bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Ujinga ni mzigo pole sanaWaislamu hawajawahi kujitambua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga ni mzigo pole sanaWaislamu hawajawahi kujitambua
Hamas ndio wanatakiwa waondoke kwenye mashimo waende wakapigane na Israel wakomboe ardhi wanayodai waliporwa sasa badala yake wanajificha miongoni mwa raia, ni waoga kama fisi.Na ndiyo maana Jews waliyopo mataifa mengine wanaandamana dhidi ya kinachofanywa na serikali yao!
Israel inabidi ipambane na Hamas na si kuua raia wa Gaza. Leo wamelipua hospitali nyengine huko Gaza. Collective punishment zinakataliwa kimataifa kwani ni uhalifu. Anachoharibu Israel anaendelea kukomaa!
Sasa hapa anajitengenezea maadui wa namna mbili.
1)Uadui kwa wale wanaotizama huu mgogoro kwa nukta ya ubinadamu.
2)Uadui kwa wale wanaoutizama huu mgogoro kwa nukta ya jicho la kidini
Mazingira haya yote yatawapa wakati mgumu sana Wayahudi wenzao wanaoishi sehemu nyengine duniani.
Juzi kati hapa mmoja kaonekana akiwa na bendera yake ya Israel nchini South Africa raia wakata kumpiga kaokolewa na askari.
Ujinga ni mzigo pole sanaSio Mayahudi, ni Wayahudi.
Mudi alikuwa anawachukia sana Wayahudi...mpaka kwenye quran alishindwa kusema Wa akasema Ma.
Endelea kutumia dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili ama utarudishwa tena Mirembe pole sanaWaislam huwa wana akili za king'ombe ng'ombe kila sehemu. Sijui mafundisho yao yapoje, inaonekana ndo yanawaandaa kuwa hivi.
Kuna mgogoro wa kugombea msikiti huku kati ya bakwata na sijui istiqama, sijui iswat, akili zao nazo za hivihivi hadi wakiwa ndani ya msikiti kabisa wanatambiana kuuana wapate thawabu.
Wamevaa kanzu, kumbe kwa ndani wamebeba visu na mapanga!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sanaMwarabu hajawahi kumiliki akili maisha yake yote
Pole sanaHamas ndio wanatakiwa waondoke kwenye mashimo waende wakapigane na Israel wakomboe ardhi wanayodai waliporwa sasa badala yake wanajificha miongoni mwa raia, ni waoga kama fisi.
Ni lugha tu isikutisheSio Mayahudi, ni Wayahudi.
Mudi alikuwa anawachukia sana Wayahudi...mpaka kwenye quran alishindwa kusema Wa akasema Ma.
na jamaa kazungumzia ulaya , waislam na waarab ni jamii ya watu wapumba hawajui kuchuja mambo , kama walivyoipokea hii bas bas kesho wataanza fany hivyo na kinachofuatia ni banHao sio waarabu, hao ni warusi wapo kwenye Nchi yao. Na wala si wahamiaji
Nikisema hivi haimaanishi nasupport walichofanya ila naweka Clear tu, kuwa wapo kwao.
ttzo ni hamas , walichofanya hamas hata ww ungefanya zaid ya waisraelWana fanya makosa, hao jews hawana kosa lolote, tatizo ni Serikali ya Israel.
Kwamba Dunia haikuona walichofanyiwa waisrael tarehe 7 October Tena wakiwa katika sherehe ?.Dunia imebadilika, miaka ya 1960's, 1970's, hadi 1990's na early 2000's dunia ilikuwa haioni kwa muda wote huo Palestinians wanapitia nini, media zilikuwa hazitoi habari zenye ukweli, baada ya mitandao ya kijamii kuwepo sasa hivi tukio likitokea Israel baada ya nusu saa dunia nzima imeona.
Watu wanafunguka na kufahamu ukweli, sasa hivi watu hawasubiri CNN, BBC n.k ili kupata habari zilizopikwa, sasa hivi mtu na iPhone yake anarekodi na kurusha matukio. Naweza sema zama zimebadilika, dunia imeona kinachoendelea huko Gaza.
Israel ibadilike imefanya uonevu kwa muda mrefu. Ni hatari sana.
Ng'ombe mwingine huyu hapaEndelea kutumia dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili ama utarudishwa tena Mirembe pole sana
mnapenda kujichukulia maamuz na kupuuza vyombo vya dolaHalafu mayahudi kwani watu wa Ulaya? Kwanini warabu wafukuzwe ulaya kwa sababu ya mahudi? Mayahudi zi wamevamia ardhi za Palestina?
Kwa hiyo Hamas wapo :Hamas ndio wanatakiwa waondoke kwenye mashimo waende wakapigane na Israel wakomboe ardhi wanayodai waliporwa sasa badala yake wanajificha miongoni mwa raia, ni waoga kama fisi.
ww ni mpumbav sn , uambiww mara ngap kuwa hamas wanajificha miongon mwa raia?Na ndiyo maana Jews waliyopo mataifa mengine wanaandamana dhidi ya kinachofanywa na serikali yao!
Israel inabidi ipambane na Hamas na si kuua raia wa Gaza. Leo wamelipua hospitali nyengine huko Gaza. Collective punishment zinakataliwa kimataifa kwani ni uhalifu. Anachoharibu Israel anaendelea kukomaa!
Sasa hapa anajitengenezea maadui wa namna mbili.
1)Uadui kwa wale wanaotizama huu mgogoro kwa nukta ya ubinadamu.
2)Uadui kwa wale wanaoutizama huu mgogoro kwa nukta ya jicho la kidini
Mazingira haya yote yatawapa wakati mgumu sana Wayahudi wenzao wanaoishi sehemu nyengine duniani.
Juzi kati hapa mmoja kaonekana akiwa na bendera yake ya Israel nchini South Africa raia wakata kumpiga kaokolewa na askari.
kwamba mnapoichokoza Israel mnataka dunia iwaonee huruma mnapopigwa kwamba mmeonewaDunia imebadilika, miaka ya 1960's, 1970's, hadi 1990's na early 2000's dunia ilikuwa haioni kwa muda wote huo Palestinians wanapitia nini, media zilikuwa hazitoi habari zenye ukweli, baada ya mitandao ya kijamii kuwepo sasa hivi tukio likitokea Israel baada ya nusu saa dunia nzima imeona.
Watu wanafunguka na kufahamu ukweli, sasa hivi watu hawasubiri CNN, BBC n.k ili kupata habari zilizopikwa, sasa hivi mtu na iPhone yake anarekodi na kurusha matukio. Naweza sema zama zimebadilika, dunia imeona kinachoendelea huko Gaza.
Israel ibadilike imefanya uonevu kwa muda mrefu. Ni hatari sana.
Kama wale wa Kiembembuzi na samakiNikisema hivi haimaanishi nasupport walichofanya ila naweka Clear tu, kuwa wapo kwao.
Nikuambie ukweli, binafsi huwa sielewi ni nini unachokiandika. Si kwenye Uzi huu, ni kwenye Uzi tofauti tofauti.kwamba mnapoichokoza Israel mnataka dunia iwaonee huruma mnapopigwa kwamba mmeonewa