Waislamu wagombea Msikiti wa Wilaya ya Nyamagana, Ngumi zaibuka Waumini wadai BAKWATA imeundwa huu Msikiti wa Masjid Noor wameukuta!


Haya ndiyo yale mambo yetu sasa na kina Mwaipopo 🤣🤣
 
ilokudi linakojiita waislam,ni watu wenyenjaatu wasijitowefahamu na kuletavurugu kwenye nyumba zaibada inajulikanakuwa bakwatani chomb0chakiislam,kamakunakasoro wanazoziona wanawajibu kutatuwakwa sheria na siovurugu
Usikute hapo kupangilia herufi za kiarabu unajua ila kuandika lugha yako hujui..Pumbavu kabisa.
 
Nyumba nyingi upanga waliziuza hawa na kuna nyumba 2 zilikuwaga magomeni mikumi jirani na nyumba za kina sykes zote walizikwala hawa jamaa
Zamani bkwt walikuwa na mabasi na malori zote walizikwala

Ova
 
Ila mapadri kuuawa kanisani nakutiwa kwenye matenki ya maji hiyo ipo katoliki?
Wewe ndio utakuwa unapanga mauaji yao na kuratibu kuwaweka kwenye mapipa ya maji...s.h.e.n.z.i
 
Ndiyo kazi wanayoweza
 
Mfano kanisa la Luther house posta lile kanisa limejengwa miaka ya 1890s

Ila leo linamilikiwa na dayosisi ya mashariki na pwani ya KKKT tanzania.. huku hiyo dayosisi imezaliwa juzi tu
Hii nzuri kuijua, lilijengwa na nani, na kwanini lilikwenda KKKT na siyo dhehebu jingine
 
Waislamu nawafananishaga na pimbi. Pimbi ni mnyama mwenye harakati nyingi zisizo na tija. Hawa angaliagi mbele.
 
Hii nzuri kuijua, lilijengwa na nani, na kwanini lilikwenda KKKT na siyo dhehebu jingine
Ilijengwa na Karl Peters mjerumani aliyemtapeli Chifu Mangungo wa Msovero ambaye kitukuu chake ndio Boss wa Simba SC iliyoingia Mkataba na Mo😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…