EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Uislamu unaelekea kufutwa duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waislamu waingiwa wasiwasi na Serikali baada ya kuona Tayaar mtaala wa ELIMU ya dini katika website ya serikali na somo hilo kuanza kutumika Mwakani wakati wazir wa ELIMU alikwisha waahidi na kuwaomba radhi serikali itawashirikisha lakin Sasa Kuna DALILI zote za kutoswa
Ndio unakua kwa kasi kupitia uonevu na uzushi unaoelekezewa .Uislamu unaelekea kufutwa duniani
Ndio mnavyodanganyana humo misikitini mwenuNdio unakua kwa kasi kupitia uonevu na uzushi unaoelekezewa .
Matukio ya mfano ni mengi na hili la Gaza ni moja wapo.
Hamas kimo kwenye orodha ya vyama vya kigaidi.Lakini wanaokiunga mkono mpaka ndani ya New York wakristo na dini nyengine ni wengi zaidi.