Waislamu wamshambulia Salah baada ya kuposti picha ya Krismas

Mimi i wont celebrate ila pilau lenu nakula vizuri tu
kwa Salah yeye ni mtu mashuhuri bila kujali imani za mashabiki wake ameamua kua neutral kusheherekea na mashabiki zake siuoni ubaya

Hata nyama natandika isipokua tu ya yule Ghriiiii
Ghrii kula kidogo tu mkuu ukila nyingi ndio mbaya...
 
Wanasema Cha Arusha, kuna Cha Uarabuni sasa ni balaa sana.
 
Mimi i wont celebrate ila pilau lenu nakula vizuri tu
kwa Salah yeye ni mtu mashuhuri bila kujali imani za mashabiki wake ameamua kua neutral kusheherekea na mashabiki zake siuoni ubaya

Hata nyama natandika isipokua tu ya yule Ghriiiii

Hujui Kula ni sehemu ya kusherehekea?
 
Hiyo mbona ndio kawaida ya Salah? Mwenyewe naona ameshaona ni sehemu yake ya kupatia kick.
Kila mwaka lazima 'achokoze' Waarabu wenzie.
Anawachokoza vipi? Nadhani ni wapumbavu na hawana akili. Anaishi maisha yake. Account ni yake hawakumchangia kufungua. They are just a bunch of stupid people wanaotaka mpangia maisha.
 
Mzuka wanajamvi!

Kama kawaida yake mshambuliaji na winga matata wa timu ya ligi ya uingereza ambayo sasa hivi inaongoza ligi Raia wa Misri Mohammed Salah. Ameposti picha akiwa mbele ya mti wa Christmas na kuwatakia heri ya Krismas kila mtu.

Baada ya kuposti yaliyofuata ni mfululizo wa mashambulizi kutoka kwa waislam ambao hawakuridhishwa na kukasirishwa na Salah.

View attachment 3185476
Hata mwaka Jana ilikua hivyo hivyo tu
 
Ndiyo hatakiwi kushiriki katika sherehe ya waliokufuru
 
Wakubaliane kwanza kwenye Sikukuu ya Maulidi Kisha wamrejee Salah
 
Mihemuko mibaya sana duniani!
Maisha yenyewe mafupi! Badala ya kuyafurahia wengine wawa mbongo kama...
Bure kabisa 🤬 🤬 🤬
 
Watu wa itikadi Kali, wenye dini Zao hawawezi Kula chakula cha sikukuu ya kikafiri
Hao ni wapumbavu bila kujali wana amini katika imani ipi ujamuona mpumbavu mmoja hapo juu nmemjibu

Ukiwa na akili timamu kamwe huwez utweza utu wa mwenzako kisa imani yako ya dini
 
Mzuka wanajamvi!

Kama kawaida yake mshambuliaji na winga matata wa timu ya ligi ya uingereza ambayo sasa hivi inaongoza ligi Raia wa Misri Mohammed Salah. Ameposti picha akiwa mbele ya mti wa Christmas na kuwatakia heri ya Krismas kila mtu.

Baada ya kuposti yaliyofuata ni mfululizo wa mashambulizi kutoka kwa waislam ambao hawakuridhishwa na kukasirishwa na Salah.

View attachment 3185476
Ukiwa extremist unageuka kuwa zezeta bin zuzumagic, hufanyi tafakari, wewe ni kuendeshwa na mihemko tu ya kihisia
 
Hao ni wapumbavu bila kujali wana amini katika imani ipi ujamuona mpumbavu mmoja hapo juu nmemjibu

Ukiwa na akili timamu kamwe huwez utweza utu wa mwenzako kisa imani yako ya dini

Wewe unaweza Kula chakula cha Makafiri katika sikukuu ya kikafiri? Ya kuzaliwa kwa mtu wanayemuita Mungu ambaye kwa dini yako unaamini Mungu hajazaa wala hajazaliwa
 
Imani ni jambo la kibinafsi. Hapo ndipo mudi alipoleta shida. Yeye anasema imani ni ya umma mzima. Mtu yeyote akienda kinyume auawe
 
Wewe unaweza Kula chakula cha Makafiri katika sikukuu ya kikafiri? Ya kuzaliwa kwa mtu wanayemuita Mungu ambaye kwa dini yako unaamini Mungu hajazaa wala hajazaliwa
Mimi nakula chakula cha asie muumini nikishiriki nae kula na kunywa vya halali bila kujali masiku na tarehe na hivyo ndivyo tunaishi watanzania na waafrika
 
Back
Top Bottom