Akili yako ni ndogo sana kuelewa mambo mapanaHilo somo ni kuingiza ujinga wa kudumu katika jamii, kwani linaleta maarifa gani katika kujikwamua kiuchumi na kujiletea maendeleo? Litakuwa mzigo usiokuwa na faida kwa wanafunzi, halijengi nyumba, barabara, halileti ubunifu zaidi ya kuleta ugonjwa wa akili, akili kuwa ya kizembe. Hilo somo wakafundishane wenyewe kwenye nyumba zao za ibada wakajazane ujinga huko mpaka waje washituke karne nyingi zijazo. Badala ya kupanga masomo ya maana wanapanga upuuzi kuzidi kuididimiza jamii kwenye shimo refu la umasikini, ujinga na maradhi
Hujaeleweka.Nani hana ujuzi wa kuunda mtaala.Unajua huyo anayezungumza ni nani.Huko serikalini si kuna waislam? Haohao wanatosha kupitisha mtaala huo ufundishwe. Hawa wengine hawana ujuzu wa kuunda mtaala katika ngazi za ufundishaji na hatua zake za kuandaa azimio la kazi na andalio la somo na namna ya kutoa tathimini kama somo limeeleweka kwa wanafunzi wote
somo hilo linaitwaje?Hilo somo ni kuingiza ujinga wa kudumu katika jamii, kwani linaleta maarifa gani katika kujikwamua kiuchumi na kujiletea maendeleo? Litakuwa mzigo usiokuwa na faida kwa wanafunzi, halijengi nyumba, barabara, halileti ubunifu zaidi ya kuleta ugonjwa wa akili, akili kuwa ya kizembe. Hilo somo wakafundishane wenyewe kwenye nyumba zao za ibada wakajazane ujinga huko mpaka waje washituke karne nyingi zijazo. Badala ya kupanga masomo ya maana wanapanga upuuzi kuzidi kuididimiza jamii kwenye shimo refu la umasikini, ujinga na maradhi
Nyie na wenzako ndiyo akili ndogo. Mnakazania upuuzi usiokuwa na tija katika maisha ya kila siku. Eti kwenda kwa Allah! Allah ulimuona wapi?Akili yako ni ndogo sana kuelewa mambo mapana
Sisi tunaamini tutakwenda pamoja na nyinyi nyote.Tunataka tukienda tuwe tuko salama kwani huko ndio tutaishi mileleNyie na wenzako ndiyo akili ndogo. Mnakazania upuuzi usiokuwa na tija katika maisha ya kila siku. Eti kwenda kwa Allah! Allah ulimuona wapi?
Si tumekubaliana kwamba dini au dhehebu litakaloikosoa serikali ya Mama itakuwa inafanya hivyo kwa chuki za udini?Waislamu waingiwa wasiwasi na Serikali baada ya kuona Tayaar mtaala wa ELIMU ya dini katika website ya serikali na somo hilo kuanza kutumika Mwakani wakati wazir wa ELIMU alikwisha waahidi na kuwaomba radhi serikali itawashirikisha lakin Sasa Kuna DALILI zote za kutoswa
And then hiyo ndiyo akili ndogo! Are you sure kuna Allah? Una uhakika au ni kuamini? Unajua maana ya kuamini? ie IMANI? Imani ni ujinga, ujinga uliokubalika na wanadamu wenye akili ndogo...."wajanja" wakawapumbaza mamilioniSisi tunaamini tutakwenda pamoja na nyinyi nyote.Tunataka tukienda tuwe tuko salama kwani huko ndio tutaishi milele
Sasa serikali inataka kila siku ituite tusome dua kwenye majanga tu na kupiga kampeni za ukimwi.Hao wa kufanya hivyo watatoka wapi iwapo hawafundishwi.Kwa hiyo kwenye vyuo vya ualimu kutakuwa somo la kiislam kufundisha walimu watakaoenda kufundisha mashuleni. Automatically walimu hao watakuwa ni waislam tu. Huwezi kumchukua sheikh/ustaadh msikitini akafundishe shuleni kama madrasa kwani shuleni kuna taratibu za kuandaa somo na hatua za kufundisha na muda wake. Kumbukumbu za ufundishaji hurekodiwa na huja kukakuliwa na wakaguzi wa elimu toka serikalini idara ya elimu. Ina maana hata hao wakaguzi watakuwa ni waislam wanaojua somo hilo wajiridhishe na namna somo lilivyofundishwa kwa kufuata hatua zake. Duh! Ila hao waliingiza uislam mashuleni wana ajenda kuingiza uislam kwenye katiba ya nchi. Kama tu wameingiza kwenye mitaala wataachaje kuingiza kwenye katiba? Ukimruhusu ngamia kuingiza kichwa kwenye kibanda atataka kuingiza mwili mzima
akili yangu ni kubwa sana ndio maana naona ujinga unanoingizwa kwenye mitaala ya ufundishaji. Taifa litakuwa na wajinga wengi na hii ni hatari kwa jamiiAkili yako ni ndogo sana kuelewa mambo mapana
Musiwe na roho mbaya kiasi hicho.Yaani kwa vile na sisi tumekuja mnataka tukose sote.Waislam muda wote wanaona wananyanyaswa.
Bora serikali ipige marufuku masomo yote ya dini katika taasisi zake zote.
Masomo ya dini yaendeshwe na kutolewa dini husika.
Sikujua km wewe ni kilaza namna hiiHilo somo ni kuingiza ujinga wa kudumu katika jamii, kwani linaleta maarifa gani katika kujikwamua kiuchumi na kujiletea maendeleo? Litakuwa mzigo usiokuwa na faida kwa wanafunzi, halijengi nyumba, barabara, halileti ubunifu zaidi ya kuleta ugonjwa wa akili, akili kuwa ya kizembe. Hilo somo wakafundishane wenyewe kwenye nyumba zao za ibada wakajazane ujinga huko mpaka waje washituke karne nyingi zijazo. Badala ya kupanga masomo ya maana wanapanga upuuzi kuzidi kuididimiza jamii kwenye shimo refu la umasikini, ujinga na maradhi