Waislamu waishtukia serikali kutaka kupotosha mafunzo ya dini yao

Huko serikalini si kuna waislam? Haohao wanatosha kupitisha mtaala huo ufundishwe. Hawa wengine hawana ujuzu wa kuunda mtaala katika ngazi za ufundishaji na hatua zake za kuandaa azimio la kazi na andalio la somo na namna ya kutoa tathimini kama somo limeeleweka kwa wanafunzi wote
 
Hilo somo ni kuingiza ujinga wa kudumu katika jamii, kwani linaleta maarifa gani katika kujikwamua kiuchumi na kujiletea maendeleo? Litakuwa mzigo usiokuwa na faida kwa wanafunzi, halijengi nyumba, barabara, halileti ubunifu zaidi ya kuleta ugonjwa wa akili, akili kuwa ya kizembe. Hilo somo wakafundishane wenyewe kwenye nyumba zao za ibada wakajazane ujinga huko mpaka waje washituke karne nyingi zijazo. Badala ya kupanga masomo ya maana wanapanga upuuzi kuzidi kuididimiza jamii kwenye shimo refu la umasikini, ujinga na maradhi
 
Akili yako ni ndogo sana kuelewa mambo mapana
 
Hujaeleweka.Nani hana ujuzi wa kuunda mtaala.Unajua huyo anayezungumza ni nani.
 
Hilo somo ni kuingiza ujinga wa kudumu katika jamii, kwani linaleta maarifa gani katika kujikwamua kiuchumi na kujiletea maendeleo? Litakuwa mzigo usiokuwa na faida kwa wanafunzi, halijengi nyumba, barabara, halileti ubunifu zaidi ya kuleta ugonjwa wa akili, akili kuwa ya kizembe. Hilo somo wakafundishane wenyewe kwenye nyumba zao za ibada wakajazane ujinga huko mpaka waje washituke karne nyingi zijazo. Badala ya kupanga masomo ya maana wanapanga upuuzi kuzidi kuididimiza jamii kwenye shimo refu la umasikini, ujinga na maradhi
somo hilo linaitwaje?
 
Waislamu waingiwa wasiwasi na Serikali baada ya kuona Tayaar mtaala wa ELIMU ya dini katika website ya serikali na somo hilo kuanza kutumika Mwakani wakati wazir wa ELIMU alikwisha waahidi na kuwaomba radhi serikali itawashirikisha lakin Sasa Kuna DALILI zote za kutoswa

Si tumekubaliana kwamba dini au dhehebu litakaloikosoa serikali ya Mama itakuwa inafanya hivyo kwa chuki za udini?
 
Ninyi si ndo wazee wa ndio ilimaradi mshika mpini awe wenu komaeni na hili mnakumbuka kikwete alivochukulia kura kwenu alijua kabisa akiwatumia nyinyi ni fasta maana ni watu wa kukurupuka
 
Kwa hiyo kwenye vyuo vya ualimu kutakuwa somo la kiislam kufundisha walimu watakaoenda kufundisha mashuleni. Automatically walimu hao watakuwa ni waislam tu. Huwezi kumchukua sheikh/ustaadh msikitini akafundishe shuleni kama madrasa kwani shuleni kuna taratibu za kuandaa somo na hatua za kufundisha na muda wake. Kumbukumbu za ufundishaji hurekodiwa na huja kukakuliwa na wakaguzi wa elimu toka serikalini idara ya elimu. Ina maana hata hao wakaguzi watakuwa ni waislam wanaojua somo hilo wajiridhishe na namna somo lilivyofundishwa kwa kufuata hatua zake. Duh! Ila hao waliingiza uislam mashuleni wana ajenda kuingiza uislam kwenye katiba ya nchi. Kama tu wameingiza kwenye mitaala wataachaje kuingiza kwenye katiba? Ukimruhusu ngamia kuingiza kichwa kwenye kibanda atataka kuingiza mwili mzima
 
Sisi tunaamini tutakwenda pamoja na nyinyi nyote.Tunataka tukienda tuwe tuko salama kwani huko ndio tutaishi milele
And then hiyo ndiyo akili ndogo! Are you sure kuna Allah? Una uhakika au ni kuamini? Unajua maana ya kuamini? ie IMANI? Imani ni ujinga, ujinga uliokubalika na wanadamu wenye akili ndogo...."wajanja" wakawapumbaza mamilioni
 
Kwa hiyo kwenye vyuo vya ualimu kutakuwa somo la kiislam kufundisha walimu watakaoenda kufundisha mashuleni. Automatically walimu hao watakuwa ni waislam tu. Huwezi kumchukua sheikh/ustaadh msikitini akafundishe shuleni kama madrasa kwani shuleni kuna taratibu za kuandaa somo na hatua za kufundisha na muda wake. Kumbukumbu za ufundishaji hurekodiwa na huja kukakuliwa na wakaguzi wa elimu toka serikalini idara ya elimu. Ina maana hata hao wakaguzi watakuwa ni waislam wanaojua somo hilo wajiridhishe na namna somo lilivyofundishwa kwa kufuata hatua zake. Duh! Ila hao waliingiza uislam mashuleni wana ajenda kuingiza uislam kwenye katiba ya nchi. Kama tu wameingiza kwenye mitaala wataachaje kuingiza kwenye katiba? Ukimruhusu ngamia kuingiza kichwa kwenye kibanda atataka kuingiza mwili mzima
Sasa serikali inataka kila siku ituite tusome dua kwenye majanga tu na kupiga kampeni za ukimwi.Hao wa kufanya hivyo watatoka wapi iwapo hawafundishwi.
Huyo sheikh alivyosema hapo kumbe wamejiaanda na hiyo mitaala muda mrefu.Sasa ni akina nani katika wizara wanaotaka kubadili mambo na akatia shaka kama kwamba wametumwa wafanye hivyo.
 
Si tumekubaliana kwamba dini au dhehebu litakaloikosoa serikali ya Mama itakuwa inafanya hivyo kwa chuki za udini?
Hapo bado si kukosoa kama walivyofanya TEC.Ni kushtukia tu vitu vinavyoenda chini kwa chini na nje ya makubaliano.
 
Akili yako ni ndogo sana kuelewa mambo mapana
akili yangu ni kubwa sana ndio maana naona ujinga unanoingizwa kwenye mitaala ya ufundishaji. Taifa litakuwa na wajinga wengi na hii ni hatari kwa jamii
 
Waislam muda wote wanaona wananyanyaswa.

Ili kuondoa mikanganyiko kama hii, Bora serikali ipige marufuku masomo yote ya dini katika taasisi zake zote.
Masomo ya dini yaendeshwe na kutolewa dini husika.
 
Waislam muda wote wanaona wananyanyaswa.

Bora serikali ipige marufuku masomo yote ya dini katika taasisi zake zote.
Masomo ya dini yaendeshwe na kutolewa dini husika.
Musiwe na roho mbaya kiasi hicho.Yaani kwa vile na sisi tumekuja mnataka tukose sote.
 
Hilo somo ni kuingiza ujinga wa kudumu katika jamii, kwani linaleta maarifa gani katika kujikwamua kiuchumi na kujiletea maendeleo? Litakuwa mzigo usiokuwa na faida kwa wanafunzi, halijengi nyumba, barabara, halileti ubunifu zaidi ya kuleta ugonjwa wa akili, akili kuwa ya kizembe. Hilo somo wakafundishane wenyewe kwenye nyumba zao za ibada wakajazane ujinga huko mpaka waje washituke karne nyingi zijazo. Badala ya kupanga masomo ya maana wanapanga upuuzi kuzidi kuididimiza jamii kwenye shimo refu la umasikini, ujinga na maradhi
Sikujua km wewe ni kilaza namna hii
 
Back
Top Bottom