inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Matusi wapi akili ya kufikiri huna,unanisumbua tuJibu hoja kwa hoja acha matusi
Hawa wavaa kanzu huu ndiyo uhalisia waoVurugu zimeibuka Ndani ya Masjid Noor Uhuru st Mwanza baada ya Uongozi wa Bakwata kujimilikisha Msikiti huo na Nyumba zake
Waumini wameadai Masjid Noor ipo tangu kabla ya Uhuru na watautetea usiporwe na Baraza
Inadaiwa BAKWATA ndio inamiliki Hati ya kiwanja cha Msikiti baada ya ile ya awali yenye jina la Waumini hao kuexpire na kabla hawajarenew Bakwata ikawahi
Source: Iqra FM radio Mwanza
Matusi wapi akili ya kufikiri huna,unanisumbua tu
Upo sahihi niliona Arusha walitaka kuuana sababu ya fremuBalaa zito.
Nahisi huo msikiti upo mjini na una fremu za kutosha.
Nani apokee Kodi za fremu za msikiti ndio sababu kuu ya ugomvi.
Na nyie mnataka kupigana humu?Akili sina kwa Kusema bakwata ndio wanapaswa kuwepo kwenye documents za umiliki za mali za uma wa waislam Tanzania?
Huwezi fananisha ,KKT na taratibu za kiislamu, kkt Ni dhehebu, bakwata Ni Taasisi ya serikali ya kidini. Waislamu wengi hawaiungi mkono , Huwezi kukuta Baraza la kikristo Tanzania , wakaenda kuchukua kanisa flani , may be Luther house au st.joseph cathedral. Na kujimilikisha. Haitatokea, Baraza litabaki Kama Baraza, na dhehebu Kama dhehebu na kanisa laoWaislam watata sana.. bakwata ni warithi kisheria wa misikiti iliyojengwa na waarabu enzi za ukoloni.
Hata makanisa yapo yaliyojengwa kabla ya KKKT tanzania wala dayosisi zake haijaanzishwa Tanzania.
Ila kwa sasa yanamilikiwa na hizo dayosisi za KKKT zilizoanzishwa juzi juzi tu.
Mfano kanisa la Luther house posta lile kanisa limejengwa miaka ya 1890s
Ila leo linamilikiwa na dayosisi ya mashariki na pwani ya KKKT tanzania.. huku hiyo dayosisi imezaliwa juzi tu
Hata Wachungaji wa Zitto Kabwe huvaa kanzu pale Luther House πππHawa wavaa kanzu huu ndiyo uhalisia wao
ππππ₯Na nyie mnataka kupigana humu?
Acha ujinga zile siyo kanzu ni vazi la madhabahuni takatifu ndiyo maana anaweza kuvua palepale akabaki na nguo zake za kawaida, wavaa kanzu huwa hawavai ktu ndani wanakuwa watupuHata Wachungaji wa Zitto Kabwe huvaa kanzu pale Luther House πππ
Hawa wajinga haswaππππ₯
πππ Kanzu inavaliwa na bukta na MsuliAcha ujinga zile siyo kanzu ni vazi la madhabahuni takatifu ndiyo maana anaweza kuvua palepale akabaki na nguo zake za kawaida, wavaa kanzu huwa hawavai ktu ndani wanakuwa watupu
Maaskofu wanavaa full, mjinga wewe kumbe unajua ukweliπππ Kanzu inavaliwa na bukta na Msuli
Baada ya mgogoro kutatuliwa nani ndio mmiliki wa sasa?π€Kwani mbona huo mzozo ulishatatuliwa siku nyingi hiyo sio habari tena.
Baada ya muhammad kufa ile division iliyotokea ya Ali na abuu bakari madhara yake yako mpaka leoKwaufupi ugomvi wa uongozi kwa waislam hautaisha.
Kwasababu muhamad SAW, kuna makosa alifanya inawezekana bila ya kujua.
pamoja sentence yangu hii ukiitamka msikitini wanaweza hata kukuchinja ila ukweli usemwe.
Mtume alipokalibia kuondoka duniani aliacha usia wake kwa swahaba wake namba moja abbu bakari nafikili, aliwaachia majukumu ya ukuu kwa kulithishana..yani akitoka abbu, apokee mwingine akitoka mwingine aingie mwingine.
Tatizo likaanzia hapo.
Maswahaba ote wanne wale walioachiwa majuku kwa mtindi huo, vifo vyao vya kuawa kwa kuchomwa majambia.sasa hii inaonyesha ni hila za wao wenyewe kua akitoka fulani nitakujs mimi nitaongoza.
Sasa hadi leo misikitini maugomvi ya uongozi hayaishi kalibu kila msikiti duniani kote.
Vigezo vya kupata ushehe wa kuongoza msikiti ni ELIMU, UMRI au BUSARA za mtu.
Sasa asaivi wenye elimu ni wengi...kila mtu anamzalau mwenzie kua hana elimu kama yeye na anakundi lake nyuma lina msaport..kwanini wasiunde kampeni za kumuondoa alioko hapo.
Ndio unakuta zinapigwa nk.
Waislamu wa eneoBaada ya mgogoro kutatuliwa nani ndio mmiliki wa sasa?[emoji848]
Huo ndio ukweli mkuu...Baada ya muhammad kufa ile division iliyotokea ya Ali na abuu bakari madhara yake yako mpaka leo
Sio Bakwata?najua Bakwata wapo nchi nzima na ndio wanatutolea maraisi ikifika zamu yao.Hao wavaa kobazi kina Mohammed Said na faizafox hawana heshima yeyote π€Waislamu wa eneo