Nani alikudanganya wewe?Wahimize nduguzo warudi makwao.Ulaya na Amerika hamtakiwi.Second class creatures!
Hata hao wazungu wamevamia maeneo mengi yasiyo yao.Nani alikudanganya wewe?Wahimize nduguzo warudi makwao.Ulaya na Amerika hamtakiwi.Second class creatures!
Come on man kwamba waliofsnya sensor walikosea, wewe ndio unaejua kuzidi mamlaka husika?Unajua maana ya nominal?..hapo sensa imepita mtu kaulizwa dini kasema christian lakini anaunga mkono ushoga na anaita bible ni bed time storybook
kuna zmungu gani kaandika barua azaliwa Ulaya? halafu wakiristo wa Jf sijui akili zao zipo vipi. nani mtu msomi anacomment za mtoto wa mdogo kabisaHata hao wazungu wamevamia maeneo mengi yasiyo yao.
Hivi unajua kuwa AUSTRALIA NI YA WATU WEUSI??
Hivi unajua USA sio ya Watu weupe ni ya red Indies na Caucasians!??
Pia usisahau ni makafiri hao hao kama uwaitavyo wewe ndo waliwavamia hao unaowaita waislam na kuwapiga mabomu,halafu wakakimbilia huko unakosema ulaya,Angalia historia nikwanini hao waislamu walikimbilia maulaya,Kabla ya kulalamika na kuonyesha chuki zako,tafuta ukweli,🤣🤣
Acha tu nianze na kicheko
Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian
Nchi za Ulaya na Marekani huitwa nchi za Makafiri kwa sababu Dini ya dini yao huko ni tofauti na aliyonayo mwarabu ambayo kwa hiyo, huwaita watu huko makafiri
Cha ajabu ni kwamba, hawa watu kila leo wanawaza kwenda ulaya kuishi huko kwa makafiri!
Swali ni Je, unaanzaje kuita nchi za watu ni nchi za Makafiri na wakati huo huo unapanga kufia huko kwa makafiri na kuzikwa kwenye nchi ambazo kwa wewe unaziona ni za laana maana zimekaliwa na makafiri
Kila mtu akae kwao.Mtulie kwenu.Kuna mzungu katengeza mbingu? Kuna mzungu kaunda bahari? Kuna mzungu kaunda nyota? zote si kazikuta? halafu mkiristo gani wewe bwege hivyo? unaakili za kuku kabisa?
We kweli kichaa nenda UAE katazame wazungu wako kiasi gani, afu nenda Saud Arabia, Kuwait, Qatar, Baharain. Iraq, Jordan. Oman, Egypt,🤣🤣
Acha tu nianze na kicheko
Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian
Nchi za Ulaya na Marekani huitwa nchi za Makafiri kwa sababu Dini ya dini yao huko ni tofauti na aliyonayo mwarabu ambayo kwa hiyo, huwaita watu huko makafiri
Cha ajabu ni kwamba, hawa watu kila leo wanawaza kwenda ulaya kuishi huko kwa makafiri!
Swali ni Je, unaanzaje kuita nchi za watu ni nchi za Makafiri na wakati huo huo unapanga kufia huko kwa makafiri na kuzikwa kwenye nchi ambazo kwa wewe unaziona ni za laana maana zimekaliwa na makafiri
Hawajaenda huko kama wakimbizi na hawaleti fujo.Wanatumia dollars zao tu.We kweli kichaa nenda UAE katazame wazungu wako kiasi gani, afu nenda Saud Arabia, Kuwait, Qatar, Baharain. Iraq, Jordan. Oman, Egypt,
Morocco afu kawajumlishe warabu waliopa America. na Europe uone wapi wako zaidi. Hivi uliwahi kutembea nchi za kiarabu wazungu wengine wako desert wanapigwa na jua, na vumbi la mchanga na hawataki kurudi kwao 😄
We ukiona warabu kwenye mtaa flani unawahesabu hawafiki hata 50 unasema warabu wamekimbia kwao hahaha. Hao wazungu waliopo nchi za kiarabu? Inatosha wamarekani tu wako pale Qatar na Abu Dhabi wacha Dubai ina cover warabu wote waliopo Europe. Hata Syria wamejidai kwenda kuwasaidia wapinzani wa Assad kumbe wamenda iba na hawataki kutoka.
Dogo wanakuambia usirushie wenzake mawe kwenye majumba yao wakati nyumba yako ni vigaye au vioo.
UAE ni eneo ambalo limewekwa kuwa kama ilivyokuwa Efeso ya zamani,We kweli kichaa nenda UAE katazame wazungu wako kiasi gani, afu nenda Saud Arabia, Kuwait, Qatar, Baharain. Iraq, Jordan. Oman, Egypt,
Morocco afu kawajumlishe warabu waliopa America. na Europe uone wapi wako zaidi. Hivi uliwahi kutembea nchi za kiarabu wazungu wengine wako desert wanapigwa na jua, na vumbi la mchanga na hawataki kurudi kwao 😄
We ukiona warabu kwenye mtaa flani unawahesabu hawafiki hata 50 unasema warabu wamekimbia kwao hahaha. Hao wazungu waliopo nchi za kiarabu? Inatosha wamarekani tu wako pale Qatar na Abu Dhabi wacha Dubai ina cover warabu wote waliopo Europe. Hata Syria wamejidai kwenda kuwasaidia wapinzani wa Assad kumbe wamenda iba na hawataki kutoka.
Dogo wanakuambia usirushie wenzake mawe kwenye majumba yao wakati nyumba yako ni vigaye au vioo.
Tarizo ni madrasa, elimu ndogo. Mimi siwezi kwenda Iran, hata kwa kila kitu bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, siendi maana siwaamini , si wenzangu, si wenzetu.🤣🤣
Acha tu nianze na kicheko
Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian
Nchi za Ulaya na Marekani huitwa nchi za Makafiri kwa sababu Dini ya dini yao huko ni tofauti na aliyonayo mwarabu ambayo kwa hiyo, huwaita watu huko makafiri
Cha ajabu ni kwamba, hawa watu kila leo wanawaza kwenda ulaya kuishi huko kwa makafiri!
Swali ni Je, unaanzaje kuita nchi za watu ni nchi za Makafiri na wakati huo huo unapanga kufia huko kwa makafiri na kuzikwa kwenye nchi ambazo kwa wewe unaziona ni za laana maana zimekaliwa na makafiri
And they are taking over the whites🤣🤣

si watalii hao? we vipiWe kweli kichaa nenda UAE katazame wazungu wako kiasi gani, afu nenda Saud Arabia, Kuwait, Qatar, Baharain. Iraq, Jordan. Oman, Egypt,