The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Dini ya mashoga ndio dini ya hakiWaislamu wakasirika na kulaan8 vikali mashoga kufanya party sherehe saudi Arabia wakati huu wa msimu wa hijja.
Inasemekana sherehe hiyo iliruhusiwa na utawala wa MBS mwana wa mfalme.
Video hiyo iliyosambaa kwenye
View attachment 3595796
Nyau de adriz
moja wao yupo korokoroni Tz right? nae angelaaniwa pia bilashaka gentleman 🐒
Wacha kuruka ruka, jikite kwenye mada mezani CHAWAmoja wao yupo korokoroni Tz right? nae angelaaniwa pia bilashaka gentleman 🐒
ukweli usemwe gentleman,Wacha kuruka ruka, jikite kwenye mada mezani
Wewe na wenzako ndo mashoga, ndo sababu mnatumwa na kulipwa kuteka, KUFIRA, nk...ukweli usemwe gentleman,
na unajua huyo shoga alioko korokoroni ana chronic roundworms, yaani minyoo sugu kwasababu gani?
connect dot mwenyewe,
ule uchafu ni laana mbaya sana gentleman tumboni pake pamejaa takataka za kiume aise?🐒
na ile minyoo sugu inayomtesa, hivi sasa inampanda kichwani na kumsababishia chronic stress, aise?Wewe na wenzako ndo mashoga, ndo sababu mnatumwa na kulipwa kuteka, KUFIRA, nk...
Laana gani tenaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] walikuwa hawajui kwamba dini ni mchongo
Seems like MBS hataki huo upumbavu wa kutawala Kwa kutumia dini cause yupo kwenye system anajua wazi kuwa dini ni utapeli na havutiwi na hizo siasa za kale za kutumia kutawala Kwa kutumia mchongo fake wa dini
All In all binaadamu anapozidi kuwa na pesa ndio anazidi kutamani kufanya laana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa nashangaa sana napoona Muislamu anafurahia Uislamu kuenea Magharibi. Utafanyia modifications hamtaani.
Ni ngumu sana kumcontroll Mzungu asee. Aache kutembea na kichupi, bikini? Umveshe Juba beach? Mzungu huyu huyu?
Ushoga ni ushenzi? Kwa ku refer nini?Tukiwaambia uislam unachakachuliwa kwa kasi ya ajabu hawa kobozi wa humu ni wabishi, wajionee wenyewe huko palipo na utukufu wao panafanyika ushenzi sembuse madongokuinama, mchambawima bongo? MBS anaudhalisha uislam na ardhi tukufu