Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Hili Andiko lako LIMEIMARISHA IMANI YANGU KWA YESU!
Yaani ALICHO TUFUNDISHA KINATIMIA NA TUNAKISHUHUDIA KWA MACHO YETU! 💪👍🤝
👇👇
English Swahili. Matthew 7:13-15
[13]Enter ye in at the strait gate: for wide is the gate, and broad is the way, that leadeth to destruction, and many there be which go in thereat:
Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo.

[14]Because strait is the gate, and narrow is the way, which leadeth unto life, and few there be that find it.
Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.

[15]Beware of false prophets, which come to you in sheep's clothing, but inwardly they are ravening wolves.
Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.
 
Kwenye ELIMU hapa umetupanga sana.

ELIMU pekee mnayoijua na mnaiamini ninyi ni MADRASA hii nyingine mnaita ILIMU DUNIA.

MADRASA ndio uwe mgunduzi wa teknolojia?
 
Inabidi dunia nzima inanzishwe "operesheni fukuza waarabu warudi ma kwao" na UK ndo washaanza mdogo mdogo itahamia USA. Hawa watu wanaharibu amani kila wanapoingia.
 
Dunia nzima ni kwaajili ya waislam na siyo kwaajili ya kuffar hao unaosema ni nchi yao wanatakiwa waondoke dunia hii wakatafute sehemu ya kuishi.
 
Imekusaidia nini mbona kama bado unanawa kira wakati na visigino havitakati .......eti kisa unatia uzu ? Uislam mzigo wewe kuvaa dera every time eti suna ......umekatwa govi au??????
 
Inabidi dunia nzima inanzishwe "operesheni fukuza waarabu warudi ma kwao" na UK ndo washaanza mdogo mdogo itahamia USA. Hawa watu wanaharibu amani kila wanapoingia.
Huko usa akishinda Trump, ndio itakuwa balaa. Maana yeye kasema akiapishwa anaanzisha msako wa immigrants wote waliopo usa pamoja na extremist wote.
 
Mkuu priority ya Hayati Lowassa katika kuwania urais ilikua;

1.ELIMU

2.ELIMU

3.ELIMU

Hawa ndugu zetu bongo zao zimetawaliwa na udini tu na wamekosa elimu kichwani wameshika MADRASA pekee.
 
Ukikaa vizuri ukaamua kumsikiliza muislam anayeswali swala 5 utagundua hana akili timamu

Dini yao inafundisha chuki na mauaji kwa wasioabudu upande wao. Ni waislamu wachache wanaojitambia nawafahamu hawafati ujinga huo wanasali vizuri na wanawaheshimu sana wasiowaislamu.
 
Jibu swali kwanini hao walioko vitani hawakimbilii kwa waislamu wenzao? Instead wanakumbilia kwa makafiruna?
 
63%!?.. kwenye christian country for centuries!!..na hiyo ni nominal siyo practical,ukiwauliza waenda kanisani j2 utakuta ni wazee tu,nilikuwekea article inayoknesha decline ya Christianity ulaya
Unashangaa Nini wakati miskitini Safu hazijai!; ni ni wale wale wachache licha ya Azana za vitisho Kila siku!
Utasikia Alfajiri!; swalaaa swalaa swalaa....hicho chumba ulicho lala ni kaburi na hicho KITANDA ni jeneza....muachie Huyo atakuponza swala swala swalaaaaa!
vitishi vyote wanauchapa usingizi na kupata Cha Asubuhi kama Kawa😆😆😆😆😆
 
Jibu swali kwanini hao walioko vitani hawakimbilii kwa waislamu wenzao? Instead wanakumbilia kwa makafiruna?
Wapo wanaokimbilia arabuni.
Na ripoti ya mwisho inaonesha UTURUKI na QATAR ndio mataifa yaliyoongoza kupokea wakimbizi wa kiarabu hasa kutoka Syria na Iraq na Afghanistan.
Kuanzia 2021 kuja 2023 70% ya wakimbizi wa kiarabu wamekimbilia Arabuni hasa Qatar na Uturuki.
 
DUNIA YA MUNGU SIO YA MAKAFIRI.muislam ana haki ya kuishi popote kwenye hii dunia .NA SHARIA ITASIMAMA

Huyo unaemuita kafir ndiye aliyekutengenezea simu yako hapo na huu mtandao uko chini yake. Jifunzeni kuheshimu imani, Miiko na taratibu za watu wengine!
 
Jibu swali kwanini hao walioko vitani hawakimbilii kwa waislamu wenzao? Instead wanakumbilia kwa makafiruna?
Inatakiwa wakimbilie huko, Saudi Arabia, Qatar, UAE, Oman, Yemen, Uturuki, Pakistan, Lebanon, Bahrain, Egypt, Algeria, Morocco, Tunisia, Iran n.k wakimbilie nchi za kiislam zinazofuata sheria za kiislam.
Kwenda kwenye nchi za watu, ukaanza kuwapangia maisha na kuwaita makafiri eti kisa hawasomi na kuamini kipotoshi cha kiarabu, ni chanzo cha migogoro.
 
Acha netanyahu awafundishe adabu huko mpaka wajitambue kuheshimu Imani, taratibu, Utu na miiko ya watu wengine.
 
Huyo unaemuita kafir ndiye aliyekutengenezea simu yako hapo na huu mtandao uko chini yake. Jifunzeni kuheshimu imani, Miiko na taratibu za watu wengine!
Vyovyote vile.HAIFUTI UKWELI KUWA WAO NI MAKAFIRI. na sio ubaya kuitwa kafiri.maana hawamuamini ALLAH.
 
Vyovyote vile.HAIFUTI UKWELI KUWA WAO NI MAKAFIRI. na sio ubaya kuitwa kafiri.maana hawamuamini ALLAH.

Safi ni vizuri, Ila kuingia nchi za hao makafiri na kuwaforce wafate utaratibu wenu ilhali nyinyi mna nchi zenu zenye sharia na mnazikimbia basi nyinyi ndo mnapaswa kuitwa Makafir Plus! Netanyahu anawatia adabu watu kama nyinyi.
 
Bila uislamu dunia ingekuwa nyuma sana,ugunduzi wa waislamu Al hawarithim na Algebra,ndio kila unachokiona,kupitia Information technology kimetegemea Algebra(jina la muislamu,aligundua algebra,hata wewe umesoms shule algebra(kama umesoma),bil wewe na wengine,brq ni mi kujua kama mgunduzi wa hesabu za Al jebra,bado hatujamgusa Avvecina(ibn sin).
Kwenye ELIMU hapa umetupanga sana.

ELIMU pekee mnayoijua na mnaiamini ninyi ni MADRASA hii nyingine mnaita ILIMU DUNIA.

MADRASA ndio uwe mgunduzi wa teknolojia?
Bila muislamu Algebra,leo dunia ingekuwa gizani kila unachokiona kinatokana na Information Technology;na IT inategemea Algebra(jina la muislamu,aliyegundua hesabu za algebra,umesoma algebra,bila kujua kuws aliyegundua ni muislamu.Na bado sijamfusa Avicina(ibn sina).Bado Khawarithim,bado kwenye Chemistry(kemia),alkaline zote ni muislamu,ndio ukaona zinaanza na Al.
Bila muislamu Algebra,kugundua hesabu za algebra,zinazotumika kwenye Information Technology,na kilavunqchokiona kilichotengenezwa na binadamu kinategemea IT,na IT inategemea Algebra,jina la huyo mginduzi muislamu.Kama umesoma shule,lazima usome algebra.Na hap bado hatujamgusa Avicina(ibn sin),Alkhawarithim,bado hatujagusa chemistry(krmia),kila ukiona alkaline(ujuwe hiyo Al ni.muislamu muarabu.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-08-04_165415.jpg
    322.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_2024-08-04_165409.jpg
    406 KB · Views: 1
  • Screenshot_2024-08-04_165403.jpg
    396 KB · Views: 1
  • Screenshot_2024-08-04_165352.jpg
    409 KB · Views: 1
  • Screenshot_2024-08-04_165342.jpg
    431.2 KB · Views: 1
Vyovyote vile.HAIFUTI UKWELI KUWA WAO NI MAKAFIRI. na sio ubaya kuitwa kafiri.maana hawamuamini ALLAH.
Kweli waislamu ni wapumbavu sana ni kweli hatumuamini ala sijui ara ila tunamuamini Mungu.
 
Safi ni vizuri, Ila kuingia nchi za hao makafiri na kuwaforce wafate utaratibu wenu ilhali nyinyi mna nchi zenu zenye sharia na mnazikimbia basi nyinyi ndo mnapaswa kuitwa Makafir Plus! Netanyahu anawatia adabu watu kama nyinyi.
Dunia nzima inatakiwa iwe na DINI MOJA.ambayo ni uislam
Tunawafundisha ustaarabu muache KUTEMBEA UCHI.na mumjue mungu mmoja wa kweli .msiabudu masanamu n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…