Waislamu wa Tanzania, where are Black People?

Waislamu wa Tanzania, where are Black People?

Maana ya "Kufundisha" itakuwa imebadilika sasa.

Japo mimi bado ni mwanafunzi tena mdogo sana katika Uislamu, huna uwezo wa kunifundisha na hujawahi kunifundisha, sababu huna cha kunifundisha.
Si unajiona Hadith nimeweka hujui ata ipo wapi , kichwa chako bado hakija shika vitu vingi , Yani ungeona tu Maneno ilitakiwa kichwa kikupe ipo kitabu gani, unaanza kuomba nikufundishe ilipo
 
Sasa watu wanafundishwa karate na komfuu kwenye nyumba zao za ibada badala ya kuhubiri wokovu, upendo na amani, unategemea wawe na upendo upi kwa watu wengine kama si kujijengea visasi na ugaidi kupitia kichaka cha vita vya kiimani "jihad"?
Karate imefundshwa sana YMCA ulikuwa mtoto??
 
Kwahyo mtanzania lazima awe mweusi akiwa mweupe sio Mtanzania maana hapo wapo wa Tanzania nnawajua lakini ww umeona rangi unafikiri wote wa Oman

Hata kama ingekuwa ni Oman halafu Watu weusi wote ndiyo wamefungua Msikiti ndani ya nchi ya Omani, Waarabu wa Omani wangeuliza na kushangaa pia, lkn haimaniishi kwamba Omani hakuna watu weusi!
 
Naona kwa mbali tunaanza kujielewa!! Asante sana
 
Mwarabu hawezi kukupa msaada au mbinu yoyote inayokuwezesha kuendelea yeye siku zote anataka mwafrika awe pagazi wake kama walivyofanya wakati wa biashara yao haramu ya utumwa.

Wanaogopa wakijenga shule watasoma wasio waislamu na wakijenga hospitali watatibiwa wengi wasio waislamu na kupelekea wao kupona wakati nia yao wangependa wote wasio waislamu wafe kama hawawezi kuwa waislam.
Lakin mbona wanashule pia hapo bukoba mjini...
Shule yao inaitwa istqaama ipo mitaa ya nshambya..
images%20(4).jpg
 
Mbwa nimeonesha ubaguzi wa wazi wa rangi , nenda kasome , muhammad aliulizwa kwa nini tusiue mbwa wa rangi nyingine , yeye akasema weusi ndio mashetani , unaweza jibu kwa nini mbwa mweusi tu wawe mashetani?
Kwanza onyesha sehemu aliyosema Mbwa weusi ni Mashetani. Sababu ya kuuwa mbwa weusi niliisema na nyoka mweusi kadhalika.
 
Si unajiona Hadith nimeweka hujui ata ipo wapi , kichwa chako bado hakija shika vitu vingi , Yani ungeona tu Maneno ilitakiwa kichwa kikupe ipo kitabu gani, unaanza kuomba nikufundishe ilipo
Hizi sasa ni stori. Ukiwa na marejeo nistue, tuje kuendelea hapa tulipo ishia.
 
Waarabu kwanini wasijenge vyuo vya ufundi,kama kweli wanatupenda?ili vijana wetu wapate elimu
 
Maana ya "Kufundisha" itakuwa imebadilika sasa.

Japo mimi bado ni mwanafunzi tena mdogo sana katika Uislamu, huna uwezo wa kunifundisha na hujawahi kunifundisha, sababu huna cha kunifundisha.
Akhi nilishakwambia achana nae huyu ni mtu mropokaji tu asojua chochote
Uyo Mbwa mweusi anajua alivotafsiriwa au.anaongea tu
Wanachuoni wameitafsiri hiyo hadithi vizuri
Na ninajua ninachokiongea kwaio mpuuze tu uyo mjinga

Anadhani sisi huku tunasomewa tu bila ya maelezo kma wanavofundishwa wao na huruhusiwi kuhoji
 
Hizi sasa ni stori. Ukiwa na marejeo nistue, tuje kuendelea hapa tulipo ishia.
Soma kijana unanipa kazi kukufundisha, hii nimekuwekea hadith moja tu zipo nyingi muhammad akisema mbwa weusi wauawe
Muhammad said: When any one of you stands for prayer and there is a thing before him equal to the back of the saddle that covers him and in case there is not before him (a thing) equal to the back of the saddle, his prayer would be cut off by (passing of an) ass, woman, and black Dog. I said: O Abu Dharr, what feature is there in a black dog which distinguish it from the red dog and the yellow dog? He said: O, son of my brother, I asked the Messenger of Allah (ﷺ) as you are asking me, and he said: The black dog is a devil. Sahih Muslim 510a
 
Dini ya kislamu hairuhusu mwanamke kuongoza..huyo sio mwislamu bali amejifunika mwanamvuli wa uislam..over!..
 
Soma kijana unanipa kazi kukufundisha, hii nimekuwekea hadith moja tu zipo nyingi muhammad akisema mbwa weusi wauawe
Muhammad said: When any one of you stands for prayer and there is a thing before him equal to the back of the saddle that covers him and in case there is not before him (a thing) equal to the back of the saddle, his prayer would be cut off by (passing of an) ass, woman, and black Dog. I said: O Abu Dharr, what feature is there in a black dog which distinguish it from the red dog and the yellow dog? He said: O, son of my brother, I asked the Messenger of Allah (ﷺ) as you are asking me, and he said: The black dog is a devil. Sahih Muslim 510a
Kisai urudi ujibu kwa nini mbwa weusi ni mashetani,?
Kwa nini mbwa weusi(mashetani) wapo kundi moja na wanawake? yani kimojawapo kikipita sala yako ikatike
 
Kisai urudi ujibu kwa nini mbwa weusi ni mashetani,?
Kwa nini mbwa weusi(mashetani) wapo kundi moja na wanawake? yani kimojawapo kikipita sala yako ikatike
Kijana una hangaika sana, majibu nishakupa, ila umesahau kujibu maswali niliyo kuuliza.

Wewe sishughuliki na wewe tena.
 
Kijana una hangaika sana, majibu nishakupa, ila umesahau kujibu maswali niliyo kuuliza.

Wewe sishughuliki na wewe tena.
Ungejibu maswali usikimbie ,
Kwa nini mbwa wote weusi ni mashetani?
 
Ungejibu maswali usikimbie ,
Kwa nini mbwa wote weusi ni mashetani?
Nikujibu mara ngapi ? Lakini hata kama ningekuwa sijajibu sina haja ya kukujibu sababu unaleta maana zako, mpaka siku ukiamua kutuliza akili na ukasoma maandiko vizuri utanistua panapo maajaliwa.
 
Nikujibu mara ngapi ? Lakini hata kama ningekuwa sijajibu sina haja ya kukujibu sababu unaleta maana zako, mpaka siku ukiamua kutuliza akili na ukasoma maandiko vizuri utanistua panapo maajaliwa.
Hujawai kutoa majibu, mbwa weusi wanakuwaje ni mashetani?
 
Back
Top Bottom