mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
DUNIA YA MUNGU SIO YA MAKAFIRI.muislam ana haki ya kuishi popote kwenye hii dunia .NA SHARIA ITASIMAMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamenda kwa vifaru na mandege ya kivita, we huoni hata aibu unacho ongea. US kavamia Iraq kwa uwongo. Yuko Syria kwa kuiba mali nikikuambia wewe ni kichaa unabisha. Hao wakimbizi nani sababu si wao wasinge vamia Iraq, Syria, Libya na kuchochea vita nani mwarabu angenda kwao. Uliwahi ona Mlibya wakati wa Gaddafi nje ya nchi yake.Hawajaenda huko kama wakimbizi na hawaleti fujo.Wanatumia dollars zao tu.
Asilimia 75 (robo tatu) ya waislam wanaokimbilia nchi za magharibi huachana na mambo ya dini mara tu wanapofika huko na kuishi bila kufuata imani yoyote ya kidini.Ulaya na marekani walishaachana na ukiristo,ni wapagani,halafu waislam hawawategemei wazungu kwa hayo,mwisho waarabu wanasilimisha wazungu huko ulaya na marekani, central London Mali nyingi ni za waislam,kwa hiyo tulia
Wewe hujui waislamu viziri unaropoka tu, jifunze waislamu na uislamu ndo uje uandike tena.Asilimia 75 (robo tatu) ya waislam wanaokimbilia nchi za magharibi huachana na mambo ya dini mara tu wanapofika huko na kuishi bila kufuata imani yoyote ya kidini.
Hivyo ina maana kwamba hata jamii ya waarabu wanaozamia huko hawapendi kufuata utamaduni wa kale wa kiarabu ila wanapenda kuwa huru. Binadamu hupenda kuwa huru na ni hulka yake ya asili.
Vipi inakuuma ? Yani mtu mweusi upo sumbawanga unachukia muarabu kuishi ulaya aise🤣🤣
Acha tu nianze na kicheko
Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian
Nchi za Ulaya na Marekani huitwa nchi za Makafiri kwa sababu Dini ya dini yao huko ni tofauti na aliyonayo mwarabu ambayo kwa hiyo, huwaita watu huko makafiri
Cha ajabu ni kwamba, hawa watu kila leo wanawaza kwenda ulaya kuishi huko kwa makafiri!
Swali ni Je, unaanzaje kuita nchi za watu ni nchi za Makafiri na wakati huo huo unapanga kufia huko kwa makafiri na kuzikwa kwenye nchi ambazo kwa wewe unaziona ni za laana maana zimekaliwa na makafiri
Watalii kumbe walienda Iraq na Syria kutalii. Kumbe wako kwenye base pale Qatar kutali na zile base za UAE na Saud Arabia yote ni utaliii au ni kuleta balaa hapo middle eastsi watalii hao? we vipi
Miafrica mengine noma aisay.Vipi inakuuma ? Yani mtu mweusi upo sumbawanga unachukia muarabu kuishi ulaya aise
MUONGOKatika karne ya 7 na 8, Uislamu, uliingia Ulaya kupitia eneo la Hispania (nchi za leo za Hispania na Ureno). Waislamu walidhibiti sehemu kubwa ya Peninsula ya Iberia kwa muda wa karne tatu, kuanzia mwaka 711 hadi 1492. Katika kipindi hiki, Waislamu walikuwa na ushawishi mkubwa katika utamaduni, sayansi, na elimu barani Ulaya. HAPA WAZUNGU WAKIVAA MAGUNIA
Huu ni uwongo wa kujipa moyo,mwezi wa Ramadan na IDD tunaona viwanja vinafurika kuswali na vibe la kufunga ulaya na marekaniAsilimia 75 (robo tatu) ya waislam wanaokimbilia nchi za magharibi huachana na mambo ya dini mara tu wanapofika huko na kuishi bila kufuata imani yoyote ya kidini.
Hivyo ina maana kwamba hata jamii ya waarabu wanaozamia huko hawapendi kufuata utamaduni wa kale wa kiarabu ila wanapenda kuwa huru. Binadamu hupenda kuwa huru na ni hulka yake ya asili.
Hao wazungu pia wametapakaa nchi za kiarabu na kiislamu,ukienda Dubai wazungu wapo,ukienda Bahrain,wazungu wapo,ukienda Saudia wazungu wapo;ukienda Oman wazungu wapo,ukienda Qatar wazungu wapo,ikiwa wazungu wapo nchi hizo,wataka na wewe waarabu wasiende huko,wakati usafiri wa ndege ndio unapata abiria,na biashara za ndege na bidhaa zinafanyika baina ya mataifa.Tumia akili.Neno kafiri maana yake,ni mtu unayetofautiana naye kimtizamo.🤣🤣
Acha tu nianze na kicheko
Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian
Nchi za Ulaya na Marekani huitwa nchi za Makafiri kwa sababu Dini ya dini yao huko ni tofauti na aliyonayo mwarabu ambayo kwa hiyo, huwaita watu huko makafiri
Cha ajabu ni kwamba, hawa watu kila leo wanawaza kwenda ulaya kuishi huko kwa makafiri!
Swali ni Je, unaanzaje kuita nchi za watu ni nchi za Makafiri na wakati huo huo unapanga kufia huko kwa makafiri na kuzikwa kwenye nchi ambazo kwa wewe unaziona ni za laana maana zimekaliwa na makafiri
Kwahio mlikua wavamizi ila bado hakukua kwenu,, na ndo mnachokifanya sahivi mnakua wavamizi ili mkazaane na wazungu mueneze uzao wenuKatika karne ya 7 na 8, Uislamu, uliingia Ulaya kupitia eneo la Hispania (nchi za leo za Hispania na Ureno). Waislamu walidhibiti sehemu kubwa ya Peninsula ya Iberia kwa muda wa karne tatu, kuanzia mwaka 711 hadi 1492. Katika kipindi hiki, Waislamu walikuwa na ushawishi mkubwa katika utamaduni, sayansi, na elimu barani Ulaya. HAPA WAZUNGU WAKIVAA MAGUNIA
Ila hawajawaita waarabu kua ni makafiri, na kuwaponda kama vile wamelaaniwaHao wazungu pia wametapakaa nchi za kiarabu na kiislamu,ukienda Dubai wazungu wapo,ukienda Bahrain,wazungu wapo,ukienda Saudia wazungu wapo;ukienda Oman wazungu wapo,ukienda Qatar wazungu wapo,ikiwa wazungu wapo nchi hizo,wataka na wewe waarabu wasiende huko,wakati usafiri wa ndege ndio unapata abiria,na biashara za ndege na bidhaa zinafanyika baina ya mataifa.Tumia akili.Neno kafiri maana yake,ni mtu unayetofautiana naye kimtizamo.
Na wazungu walioko nchi za kiarabu hawajastaraabika?Wazungu wako Dubai,wako Saudia,Wako Qatar,wako Bahrain,wako Oman,haw wazungu waioko huko hawajastarabika?Tumia akili,tembea uonewazungu walioko nchi za kiarabu ni wengi sana.Sababu kuu zinazofanya waarabu kukimbilia hifadhi nchi za wazungu ni CIVILIZATION ukiachana na vijisababu vingine.
Jamii ya kiarabu ni uncivilized,mpaka sasa bado wana mila ama tamaduni za mfumo dume na kukandamiza wanawake.
Mfano mwanamke wa kiarabu kutwangwa magumi na mumewe kawaida ila Ulaya kosa la jinai.
Binti wa kiarabu akibakwa badala ya mbakaji ahukumiwe ila binti anazikwa akiwa hai eti kuikoa familia na fedheha na aibu.
Waarabu wana bado mila potofu wanaziishi hadi sasa.
Tafuta hata documentaries za vyombo vikubwa vya habari hasa uone wanawake wa Syria wanavyoona kama wameokoka kuja Ulaya,yote ni kwasababu ya POOR TABOOS za waarabu.
Waarabu bado HAWAJASTAARABIKA.
Ulitaka waende wapi wakati hao makafiri ndiyo wamewaletea vita kwenye nchi zao.🤣🤣
Acha tu nianze na kicheko
Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian
Nchi za Ulaya na Marekani huitwa nchi za Makafiri kwa sababu Dini ya dini yao huko ni tofauti na aliyonayo mwarabu ambayo kwa hiyo, huwaita watu huko makafiri
Cha ajabu ni kwamba, hawa watu kila leo wanawaza kwenda ulaya kuishi huko kwa makafiri!
Swali ni Je, unaanzaje kuita nchi za watu ni nchi za Makafiri na wakati huo huo unapanga kufia huko kwa makafiri na rkuzikwa kwenye nchi ambazo kwa wewe unaziona ni za laana maana zimekaliwa na makafiri
Unemaliza mjadala.Wameenda kuwakazia wanawake wao maana wazungu wengi ni mashoga.
Ndio ulivyodanganywa madrasa na maalimu wako sio!!Katika karne ya 7 na 8, Uislamu, uliingia Ulaya kupitia eneo la Hispania (nchi za leo za Hispania na Ureno). Waislamu walidhibiti sehemu kubwa ya Peninsula ya Iberia kwa muda wa karne tatu, kuanzia mwaka 711 hadi 1492. Katika kipindi hiki, Waislamu walikuwa na ushawishi mkubwa katika utamaduni, sayansi, na elimu barani Ulaya. HAPA WAZUNGU WAKIVAA MAGUNIA
Mkuu hukuipata point yangu.Na wazungu walioko nchi za kiarabu hawajastaraabika?Wazungu wako Dubai,wako Saudia,Wako Qatar,wako Bahrain,wako Oman,haw wazungu waioko huko hawajastarabika?Tumia akili,tembea uonewazungu walioko nchi za kiarabu ni wengi sana.