Kwa Wakristo Kuna somo kinaitwa Bible knowledge au Christian Religious Education au CRE
Wakristo kwenye vyuo vya Kikiristo Walimu hufunzwa masomo yote ya ualimu pamoja na Hilo somo hivyo wakienda shule yeyote huajiriwa kufundisha masomo ya kawaida pamoja na Hilo somo la dini
Hawaajiriwi Kwa ajili ya somo.la kufundisha dini tu
Kimbembe kiko Kwa waislamu hawana vyuo vya ualimu wa certificate, diploma na digrii vya masomo yote ya ualimu ikiwemo ya SoMo la kiislamu