Waislamu waishtukia serikali kutaka kupotosha mafunzo ya dini yao

Waondoe kabisa mitaala ya dini mashuleni, dini zibakie makanisani na misikiti tuu
mwanafunzi huyohuyo umfundishe binadamu asili yake aliumbwa na mungu halafu tena umfundishe alibadilika kutoka nyani na michoro umuwekee akina zinjanthopus, unamchanganya mwanafunzi totally anakuwa mjinga mpevu
 
Kwa hivyo nini unapendekeza kiwe suluhisho.
 
Waislam muda wote wanaona wananyanyaswa.

Ili kuondoa mikanganyiko kama hii, Bora serikali ipige marufuku masomo yote ya dini katika taasisi zake zote.
Masomo ya dini yaendeshwe na kutolewa dini husika.
safi sana. Ujinga usiingizwe kwenye taasisi za umma
 
Mambo ya dini wafundishane makanisani na misikitini. Shule ibaki na masomo yake ya elimu dunia
Kwa ajili gani na wakati ufundishaji huo umekuwepo tangu zamani,.
 
Waislam muda wote wanaona wananyanyaswa.

Ili kuondoa mikanganyiko kama hii, Bora serikali ipige marufuku masomo yote ya dini katika taasisi zake zote.
Masomo ya dini yaendeshwe na kutolewa dini husika.
Hii lilotajwa ndio hilo hilo kwamba serikali iwaachie waislamu wenyewe watayarishe mitaala yao na wasomeshe wenyewe.Isijiingize kutunga mitaala halafu wajidai kuandika vitabu.Hawana wataalamu hao.
 
Adui yetu analea huu upuuzi, amepanga kuua na kuipoteza kabisa Kesho yetu. Amewekeza katika kuharibu watoto wetu.
SIKU IPO.
Adui ni ninyi wenyewe mnaongamgania dini yenu iwekwe kwenye combination za mitaala na iwe credit. Divinity ya wakristu ni kama option na ni subsidiary haiwezi ikawa basic ya kuchaguliwa kuendelea na masomo ya juu.Waondoe kabisa hivi vitu ni kero Kila mtu asome Imani yake huko kwenye dini Yao na kama wanampa mtihami wampe wao na cheti Chao wenyewe lakini vyeti vya serikali lisiwepi somo la dini yoyote
 
Hii lilotajwa ndio hilo hilo kwamba serikali iwaachie waislamu wenyewe watayarishe mitaala yao na wasomeshe wenyewe.Isijiingize kutunga mitaala halafu wajidai kuandika vitabu.Hawana wataalamu hao.
tatizo unakuta ndani ya serikali kuna wahafidhina wa dini ndio wanaopenyeza upuuzi huu kwenye mitaala ya taifa
 
Hujaeleweka.Nani hana ujuzi wa kuunda mtaala.Unajua huyo anayezungumza ni nani.
Kila dini ikitaka somo lake liingizwe kwenye mitaala unadhani nini kitatokea? Tatizo mnajifanyq special sana na elimu akhera yenu.
 
Adui ni ninyi wenyewe mnaongamgania dini yenu iwekwe kwenye combination za mitaala na iwe credit. Divinity ya wakristu ni kama option na ni subsidiary haiwezi ikawa basic ya kuchaguliwa kuendelea na masomo ya juu.Waondoe kabisa hivi vitu ni kero Kila mtu asome Imani yake huko kwenye dini Yao na kama wanampa mtihami wampe wao na cheti Chao wenyewe lakini vyeti vya serikali lisiwepi somo la dini yoyote
ni nani huyu ambaye huuingiza ujinga huu uwe ni somo rasmi kwenye mitaala ya taifa?
 
Adui ni ninyi wenyewe mnaongamgania dini yenu iwekwe kwenye combination za mitaala na iwe credit. Divinity ya wakristu ni kama option na ni subsidiary haiwezi ikawa basic ya kuchaguliwa kuendelea na masomo ya juu.Waondoe kabisa hivi vitu ni kero Kila mtu asome Imani yake huko kwenye dini Yao na kama wanampa mtihami wampe wao na cheti Chao wenyewe lakini vyeti vya serikali lisiwepi somo la dini yoyote
Kumbe ndio hofu yenu.Mbona sisi hatujasema hivyo.Na iwapo tutapenda iwe hivyo pia itakuwa kuna faida kwetu.Iwapo nyinyi haiwafai sisi inatufaa na isiwe sababu kwa sababu haina faida kwenu mtuzuie na sisi kwa hofu zisizokuwa na msingi,
 
Hizi dini zilizopo zingefutwa tu....

Alafu tuanzishe dini mpaya ya KIPAGANI/MIZIMU 😈👿😈👹👺🤡🤡☠️💀👽
 
Kila dini ikitaka somo lake liingizwe kwenye mitaala unadhani nini kitatokea? Tatizo mnajifanyq special sana na elimu akhera yenu.
Hakuna chochote kitakachotokea isipokuwa kheri tu.Na zipo dini mafunzo yao hayawezi kufikia hata std 3 itakuwa yameisha.Hao sidhani kama wataomba kufundisha mashuleni. Kwa upande wa uislamu hata ukifikia PHD safari bado ni ndefu.
 
Adui ni ninyi wenyewe mnaongamgania dini yenu iwekwe kwenye combination za mitaala na iwe credit. Divinity ya wakristu ni kama option na ni subsidiary haiwezi ikawa basic ya kuchaguliwa kuendelea na masomo ya juu.Waondoe kabisa hivi vitu ni kero Kila mtu asome Imani yake huko kwenye dini Yao na kama wanampa mtihami wampe wao na cheti Chao wenyewe lakini vyeti vya serikali lisiwepi somo la dini yoyote
Mkuu, Mimi niko against na huo uharo wa Dini na Imani. Na adui yetu ni huyo anayetaka kuhakikisha kila mtoto anamlisha huo upofu. Tunapoteza Kizazi cha Fikra kwa kupandikiziwa haya matakataka.

SIKU IPO AMBAYO MAKANISA NA MISIKITI YATAGEUZWA KUWA MABANDA YA MIFUGO AU KARAKANA ZA JUZI NA UFUNDI STADI MBALIMBALI.
 
Adui ni ninyi wenyewe mnaongamgania dini yenu iwekwe kwenye combination za mitaala na iwe credit. Divinity ya wakristu ni kama option na ni subsidiary haiwezi ikawa basic ya kuchaguliwa kuendelea na masomo ya juu.Waondoe kabisa hivi vitu ni kero Kila mtu asome Imani yake huko kwenye dini Yao na kama wanampa mtihami wampe wao na cheti Chao wenyewe lakini vyeti vya serikali lisiwepi somo la dini yoyote
Itabidi waweke na SoMo la mizimu na kutambika pia
 
Back
Top Bottom