granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,869
- 11,356
MBS Shikilia hapo hapo sheikhe wangu, tena usidanganyike ukalegeza.Ushoga ni ushenzi? Kwa ku refer nini?
MBS Shikilia hapo hapo sheikhe wangu, tena usidanganyike ukalegeza.Ushoga ni ushenzi? Kwa ku refer nini?
kah!MBS Shikilia hapo hapo sheikhe wangu, tena usidanganyike ukalegeza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MBS Shikilia hapo hapo sheikhe wangu, tena usidanganyike ukalegeza.
Ulifika ukahakikisha au unasoma magazetini na kwenye vi clip vya tamthilia ??Huko afghanistan watoto wa kiume wanafanywa vibaya kwa kifupi wqtu wabaya wanajificha kwa mwamvuli wq dini
Waislamu wakasirika na kulaan8 vikali mashoga kufanya party sherehe saudi Arabia wakati huu wa msimu wa hijja.
Inasemekana sherehe hiyo iliruhusiwa na utawala wa MBS mwana wa mfalme.
Video hiyo iliyosambaa kwenye
View attachment 3595796
View attachment 3595931
Nyau de adriz
MBS Shikilia hapo hapo sheikhe wangu, tena usidanganyike ukalegeza.
Huko afghanistan watoto wa kiume wanafanywa vibaya kwa kifupi wqtu wabaya wanajificha kwa mwamvuli wq dini
Unaponiwekea clip ya Hispania wewe uliwahi kufika hukoUlifika ukahakikisha au unasoma magazetini na kwenye vi clip vya tamthilia ??
Waislamu wakasirika na kulaan8 vikali mashoga kufanya party sherehe saudi Arabia wakati huu wa msimu wa hijja.
Inasemekana sherehe hiyo iliruhusiwa na utawala wa MBS mwana wa mfalme.
Video hiyo iliyosambaa kwenye
View attachment 3595796
View attachment 3595931
Nyau de adriz
Huna haja ya kuwa huko , kamuulize Nabii wako Tito , Mapadri walimfanya nini Sunday schoolMbona hii clip ya udaku.. Ulifika huko au umbeya?
Mbona mara nyingi tu . Wewe hujafika huku ?Unaponiwekea clip ya Hispania wewe uliwahi kufika huko
Ushasema BEACH .. ni sehem maalumu ya hayo mavazi.Huwa nashangaa sana napoona Muislamu anafurahia Uislamu kuenea Magharibi. Utafanyia modifications hamtaani.
Ni ngumu sana kumcontroll Mzungu asee. Aache kutembea na kichupi, bikini? Umveshe Juba beach? Mzungu huyu huyu?