Waislamu wa Tanzania, where are Black People?

Humu humu JF wenye dini yao walisema msikiti sio mali ya mtu bali waumini wote
Nani kakwambia hivyo?
Hii misikiti INA wenyewe na wenyewe ni wale waliotoa viwanja ukajengwa msikiti. Kuna msikiti pale magomeni una ugomvi mkubwa sana
 
Personally huwa naona sio katika adabu au hishima kuamiliana na watu katika social media hususani hapa Jf kuhusiana na masiala ya kiimani yaani mwenyezi mungu na mtume wake (Saw) na kitabu chake

Kwa sababu wengi katika wao hawajakaa katika kupata elimu au kufahamu ukiwachunguza Bali tena baadhi yao ni wepesi mpaka kutukana kabisa na kutoa maneno ya ajabu.....tuwe tuna angalia watu wa kuamiliana nao wale ambao wahitaji kufahamu elimu ya dini adhimu Kama hii

Wameshaambiwa na waliotangulia kuwa uislam na uarabu ni two different entity lakini mtu haelewi wala haji na hoja Bali matusi

Ndugu zangu Lau Kama uislam na uarabu ungekuwa kitu kimoja basi watu wa makka wasingempiga vita mtume (saw) mpaka kumfukuza mji aliozaliwa na mpaka kumuulia jamaa zake...wote wangemkubali lakini watu wa kwanza kumpinga mtume ni waarabu..sasa kwanini wampinge mtu amabe kwamba yuaeneza tamaduni zao kuanzia kwao mpaka dunia nzima coz itapelekea tamaduni zao kuwa bora coz watu wa dunia nzima watakuwa wakiziishi????

Mtume (saw) kaleta Quran kitabu adhimu ambacho ni kitabu kimebeba sheria ambazo ni against mila za kiaraabu kabisa na haswaa!! Waarabu walizoea zinaa, kuabudu masanamu, pombe ambazo actually pia ndizo zilikuwa mila zetu na sie huku Africa na ulaya kwahiyo kusema Quran ni mila za kiarabu tuliletewa hakika hiyo na katika dhuruma kubwa...so uislam na uarabu ni vitu tofauti amini au usiamini haitabadili ukweli

Kwa ijitihadi yangu ndugu zangu waislam tujaribu kupuuzia baadhi majidala ya huku naam twaipenda iman yetu twapenda kuiufundisha pale amabapo kwamba twaona imeeleweka makosa lakini wengi katika watu amabo kwamba sio waislam hawaulizi kwa lengo la kupata elimu Bali kukejeri na dharau na sometimes kupelekea kutukunwa mwenyezi mungu na mitume wake(as) na vitabu vyake kwanini yote hayo????

Sometimes kwa kutowajibu baadhi ya watu inakuwa ni sababu ya kutopelekea mwenyezi mungu kudhihakiwa me naona

Coz hata huko mitani waislam ni wengi pia suzani kama waweza pita nyumba ishirini hawajakutana na muislam japo mmoja, na waislam wengine wanafanya nao kazi pahala pamoja na wengine wapo nao huko mavyuo na wanakutana nao huko njiani na pia wana interact nao katika nyanja tofauti tofauti apart na huku social media, kwahiyo Kama mtu kwa dhati ya moyo wake ana swali la kuuliza juu ya uislam ni vema awaulize hao wa huko amabo ana interact nao Ana kwa Ana kuliko huku kwa sabab ao wa huko atakuwa na adab na hishima na ataipata elimu aliyoiuliza ila huku social media ambapo watu wanatumia anonymity (fake) ID hakika sio salama sana ndugu zangu
 
Tupe ushahidi wa picture

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Ila mmegundua watu wana chuki Sana na uislam!yaani humu tunachekewa kinafiki inshort hawatupendi asilani!!!
Huo ndio uhalisia wenyewe.
Ni wachache mnoo, tabasamu zao zinatokea moyoni, wengi ni midomo yao tu ndio huwa inatabasamu.
 
Hao ndiyo wameufanikisha ujenzi wa msikiti huo,mnataka nyie muwepo kwani mlichangia hata 100
Nyie mmejengewa nendeni tu mkaswali tu sasa

Ova
 
Unataka ubabaike na nini? Wewe ambae sio mlowezi umetusaidia nini sasa
Nikiwa rais natimua wote. Tunaanza upya na wazawa siyo hawa wezi. Walichokusaidia ni kidogo kuliko wanachokuibia. 😁😁 mimi nimekusaidia sana we wa njombe kupata mbolea.
 
Nikiwa rais natimua wote. Tunaanza upya na wazawa siyo hawa wezi. Walichokusaidia ni kidogo kuliko wanachokuibia. 😁😁 mimi nimekusaidia sana we wa njombe kupata mbolea.
Utaishia kuwa Rais wa Nchi ya kusadikika hiyo hiyo inayoitwa Nikiwa 😄😄..

Sio kwa sababu mwehu mmja alibahatika kuwa Rais ukajua makosa yatarydiwa tena.
 
Utaishia kuwa Rais wa Nchi ya kusadikika hiyo hiyo inayoitwa Nikiwa 😄😄..

Sio kwa sababu mwehu mmja alibahatika kuwa Rais ukajua makosa yatarydiwa tena.
Rais aliwekwa na wananchi hata akirudi leo hii akagomea niamin mimi 100% atakuwa rais. Weka picha yake na rais wako wananchi wapige kura, niamin mm picha itashinda
 
Huo ndio uhalisia wenyewe.
Ni wachache mnoo, tabasamu zao zinatokea moyoni, wengi ni midomo yao tu ndio huwa inatabasamu.
Inasikitisha Sana sijaona la ajabu hapo Ila mtu analeta maada kukashifu!

Mtihani wallahi!!mbona wengine hatuko hvyoo!!always negativity about Islam kaahh!
Wanapata taabu Sana!watakufa wakiwa wamechoka sana
 
Rais aliwekwa na wananchi hata akirudi leo hii akagomea niamin mimi 100% atakuwa rais. Weka picha yake na rais wako wananchi wapige kura, niamin mm picha itashinda
Tangu lini uliwahi kukuta kwenye jamii kuna watu wengi wenye hekima,busara na maarifa au matajiri?

Jamii ina watu wengi wajinga kwa hiyo ndio maana jopo la kuchagua mgombea likikosea hakuna namna mburula wakabisha au kukataa..

Kwa mantiki hiyo hiyo usitegemee kosa kurudiwa tena na ikitokea bahati mbaya kichaa akapenya kama wewe ujue utaishi siku chache Duniani..
 
Itakuwa ni jamii iliyopo sasa ndo mburula. Vizuri huwa havidumu ili kuonesha pigo ila waovu watasalia kuendelea kufanya maovu. Hii nchi sa hv tumepigwa sana hasa kwa huyu vasco da gama.
 
Alikuwa ana ulazima gani kutaja rangi ya mtu? Hiyo ni racism Allah na muhammad walikuwa nayo
 
Itakuwa ni jamii iliyopo sasa ndo mburula. Vizuri huwa havidumu ili kuonesha pigo ila waovu watasalia kuendelea kufanya maovu. Hii nchi sa hv tumepigwa sana hasa kwa huyu vasco da gama.
Toa mifano ya vizuri vi 3 hapa Tanzania
 
Alikuwa ana ulazima gani kutaja rangi ya mtu? Hiyo ni racism Allah na muhammad walikuwa nayo
Kwanza kiri ya kuwa wewe ni mpotoshaji na utuambie kwanini umekata hadithi na ukaweka maneno ya uongo. Ndiyo maana maandiko yenu yanawashinda kuyachambua kwa kupeleka uongo mbele na upotoshaji.

Kiri kwanza weww ni muongo na mzandiki. Hili swali ulilo uliza ni dogo sana na kuliko hicho ulichokifanya.

Ubaguzi unausema wewe, nakupa miaka mia uonyeshe ubaguzi wa mtume hutaweza. Mtume ndiyo amekuja kuondoa ubaguzi wa sampuli zake zote.

Lakini Hadithi haijataja sifa moja pekee ya weusi, bali imetaja na nyingine. Hili siyo jambo geni, hata wewe unaweza kumuelekeza mtu sifa ya mtu fulani kwa kutaja rangi yake, hii haimaanishi ubaguzi bali ili kumjua kwa wepesi muhusika.

Swali, kwanini wewe ni mzandiki namna hii, na huogopi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…