mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,169
- 9,054
Hili Andiko lako LIMEIMARISHA IMANI YANGU KWA YESU!Katika karne ya 7 na 8, Uislamu, uliingia Ulaya kupitia eneo la Hispania (nchi za leo za Hispania na Ureno). Waislamu walidhibiti sehemu kubwa ya Peninsula ya Iberia kwa muda wa karne tatu, kuanzia mwaka 711 hadi 1492. Katika kipindi hiki, Waislamu walikuwa na ushawishi mkubwa katika utamaduni, sayansi, na elimu barani Ulaya. HAPA WAZUNGU WAKIVAA MAGUNIA
Uislamu ni dini ya pili kwa ukubwa baada ya Ukristo kwa sasa lakini inakua kwa haraka sana.
Hata hivyo hilo huenda likabadilika iwapo mwenendo wa watu wanaojiunga na dini hiyo utaendelea, kulingana na utafiti uliochapishwa na kituo cha utafiti cha Marekani Pew Research Center.
Kulingana na utafiti huo Uislamu unakuwa kwa haraka ikilinganishwa na dini nyengine yoyote ile duniani.
Itaipiku dini ya Kikristo ifikiapo 2070 kulingana na makadirio yake na hivyobasi kuwa dini yenye ufuasi mkubwa duniani.
Yaani ALICHO TUFUNDISHA KINATIMIA NA TUNAKISHUHUDIA KWA MACHO YETU! 💪👍🤝
👇👇
English Swahili. Matthew 7:13-15
[13]Enter ye in at the strait gate: for wide is the gate, and broad is the way, that leadeth to destruction, and many there be which go in thereat:
Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo.
[14]Because strait is the gate, and narrow is the way, which leadeth unto life, and few there be that find it.
Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.
[15]Beware of false prophets, which come to you in sheep's clothing, but inwardly they are ravening wolves.
Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.