Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Unaweka mafunuo ambayo alipewa na Adui wa Jibril ambayo hayana Sifa ya Kuwa rejea labda Kwa watunga mashairi🙄😜
👂👂
قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Hii Hadithi Ina mlingano na hiyo ayat
👇👇
Umdah al-Ahkam: Juz. 3, Hadithi Na. 460] “Imepokewa na Anas Ibn Malik “Nimesikia kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akisema: allah ni Shetani katika sura ya Malaika aliyeniteremshia Aya na kitabu chake Quran na mimi. 'mimi nabii wake

رواه أنس ابن مالك “سمعت من رسول الله صلى الله عليه وسلم أنه” كان الله شيطان شكل ملاك كشف لي الآيات وكتابه القرآن وأنا نبي.

Nataka USHAHIDI KAMA HUU MWENYEZI MUNGU ALIPO MTUMA MUSA!
👇👇
Kutoka:3:1-10
1 Basi huyo Musa alikuwa akilichunga kundi la Yethro mkwewe, kuhani wa Midiani; akaliongoza kundi nyuma ya jangwa, akafika mpaka mlima wa Mungu, hata Horebu.

2 Malaika wa Bwana akamtokea, katika mwali wa moto uliotoka katikati ya kijiti; akatazama, na kumbe! Kile kijiti kiliwaka moto, nacho kijiti hakikuteketea.

3 Musa akasema, Nitageuka sasa, niyaone maono haya makubwa, na sababu kijiti hiki hakiteketei.

4 Bwana alipoona ya kuwa amegeuka ili atazame, Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kijiti, akasema, Musa! Musa! Akasema, Mimi hapa.

5 Naye akasema, Usikaribie hapa; vua viatu vyako miguuni mwako; maana mahali hapo unaposimama ni nchi takatifu.

6 Tena akasema, Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo. Musa akaficha uso wake; kwa maana aliogopa kumwangalia Mungu.

7 Bwana akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao;

8 nami nimeshuka ili niwaokoe na mikono ya Wamisri, niwapandishe kutoka nchi ile, hata nchi njema, kisha pana; nchi ijaayo maziwa na asali; hata mahali pa Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi.

9 Basi, tazama, kilio cha wana wa Israeli kimenifikilia; tena nimeyaona hayo mateso ambayo Wamisri wanawatesa.

10 Haya, basi, nitakutuma sasa kwa Farao, ili upate kuwatoa watu wangu,

Na muham mad aka allah amecopy na kuwatupia?
👇🏼👇🏼
T'AHA!.
وَهَلْ أَتَاكَ حَدِيثُ مُوسَىٰ(9)

Na je! Imekufikia hadithi ya Musa?
إِذْ رَأَىٰ نَارًا فَقَالَ لِأَهْلِهِ امْكُثُوا إِنِّي آنَسْتُ نَارًا لَّعَلِّي آتِيكُم مِّنْهَا بِقَبَسٍ أَوْ أَجِدُ عَلَى النَّارِ هُدًى(10)

Alipo uona moto, akawaambia watu wake: Ngojeni! Mimi nimeuona moto, huenda nikakuleteeni kijinga kutoka huo moto, au nikapata uongofu kwenye moto.
فَلَمَّا أَتَاهَا نُودِيَ يَا مُوسَىٰ(11)

Basi alipo ufikia akaitwa: Ewe Musa!
إِنِّي أَنَا رَبُّكَ فَاخْلَعْ نَعْلَيْكَ ۖ إِنَّكَ بِالْوَادِ الْمُقَدَّسِ طُوًى(12)

Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa.
وَأَنَا اخْتَرْتُكَ فَاسْتَمِعْ لِمَا يُوحَىٰ(13)

Nami nimekuteua wewe; basi sikiliza unayo funuliwa.

Nasubiri majibu ya nani Mungu aliyesema kwenye , Kutoka, , Exodus

Wakati nikisubiri jibu Pata daawa hii

View: https://youtube.com/shorts/tyAzd471uOw?si=R7_2h3I9x2RaPkjx
 
Mwarabu mwenye kuvaa mabomu kujilipua anafanana na wewe?
Kwann wakristo waafika wana a very short minded.

Kwa vipi mnakuwa rahisi kukubali uongo uliotengenezwa kurahisi sana (Disinformation).

Anyway endeleeni

Kuna manabii wako wataendelea kuwapatanisha na Mungu kwa wajibu wao wa ukuhani kama hawa.

View: https://x.com/city_digest/status/1821057615775838395?t=80NeFVQeQyMqdWw22UYn0A&s=19

Kama umesoma uzi sawsawa, utakubaliana na mimi kwamba, viongozi wa dini ambao wapo kihunikihuni bila kujarisha ni dhehebu gani, ninawapinga kwa nguvu zote na serikali iwachukulie hatua sitahiki

Sisi siyo waarabu tugikie kufundishana kuvaa mabomu ili kulipua watu
 
Ujasiri wa kuongea mbele za watu unahitaji kwanza ujue unachokiongea kwa kukifanyia tafiti kweli kweli.

Jiulize nani ni mbumbuzi wa mabomu ya kuvaa.

Aliyetengeza kwa ajili ya kuvaa nani.

Iwapo aliyetengeza yanaonekana Mungu halafu akaletengeza uongo kuwa waarabu ndio wateja wazuri wa kujivisha mabomu elewa umepatwa.

Anyway nitajie mwarabu au muislam aliyejivusha au kutupa bomu kwa jina nikuonyeshe mkristo mtz aliterusha bora na kuuwa kule arusha. Lkn walikuja kukamatwa na kuwekwa ndani wengine akiuwawa na serikali iliyo ndani ya serikali yetu shadow state.

Naanza na Ambrose Victor Calist.

Lkn yote kwa yote kuna disinformation inayokuongoza
Pitia link hii.

View:
View: https://www.scribd.com/doc/244694287/ANNUUR-1148
 
Unaweka mafunuo ambayo alipewa na Adui wa Jibril ambayo hayana Sifa ya Kuwa rejea labda Kwa watunga mashairi🙄😜
👂👂
قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Hii Hadithi Ina mlingano na hiyo ayat
👇👇
Umdah al-Ahkam: Juz. 3, Hadithi Na. 460] “Imepokewa na Anas Ibn Malik “Nimesikia kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akisema: allah ni Shetani katika sura ya Malaika aliyeniteremshia Aya na kitabu chake Quran na mimi. 'mimi nabii wake

رواه أنس ابن مالك “سمعت من رسول الله صلى الله عليه وسلم أنه” كان الله شيطان شكل ملاك كشف لي الآيات وكتابه القرآن وأنا نبي.

Nataka USHAHIDI KAMA HUU MWENYEZI MUNGU ALIPO MTUMA MUSA!
👇👇
Kutoka:3:1-10
1 Basi huyo Musa alikuwa akilichunga kundi la Yethro mkwewe, kuhani wa Midiani; akaliongoza kundi nyuma ya jangwa, akafika mpaka mlima wa Mungu, hata Horebu.

2 Malaika wa Bwana akamtokea, katika mwali wa moto uliotoka katikati ya kijiti; akatazama, na kumbe! Kile kijiti kiliwaka moto, nacho kijiti hakikuteketea.

3 Musa akasema, Nitageuka sasa, niyaone maono haya makubwa, na sababu kijiti hiki hakiteketei.

4 Bwana alipoona ya kuwa amegeuka ili atazame, Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kijiti, akasema, Musa! Musa! Akasema, Mimi hapa.

5 Naye akasema, Usikaribie hapa; vua viatu vyako miguuni mwako; maana mahali hapo unaposimama ni nchi takatifu.

6 Tena akasema, Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo. Musa akaficha uso wake; kwa maana aliogopa kumwangalia Mungu.

7 Bwana akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao;

8 nami nimeshuka ili niwaokoe na mikono ya Wamisri, niwapandishe kutoka nchi ile, hata nchi njema, kisha pana; nchi ijaayo maziwa na asali; hata mahali pa Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi.

9 Basi, tazama, kilio cha wana wa Israeli kimenifikilia; tena nimeyaona hayo mateso ambayo Wamisri wanawatesa.

10 Haya, basi, nitakutuma sasa kwa Farao, ili upate kuwatoa watu wangu,

Na muham mad aka allah amecopy na kuwatupia?
👇🏼👇🏼
T'AHA!.
وَهَلْ أَتَاكَ حَدِيثُ مُوسَىٰ(9)

Na je! Imekufikia hadithi ya Musa?
إِذْ رَأَىٰ نَارًا فَقَالَ لِأَهْلِهِ امْكُثُوا إِنِّي آنَسْتُ نَارًا لَّعَلِّي آتِيكُم مِّنْهَا بِقَبَسٍ أَوْ أَجِدُ عَلَى النَّارِ هُدًى(10)

Alipo uona moto, akawaambia watu wake: Ngojeni! Mimi nimeuona moto, huenda nikakuleteeni kijinga kutoka huo moto, au nikapata uongofu kwenye moto.
فَلَمَّا أَتَاهَا نُودِيَ يَا مُوسَىٰ(11)

Basi alipo ufikia akaitwa: Ewe Musa!
إِنِّي أَنَا رَبُّكَ فَاخْلَعْ نَعْلَيْكَ ۖ إِنَّكَ بِالْوَادِ الْمُقَدَّسِ طُوًى(12)

Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa.
وَأَنَا اخْتَرْتُكَ فَاسْتَمِعْ لِمَا يُوحَىٰ(13)

Nami nimekuteua wewe; basi sikiliza unayo funuliwa.

Book of Exodus

Authorship​

Children of Israel in Egypt (1867 painting by Edward Poynter)

Jewish and Christian tradition viewed Moses as the author of Exodus and the entire Torah, but by the end of the 19th century the increasing awareness of discrepancies, inconsistencies, repetitions and other features of the Pentateuch had led scholars to abandon this idea.

Ref. Meyers, Carol (2005). Exodus. Cambridge University Press. ISBN 9780521002912.

In approximate round dates, the process which produced Exodus and the Pentateuch probably began around 600 BCE when existing oral and written traditions were brought together to form books recognizable as those we know, reaching their final form as unchangeable sacred texts around 400 BCE.

Ref ,. McEntire, Mark (2008). Struggling with God: An Introduction to the Pentateuch. Mercer University Press. ISBN 9780881461015.

source: Wikipedia
 
Ujasiri wa kuongea mbele za watu unahitaji kwanza ujue unachokiongea kwa kukifanyia tafiti kweli kweli.

Jiulize nani ni mbumbuzi wa mabomu ya kuvaa.

Aliyetengeza kwa ajili ya kuvaa nani.

Iwapo aliyetengeza yanaonekana Mungu halafu akaletengeza uongo kuwa waarabu ndio wateja wazuri wa kujivisha mabomu elewa umepatwa.

Anyway nitajie mwarabu au muislam aliyejivusha au kutupa bomu kwa jina nikuonyeshe mkristo mtz aliterusha bora na kuuwa kule arusha. Lkn walikuja kukamatwa na kuwekwa ndani wengine akiuwawa na serikali iliyo ndani ya serikali yetu shadow state.

Naanza na Ambrose Victor Calist.

Lkn yote kwa yote kuna disinformation inayokuongoza
Pitia link hii.

View:
View: https://www.scribd.com/doc/244694287/ANNUUR-1148

Unakumbuka matukio ya balozi za U.S. pale Kenya na hapa kaka
 
Unaacha kurejea kwenye Furqan unakimbilia qaallahu wikipedia as if ni rejea aliyokuachia muham mad aka allah!
JEE hujui kwamba!; wikipedia yeyote anaweza ku-edit?
Rejea kwenye Furqan, Hadith au miratul muham mad aka allah.

Hebu wafahamishe Wana Jamvi humu hivyo vitabu inavyo dai vimechakachuliwa nani Aliye chakavhua!; lini kachakachua!; Kabla ya muham mad au baada ya muham mad!

Nimeamini hakika Kwa Mujibu wa Quran wewe ww ni kafiri innsui!
muham mad aka allah Anasema!
👂👂
وَقَدْ نَزَّلَ عَلَيْكُمْ فِي الْكِتَابِ أَنْ إِذَا سَمِعْتُمْ آيَاتِ اللَّهِ يُكْفَرُ بِهَا وَيُسْتَهْزَأُ بِهَا فَلَا تَقْعُدُوا مَعَهُمْ حَتَّىٰ يَخُوضُوا فِي حَدِيثٍ غَيْرِهِ ۚ إِنَّكُمْ إِذًا مِّثْلُهُمْ ۗ إِنَّ اللَّهَ جَامِعُ الْمُنَافِقِينَ وَالْكَافِرِينَ فِي جَهَنَّمَ جَمِيعًا

[ AN-NISAAI - 140 ]
Naye amekwisha kuteremshieni katika Kitabu hiki ya kwamba mnapo sikia Aya za Mwenyezi Mungu zinakanushwa na zinafanyiwa kejeli, basi msikae pamoja nao, mpaka waingie katika mazungumzo mengine. Hivyo mtakuwa nanyi mfano wao hao. Hakika Mwenyezi Mungu atawakusanya wanaafiki na makafiri wote pamoja katika Jahannamu,
 
Ukiristo KUFUATA NA KUYAISHI MAFUNDISHO YA YESU!
Sasa Tuwekee YESU Alipofundisha kuuwa!
Na uislamu ni kuyafuata MAFUNDISHO ya muham mad aka allah na kuyaishi
Nakuwekea Ushahidi wa MAFUNDISHO ambayo Waislamu wameyafuta na kuyaishi!
Usipo yafuata na kuyaishi ujuwe ww ni kafiri!
👇👇
 
Attachments

  • Screenshot_20240807-150559~2.jpg
    Screenshot_20240807-150559~2.jpg
    100.7 KB · Views: 1

Mbona unakimbia kutuambia ile Exodus uliyotuletea katuletea Mungu yupi ?
 
Ukiristo KUFUATA NA KUYAISHI MAFUNDISHO YA YESU!
Sasa Tuwekee YESU Alipofundisha kuuwa!
Na uislamu ni kuyafuata MAFUNDISHO ya muham mad aka allah na kuyaishi
Nakuwekea Ushahidi wa MAFUNDISHO ambayo Waislamu wameyafuta na kuyaishi!
Usipo yafuata na kuyaishi ujuwe ww ni kafiri!
👇👇
Kwani Yesu ni Nani huyo kwa mujibu wa biblia ?
 
Niko hapa hapa nasubiri.
Bado kidogo mkuu kuna sehemu chache imebaki.
Halafu Mida ya kama jana natupia kila kitu hapa.
Japo kuna sehemu nilikosea katika maelezo yangu hasa sehemu ya Catalunya,mtawala alikua ni Umayyad na ni jamii ya Uarabu sio Uturuki.
Kwingine nitakuja kusahihisha mkuu.
 
Kwani Yesu ni Nani huyo kwa mujibu wa biblia ?

Kwani Yesu ni Nani huyo kwa mujibu wa biblia ?
👇👇👇

Matendo ya Mitume 4:12
Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo

Yesu ni jina ambalo ndilo hutumika kuokoa wanadamu wote

Lakini sasa huyu mwenye jina hili ambalo linatumika kuokolea watu,

Yohana 1:1-14
[1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
[2]Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
[3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
[4]Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
[5]Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza.
[6]Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana.
[7]Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye.
[8]Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru.
[9]Kulikuwako Nuru halisi, amtiaye nuru kila mtu, akija katika ulimwengu.
[10]Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua.
[11]Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
[12]Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
[13]waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.

14 Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli

Ukiwa msomaji mzuri usiyeongozwa na mihemko na kule kukataa tu hata kama umeona ukweli, utamjua huyu mwenye jina Yesu kwamba Ndiye Mungu aliyeshuka na kukaa kwa hali ya kibinadamu na ndani yake akiwa ndiye Mungu halisi

Jambo lingine ambalo wengi wa wapinzani wa huyu MUNGU, hujikuta wakionekana kama wajinga, midomoni mwao hukiri uweza wa Mungu hauna mipaka, wakati huohuo hukataa kwamba, Mungu hawezi kuzaliwa kwa njia kama alivyokuja Yesu

Ukiutafakari vema hasa huo mstari wa 14, bila shaka utagundua na kukubaliana kwamba, Huyo ambaye ni Neno (MUNGU ) alikuja duniani na kufanyika mwili ili wanadamu wauone utukufu wa Mungu ambaye ndiye huyo Neno yaani YESU
 
Hiyo yohana mbona nimeshai crush mwandishi haijulikani , ? Au wewe unamjuwa?,
 
Ulaya na marekani walishaachana na ukiristo,ni wapagani,halafu waislam hawawategemei wazungu kwa hayo,mwisho waarabu wanasilimisha wazungu huko ulaya na marekani, central London Mali nyingi ni za waislam,kwa hiyo tulia
Central London ikiwa na mali nyingi za waislamu, wewe binafsi inakusaidia nini ?
 
Back
Top Bottom