Waislamu wa mji wa Dagestan nchini Urusi wavamia airport kuwasaka vyumbani wayahudi baada ya ndege kutua kutoka Israel

Hamas ndio wanatakiwa waondoke kwenye mashimo waende wakapigane na Israel wakomboe ardhi wanayodai waliporwa sasa badala yake wanajificha miongoni mwa raia, ni waoga kama fisi.
 
Endelea kutumia dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili ama utarudishwa tena Mirembe pole sana
 
Askari wamekamata wafanya fujo hapo Makhachkala International Airport. Kwa sasa hali ni shwari
 
Hamas ndio wanatakiwa waondoke kwenye mashimo waende wakapigane na Israel wakomboe ardhi wanayodai waliporwa sasa badala yake wanajificha miongoni mwa raia, ni waoga kama fisi.
Pole sana
 
Sio Mayahudi, ni Wayahudi.

Mudi alikuwa anawachukia sana Wayahudi...mpaka kwenye quran alishindwa kusema Wa akasema Ma.
Ni lugha tu isikutishe

wapo Mashia, Mabaniani, ma Budha n.k
 
Hao sio waarabu, hao ni warusi wapo kwenye Nchi yao. Na wala si wahamiaji

Nikisema hivi haimaanishi nasupport walichofanya ila naweka Clear tu, kuwa wapo kwao.
na jamaa kazungumzia ulaya , waislam na waarab ni jamii ya watu wapumba hawajui kuchuja mambo , kama walivyoipokea hii bas bas kesho wataanza fany hivyo na kinachofuatia ni ban
 
Kwamba Dunia haikuona walichofanyiwa waisrael tarehe 7 October Tena wakiwa katika sherehe ?.
Acheni unafiki wenu . Et Dunia inaona .😂😂😂
 
Halafu mayahudi kwani watu wa Ulaya? Kwanini warabu wafukuzwe ulaya kwa sababu ya mahudi? Mayahudi zi wamevamia ardhi za Palestina?
mnapenda kujichukulia maamuz na kupuuza vyombo vya dola
 
Hamas ndio wanatakiwa waondoke kwenye mashimo waende wakapigane na Israel wakomboe ardhi wanayodai waliporwa sasa badala yake wanajificha miongoni mwa raia, ni waoga kama fisi.
Kwa hiyo Hamas wapo :
-Ofisi za UN?
-Wapo kambi za UN za wakimbizi?
-Wapo makanisani?
-Wapo misikitini?
-Wapo hospitalini?
-Leo tena kalipua hospitali nyengine Al Quds

Kwa sababu huko kote Israel kalipua na kuleta maafa! Au kwa vile ni waarabu kwa hiyo ni sawa kuuliwa?
 
BREAKING: Authorities say the situation at Makhachkala airport in Dagestan is now 'under control'
 
ww ni mpumbav sn , uambiww mara ngap kuwa hamas wanajificha miongon mwa raia?
 
kwamba mnapoichokoza Israel mnataka dunia iwaonee huruma mnapopigwa kwamba mmeonewa
 
7th October Taliban walikua wanaomba njia waingie front wakaongeze nguvu kwa hamas ilipofika tarehe nakuendelea wakajua kumbe walikua wanataka kujipakata wameamua kujikalia zao kimya tu
 
kwamba mnapoichokoza Israel mnataka dunia iwaonee huruma mnapopigwa kwamba mmeonewa
Nikuambie ukweli, binafsi huwa sielewi ni nini unachokiandika. Si kwenye Uzi huu, ni kwenye Uzi tofauti tofauti.

Nisamehe kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…