Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Nani kakuambia hao ni waarabu?Waarabu wapo wengi Sana ulaya utafika kipindi watapigwa ban warudi kwenye nchi zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakuambia hao ni waarabu?Waarabu wapo wengi Sana ulaya utafika kipindi watapigwa ban warudi kwenye nchi zao
Halafu mayahudi kwani watu wa Ulaya? Kwanini warabu wafukuzwe ulaya kwa sababu ya mahudi? Mayahudi zi wamevamia ardhi za Palestina?Nani kakuambia hao ni waarabu?
Sasa hao hata wakipewa silaha Israel itawaweza? Hao ni Kama jamii ya Chenchen ya Ramzan Kadyrov.wajinga tu hao, kama wana hasira si wapande ndege waende Gaza wakapigane?
Wewe punguani kweli mtu kazaliwa Ulaya utampiga ban vipiWaarabu wapo wengi Sana ulaya utafika kipindi watapigwa ban warudi kwenye nchi zao
Na ndiyo maana Jews waliyopo mataifa mengine wanaandamana dhidi ya kinachofanywa na serikali yao!Wana fanya makosa, hao jews hawana kosa lolote, tatizo ni Serikali ya Israel.
Swali zuri sana, tazama mapoyoyo watavyobabaika.Kwani kila Myahudi ni Muisrael?
Sio Mayahudi, ni Wayahudi.Halafu mayahudi kwani watu wa Ulaya? Kwanini warabu wafukuzwe ulaya kwa sababu ya mahudi? Mayahudi zi wamevamia ardhi za Palestina?
Mayahudi wayahudi yote sawa tu, mradi umeelewa.Sio Mayahudi, ni Wayahudi.
Mudi alikuwa anawachukia sana Wayahudi...mpaka kwenye quran alishindwa kusema Wa akasema Ma.
Dunia imebadilika, miaka ya 1960's, 1970's, hadi 1990's na early 2000's dunia ilikuwa haioni kwa muda wote huo Palestinians wanapitia nini, media zilikuwa hazitoi habari zenye ukweli, baada ya mitandao ya kijamii kuwepo sasa hivi tukio likitokea Israel baada ya nusu saa dunia nzima imeona.Na ndiyo maana Jews waliyopo mataifa mengine wanaandamana dhidi ya kinachofanywa na serikali yao!
Israel inabidi ipambane na Hamas na si kuua raia wa Gaza. Leo wamelipua hospitali nyengine huko Gaza. Collective punishment zinakataliwa kimataifa kwani ni uhalifu. Anachoharibu Israel anaendelea kukomaa!
Sasa hapa anajitengenezea maadui wa namna mbili.
1)Uadui kwa wale wanaotizama huu mgogoro kwa nukta ya ubinadamu.
2)Uadui kwa wale wanaoutizama huu mgogoro kwa nukta ya jicho la kidini
Mazingira haya yote yatawapa wakati mgumu sana Wayahudi wenzao wanaoishi sehemu nyengine duniani.
Juzi kati hapa mmoja kaonekana akiwa na bendera yake ya Israel nchini South Africa raia wakata kumpiga kaokolewa na askari.
Hapana, Kuna jews hawana shida, si vyema kusema wote ni sawa, wanatofautiana.Mayahudi wayahudi yote sawa tu, mradi umeelewa.
Wewe pagani au mpagani?
Waislam huwa wana akili za king'ombe ng'ombe kila sehemu. Sijui mafundisho yao yapoje, inaonekana ndo yanawaandaa kuwa hivi.Mji wa Dagestan unasifika kuwa miongoni mwa miji michache nchini Urusi iliyojaa waislam, Kwenye vita inayoendelea kwa sasa zimeibuka hisia za chuki dhidi ya wayahudi, Airport imevamiwa kwa lengo la kumkamata muyahudi yeyote baada ya ndege kutuoa iliyotokea Israel
Wakiwa wanaisubiri ndege kutua
View attachment 2797242
Baada ya ndege kutua wamevamia Airport
View attachment 2797239
Sahihi kabisaWana fanya makosa, hao jews hawana kosa lolote, tatizo ni Serikali ya Israel.
NonsenseMwarabu hajawahi kumiliki akili maisha yake yote
Hujaelewa kinachoongelewa, ni matamshi siyo aina au kabila za mayahudi.Hapana, Kuna jews hawana shida, si vyema kusema wote ni sawa, wanatofautiana.
Hapana, Sunday School waga haiharibu mtu huwezi kutoka Sunday School ukaenda kujilipua na kuua watu hovyo kwa sababu Mungu wa Sunday School sio wa kupiganiwa na huwezi kuua mtu kwa jina lake. Never.Wao wanaamini kila anaempinga Israel ni mwarabu. Hawa Sunday school imewaharibu
Hao Republic of Dagestan huwa wana dalili za kujitenga na Urusi. Ni kama walivyo Chechnya.Mji wa Dagestan unasifika kuwa miongoni mwa miji michache nchini Urusi iliyojaa waislam, Kwenye vita inayoendelea kwa sasa zimeibuka hisia za chuki dhidi ya wayahudi, Airport imevamiwa kwa lengo la kumkamata muyahudi yeyote baada ya ndege kutuoa iliyotokea Israel
Wakiwa wanaisubiri ndege kutua
View attachment 2797242
Baada ya ndege kutua wamevamia Airport
View attachment 2797239
Wewe tu mwenye kumiliki akili.Mwarabu hajawahi kumiliki akili maisha yake yote