Hakuna uongo , nime weka kipisi nilichokusudia kufikisha , huwezi wachosha watu kusoma li Hadith li refu ,una hit the point na ujumbe umefikia Allah anawachukia watu weusi,Kwanza kiri ya kuwa wewe ni mpotoshaji na utuambie kwanini umekata hadithi na ukaweka maneno ya uongo. Ndiyo maana maandiko yenu yanawashinda kuyachambua kwa kupeleka uongo mbele na upotoshaji.
Kiri kwanza weww ni muongo na mzandiki. Hili swali ulilo uliza ni dogo sana na kuliko hicho ulichokifanya.
Ubaguzi unausema wewe, nakupa miaka mia uonyeshe ubaguzi wa mtume hutaweza. Mtume ndiyo amekuja kuondoa ubaguzi wa sampuli zake zote.
Lakini Hadithi haijataja sifa moja pekee ya weusi, bali imetaja na nyingine. Hili siyo jambo geni, hata wewe unaweza kumuelekeza mtu sifa ya mtu fulani kwa kutaja rangi yake, hii haimaanishi ubaguzi bali ili kumjua kwa wepesi muhusika.
Swali, kwanini wewe ni mzandiki namna hii, na huogopi ?
Muhammad pia alipewa zawadi ya binadamu mweusi anaitwa bilal awe mtumwa amemtesa huyu jamaa Mpaka siku muhammad amekufa ndio akarudi kwa Abu kuomba aachiwe kwa kisingizio Cha dini
Hadith zingine Inasema Allah alikuwa ana mpiga Adam wakitoka watu weusi anasema wanaenda motoni , nyingine inasema janah watu wote watafanywa weupe, Allah ni pure resist hii inaitaji niandae mada yake kabisa