mwanafunzi huyohuyo umfundishe binadamu asili yake aliumbwa na mungu halafu tena umfundishe alibadilika kutoka nyani na michoro umuwekee akina zinjanthopus, unamchanganya mwanafunzi totally anakuwa mjinga mpevuWaondoe kabisa mitaala ya dini mashuleni, dini zibakie makanisani na misikiti tuu
Adui yetu analea huu upuuzi, amepanga kuua na kuipoteza kabisa Kesho yetu. Amewekeza katika kuharibu watoto wetu.Waondoe kabisa mitaala ya dini mashuleni, dini zibakie makanisani na misikiti tuu
Kwa hivyo nini unapendekeza kiwe suluhisho.mwanafunzi huyohuyo umfundishe binadamu asili yake aliumbwa na mungu halafu tena umfundishe alibadilika kutoka nyani na michoro umuwekee akina zinjanthopus, unamchanganya mwanafunzi totally anakuwa mjinga mpevu
safi sana. Ujinga usiingizwe kwenye taasisi za ummaWaislam muda wote wanaona wananyanyaswa.
Ili kuondoa mikanganyiko kama hii, Bora serikali ipige marufuku masomo yote ya dini katika taasisi zake zote.
Masomo ya dini yaendeshwe na kutolewa dini husika.
kwani huwa unanisoma?Sikujua km wewe ni kilaza namna hii
Kwa hivyo nini unapendekeza kiwe suluhisho.
Hii lilotajwa ndio hilo hilo kwamba serikali iwaachie waislamu wenyewe watayarishe mitaala yao na wasomeshe wenyewe.Isijiingize kutunga mitaala halafu wajidai kuandika vitabu.Hawana wataalamu hao.Waislam muda wote wanaona wananyanyaswa.
Ili kuondoa mikanganyiko kama hii, Bora serikali ipige marufuku masomo yote ya dini katika taasisi zake zote.
Masomo ya dini yaendeshwe na kutolewa dini husika.
Adui ni ninyi wenyewe mnaongamgania dini yenu iwekwe kwenye combination za mitaala na iwe credit. Divinity ya wakristu ni kama option na ni subsidiary haiwezi ikawa basic ya kuchaguliwa kuendelea na masomo ya juu.Waondoe kabisa hivi vitu ni kero Kila mtu asome Imani yake huko kwenye dini Yao na kama wanampa mtihami wampe wao na cheti Chao wenyewe lakini vyeti vya serikali lisiwepi somo la dini yoyoteAdui yetu analea huu upuuzi, amepanga kuua na kuipoteza kabisa Kesho yetu. Amewekeza katika kuharibu watoto wetu.
SIKU IPO.
kawaulize wizara ya elimuKwa hivyo nini unapendekeza kiwe suluhisho.
tatizo unakuta ndani ya serikali kuna wahafidhina wa dini ndio wanaopenyeza upuuzi huu kwenye mitaala ya taifaHii lilotajwa ndio hilo hilo kwamba serikali iwaachie waislamu wenyewe watayarishe mitaala yao na wasomeshe wenyewe.Isijiingize kutunga mitaala halafu wajidai kuandika vitabu.Hawana wataalamu hao.
Kila dini ikitaka somo lake liingizwe kwenye mitaala unadhani nini kitatokea? Tatizo mnajifanyq special sana na elimu akhera yenu.Hujaeleweka.Nani hana ujuzi wa kuunda mtaala.Unajua huyo anayezungumza ni nani.
ni nani huyu ambaye huuingiza ujinga huu uwe ni somo rasmi kwenye mitaala ya taifa?Adui ni ninyi wenyewe mnaongamgania dini yenu iwekwe kwenye combination za mitaala na iwe credit. Divinity ya wakristu ni kama option na ni subsidiary haiwezi ikawa basic ya kuchaguliwa kuendelea na masomo ya juu.Waondoe kabisa hivi vitu ni kero Kila mtu asome Imani yake huko kwenye dini Yao na kama wanampa mtihami wampe wao na cheti Chao wenyewe lakini vyeti vya serikali lisiwepi somo la dini yoyote
Kumbe ndio hofu yenu.Mbona sisi hatujasema hivyo.Na iwapo tutapenda iwe hivyo pia itakuwa kuna faida kwetu.Iwapo nyinyi haiwafai sisi inatufaa na isiwe sababu kwa sababu haina faida kwenu mtuzuie na sisi kwa hofu zisizokuwa na msingi,Adui ni ninyi wenyewe mnaongamgania dini yenu iwekwe kwenye combination za mitaala na iwe credit. Divinity ya wakristu ni kama option na ni subsidiary haiwezi ikawa basic ya kuchaguliwa kuendelea na masomo ya juu.Waondoe kabisa hivi vitu ni kero Kila mtu asome Imani yake huko kwenye dini Yao na kama wanampa mtihami wampe wao na cheti Chao wenyewe lakini vyeti vya serikali lisiwepi somo la dini yoyote
Hakuna chochote kitakachotokea isipokuwa kheri tu.Na zipo dini mafunzo yao hayawezi kufikia hata std 3 itakuwa yameisha.Hao sidhani kama wataomba kufundisha mashuleni. Kwa upande wa uislamu hata ukifikia PHD safari bado ni ndefu.Kila dini ikitaka somo lake liingizwe kwenye mitaala unadhani nini kitatokea? Tatizo mnajifanyq special sana na elimu akhera yenu.
Mkuu, Mimi niko against na huo uharo wa Dini na Imani. Na adui yetu ni huyo anayetaka kuhakikisha kila mtoto anamlisha huo upofu. Tunapoteza Kizazi cha Fikra kwa kupandikiziwa haya matakataka.Adui ni ninyi wenyewe mnaongamgania dini yenu iwekwe kwenye combination za mitaala na iwe credit. Divinity ya wakristu ni kama option na ni subsidiary haiwezi ikawa basic ya kuchaguliwa kuendelea na masomo ya juu.Waondoe kabisa hivi vitu ni kero Kila mtu asome Imani yake huko kwenye dini Yao na kama wanampa mtihami wampe wao na cheti Chao wenyewe lakini vyeti vya serikali lisiwepi somo la dini yoyote
Itabidi waweke na SoMo la mizimu na kutambika piaAdui ni ninyi wenyewe mnaongamgania dini yenu iwekwe kwenye combination za mitaala na iwe credit. Divinity ya wakristu ni kama option na ni subsidiary haiwezi ikawa basic ya kuchaguliwa kuendelea na masomo ya juu.Waondoe kabisa hivi vitu ni kero Kila mtu asome Imani yake huko kwenye dini Yao na kama wanampa mtihami wampe wao na cheti Chao wenyewe lakini vyeti vya serikali lisiwepi somo la dini yoyote