Waislamu wa mji wa Dagestan nchini Urusi wavamia airport kuwasaka vyumbani wayahudi baada ya ndege kutua kutoka Israel

Waislamu wa mji wa Dagestan nchini Urusi wavamia airport kuwasaka vyumbani wayahudi baada ya ndege kutua kutoka Israel

Wana fanya makosa, hao jews hawana kosa lolote, tatizo ni Serikali ya Israel.
Na ndiyo maana Jews waliyopo mataifa mengine wanaandamana dhidi ya kinachofanywa na serikali yao!

Israel inabidi ipambane na Hamas na si kuua raia wa Gaza. Leo wamelipua hospitali nyengine huko Gaza. Collective punishment zinakataliwa kimataifa kwani ni uhalifu. Anachoharibu Israel anaendelea kukomaa!

Sasa hapa anajitengenezea maadui wa namna mbili.
1)Uadui kwa wale wanaotizama huu mgogoro kwa nukta ya ubinadamu.
2)Uadui kwa wale wanaoutizama huu mgogoro kwa nukta ya jicho la kidini

Mazingira haya yote yatawapa wakati mgumu sana Wayahudi wenzao wanaoishi sehemu nyengine duniani.

Juzi kati hapa mmoja kaonekana akiwa na bendera yake ya Israel nchini South Africa raia wakata kumpiga kaokolewa na askari.
 
Hao wayahudi wwnaipinga serikali ya Israel.

Nawashangaa sana wapagani wa JF.
 
Sio Mayahudi, ni Wayahudi.

Mudi alikuwa anawachukia sana Wayahudi...mpaka kwenye quran alishindwa kusema Wa akasema Ma.
Mayahudi wayahudi yote sawa tu, mradi umeelewa.

Wewe pagani au mpagani?
 
Na ndiyo maana Jews waliyopo mataifa mengine wanaandamana dhidi ya kinachofanywa na serikali yao!

Israel inabidi ipambane na Hamas na si kuua raia wa Gaza. Leo wamelipua hospitali nyengine huko Gaza. Collective punishment zinakataliwa kimataifa kwani ni uhalifu. Anachoharibu Israel anaendelea kukomaa!

Sasa hapa anajitengenezea maadui wa namna mbili.
1)Uadui kwa wale wanaotizama huu mgogoro kwa nukta ya ubinadamu.
2)Uadui kwa wale wanaoutizama huu mgogoro kwa nukta ya jicho la kidini

Mazingira haya yote yatawapa wakati mgumu sana Wayahudi wenzao wanaoishi sehemu nyengine duniani.

Juzi kati hapa mmoja kaonekana akiwa na bendera yake ya Israel nchini South Africa raia wakata kumpiga kaokolewa na askari.
Dunia imebadilika, miaka ya 1960's, 1970's, hadi 1990's na early 2000's dunia ilikuwa haioni kwa muda wote huo Palestinians wanapitia nini, media zilikuwa hazitoi habari zenye ukweli, baada ya mitandao ya kijamii kuwepo sasa hivi tukio likitokea Israel baada ya nusu saa dunia nzima imeona.

Watu wanafunguka na kufahamu ukweli, sasa hivi watu hawasubiri CNN, BBC n.k ili kupata habari zilizopikwa, sasa hivi mtu na iPhone yake anarekodi na kurusha matukio. Naweza sema zama zimebadilika, dunia imeona kinachoendelea huko Gaza.

Israel ibadilike imefanya uonevu kwa muda mrefu. Ni hatari sana.
 
Mji wa Dagestan unasifika kuwa miongoni mwa miji michache nchini Urusi iliyojaa waislam, Kwenye vita inayoendelea kwa sasa zimeibuka hisia za chuki dhidi ya wayahudi, Airport imevamiwa kwa lengo la kumkamata muyahudi yeyote baada ya ndege kutuoa iliyotokea Israel

Wakiwa wanaisubiri ndege kutua
View attachment 2797242
Baada ya ndege kutua wamevamia Airport

View attachment 2797239
Waislam huwa wana akili za king'ombe ng'ombe kila sehemu. Sijui mafundisho yao yapoje, inaonekana ndo yanawaandaa kuwa hivi.

Kuna mgogoro wa kugombea msikiti huku kati ya bakwata na sijui istiqama, sijui iswat, akili zao nazo za hivihivi hadi wakiwa ndani ya msikiti kabisa wanatambiana kuuana wapate thawabu.

Wamevaa kanzu, kumbe kwa ndani wamebeba visu na mapanga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana fanya makosa, hao jews hawana kosa lolote, tatizo ni Serikali ya Israel.
Sahihi kabisa

Binadamu hasa wa siku hizi hisia zimetawala akili zao.

Wayahudi wana haki ya kuishi kama Jamii zingine

huna haki ya kutoa uhai wa kiumbe chochote Pasi na haki

Uislam unakataza sana kuua asie na hatia
 
Nimeona nikashangaa sana aiseee kazi wanayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20231029-225217.jpg
 
Mji wa Dagestan unasifika kuwa miongoni mwa miji michache nchini Urusi iliyojaa waislam, Kwenye vita inayoendelea kwa sasa zimeibuka hisia za chuki dhidi ya wayahudi, Airport imevamiwa kwa lengo la kumkamata muyahudi yeyote baada ya ndege kutuoa iliyotokea Israel

Wakiwa wanaisubiri ndege kutua
View attachment 2797242
Baada ya ndege kutua wamevamia Airport

View attachment 2797239
Hao Republic of Dagestan huwa wana dalili za kujitenga na Urusi. Ni kama walivyo Chechnya.
Urusi ina Wayahudi wenye influence wengi kuliko Waislamu. Vyepesi sana kuona oligarchy au mwanasiasa mkubwa Myahudi ila nadra kuona Caucasian Mwislamu hapo Urusi ana ushawishi kifedha na kisiasa, labda awe anatumika kisiasa kama Kadyrov.

Wana kau-semi autonomous fulani. Urusi ilipata sana shida kupigana na ugaidi uko, na ilivyo na roho ngumu ilikuwa inatumia nguvu nyingi mpaka jumuiya za kimataifa zinalalamika.
 
Back
Top Bottom