Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Hawajaenda huko kama wakimbizi na hawaleti fujo.Wanatumia dollars zao tu.
Wamenda kwa vifaru na mandege ya kivita, we huoni hata aibu unacho ongea. US kavamia Iraq kwa uwongo. Yuko Syria kwa kuiba mali nikikuambia wewe ni kichaa unabisha. Hao wakimbizi nani sababu si wao wasinge vamia Iraq, Syria, Libya na kuchochea vita nani mwarabu angenda kwao. Uliwahi ona Mlibya wakati wa Gaddafi nje ya nchi yake.
 
Ulaya na marekani walishaachana na ukiristo,ni wapagani,halafu waislam hawawategemei wazungu kwa hayo,mwisho waarabu wanasilimisha wazungu huko ulaya na marekani, central London Mali nyingi ni za waislam,kwa hiyo tulia
Asilimia 75 (robo tatu) ya waislam wanaokimbilia nchi za magharibi huachana na mambo ya dini mara tu wanapofika huko na kuishi bila kufuata imani yoyote ya kidini.

Hivyo ina maana kwamba hata jamii ya waarabu wanaozamia huko hawapendi kufuata utamaduni wa kale wa kiarabu ila wanapenda kuwa huru. Binadamu hupenda kuwa huru na ni hulka yake ya asili.
 
Wewe hujui waislamu viziri unaropoka tu, jifunze waislamu na uislamu ndo uje uandike tena.
 
Vipi inakuuma ? Yani mtu mweusi upo sumbawanga unachukia muarabu kuishi ulaya aise
 
si watalii hao? we vipi
Watalii kumbe walienda Iraq na Syria kutalii. Kumbe wako kwenye base pale Qatar kutali na zile base za UAE na Saud Arabia yote ni utaliii au ni kuleta balaa hapo middle east

Si ana Carriers anataka ni base kama si ujambazi kumyonya pesa za warabu
 
MUONGO
 
Huu ni uwongo wa kujipa moyo,mwezi wa Ramadan na IDD tunaona viwanja vinafurika kuswali na vibe la kufunga ulaya na marekani
 
Hao wazungu pia wametapakaa nchi za kiarabu na kiislamu,ukienda Dubai wazungu wapo,ukienda Bahrain,wazungu wapo,ukienda Saudia wazungu wapo;ukienda Oman wazungu wapo,ukienda Qatar wazungu wapo,ikiwa wazungu wapo nchi hizo,wataka na wewe waarabu wasiende huko,wakati usafiri wa ndege ndio unapata abiria,na biashara za ndege na bidhaa zinafanyika baina ya mataifa.Tumia akili.Neno kafiri maana yake,ni mtu unayetofautiana naye kimtizamo.
 
Kwahio mlikua wavamizi ila bado hakukua kwenu,, na ndo mnachokifanya sahivi mnakua wavamizi ili mkazaane na wazungu mueneze uzao wenu
 
Mfumo wa kiislam (DAESH) ni mfumo ambao hypothetical na uliofeli. Hutumiwa na watu kunyanyasa wenzao lakini hautekelezeki. Ndio maana utaona watu wanakimbilia nchi za kidemokrasia
 
Ila hawajawaita waarabu kua ni makafiri, na kuwaponda kama vile wamelaaniwa
 
Na wazungu walioko nchi za kiarabu hawajastaraabika?Wazungu wako Dubai,wako Saudia,Wako Qatar,wako Bahrain,wako Oman,haw wazungu waioko huko hawajastarabika?Tumia akili,tembea uonewazungu walioko nchi za kiarabu ni wengi sana.
 
Ulitaka waende wapi wakati hao makafiri ndiyo wamewaletea vita kwenye nchi zao.

Iraq. Ilikuwa imetulia wameleta vita wamemua rais wao unataka waende wapi?

Libya?

Syria?

Afghanistan?

Somali?

Sudan?

Uturuki alichofanya alikuwa anawambia pitieni Uturuki😀
 
Wana haki wa kuishi popote kwanza hamna nchi ulaya nyie , kwenu pale vatican hamna muislamu ...USA sio nchi yenu ila wakimbizi wengi ni wakirsto , pale USA ni wapagapan ila kaangalie wakimbizi wa kikristo ndio wengi halafu mnasema nchi yenu kama inaongozwa na bible vile.

Mmesababisha vita na kupeleka demokrasia yenu ndio mliyataka hayo lazima ustaarabu wenu utakufa .
 
Ndio ulivyodanganywa madrasa na maalimu wako sio!!
 
Na wazungu walioko nchi za kiarabu hawajastaraabika?Wazungu wako Dubai,wako Saudia,Wako Qatar,wako Bahrain,wako Oman,haw wazungu waioko huko hawajastarabika?Tumia akili,tembea uonewazungu walioko nchi za kiarabu ni wengi sana.
Mkuu hukuipata point yangu.
Mzungu aendaye uarabuni ni kwasababu ya utafutaji,hivyo ataishi kulingana na tamaduni zake alizotoa nazo Ulaya.
Hata akifika bongo ni vivyo hivyo.
Tofautisha uishiji wa mwarabu na mzungu ni two differ things.
Mzungu popote aendapo huwezi kumbadilisha civilization yake kaaamwee.
Pia hapa nimezungumza mataifa mengi yenye machafuko kama Syria,Yemeni,Iraq sisemi mimi ila nasema walichosema wanawake wao wenyewe wa kiarabu kuwa jamii ya kiarabu ina Poor beliefs and customs.
Ambazo nyingi ni gender oppressive.
Katafute hata documentaries zake Al-Jazeera uangalie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…