Waislamu wamshambulia Salah baada ya kuposti picha ya Krismas

Waislamu wamshambulia Salah baada ya kuposti picha ya Krismas

Waislam akili ndogo siku zote wanapigana kimwili kidunia na dini yao ya uongo hiyo ndio mana wanaipambania
 
Imani ni jambo la kibinafsi. Hapo ndipo mudi alipoleta shida. Yeye anasema imani ni ya umma mzima. Mtu yeyote akienda kinyume auawe
Formula rahisi kujua kama umepumbazwa
Ni kuamini kua imani yako ni bora kuliko ya mwenzko
 
Na Salah kila mwaka Christmas lazima apost akiwa amepiga picha nao, na kelele ni zile zile tu kila mwaka hawajanza Leo ni kila mwaka lazima kelele
Wanaopiga kelele ni wapuuzi wachache
 
Mimi nakula chakula cha asie muumini nikishiriki nae kula na kunywa vya halali bila kujali masiku na tarehe na hivyo ndivyo tunaishi watanzania na waafrika

Sina tatizo na huo utaratibu wako.

Ila muislam wa kweli hawezi kushiriki ibada za Makafiri ikiwemo sikukuu Zao.
Kumbuka sikukuu ni sehemu ya IBADA
 
Sina tatizo na huo utaratibu wako.

Ila muislam wa kweli hawezi kushiriki ibada za Makafiri ikiwemo sikukuu Zao.
Kumbuka sikukuu ni sehemu ya IBADA
Elewa al aaamal niiyatu Hukumu ya jambo ni nia kwa muislam mimi najumuika kula chakula kwa minaajili ya kula chakula sio kusheherekea na si wakati tu wa december ninajumuika nao vipindi vyote vya mwaka kila ninapojisikia kushiriki kula na kunywa nao
 
Ungali ukijua chakula hicho ni SHEREHE za kikafiri?

Sawasawa.
FaizaFoxy Malaria 2 wao watasema vinginevyo
 
Sawa, lakini isiwe katika udini sana sipendelei.
Bila shaka mkuu naelewa, kwanini mo anapata criticism kubwa sana, yani wanashindwa nini kumpotezea, maana hadi sasa imeshakua kama tukia special la social media december kusubili post ya mo.

Dada nimejitahidi sana kuliweka swali balanced, i hope utanielewa
 
Kuna mwislamu nlkuwa nae jana amebeba kijiko na ndizi kwenye kanzu yake tunapita nae nyumba hadi nyumba kula sikukuu
 
Mbona huyo Ghriii wengi wenu ndo walaji wakubwa. Naskia eti mmehalalisha ikimla kwa kujificha ni halal siyo dhambi. Dhambi na haram inakuja ukimla hadharani.
Mwanzoni nilikuwa naogopa sana kula mdudu saa hivi naiandaa I mean naipika kbs😀
 
Imani ni jambo la kibinafsi. Hapo ndipo mudi alipoleta shida. Yeye anasema imani ni ya umma mzima. Mtu yeyote akienda kinyume auawe
Hii umenukuu wapi? Na kwanini watu wa imani zingine hawakuuwawa juu ya kubadili dini
 
Na Salah kila mwaka Christmas lazima apost akiwa amepiga picha nao, na kelele ni zile zile tu kila mwaka hawajanza Leo ni kila mwaka lazima kelele
Mwamba hawazi hayo makelele yao ndio maana kila mwaka anapost
 
Mwanzoni nilikuwa naogopa sana kula mdudu saa hivi naiandaa I mean naipika kbs😀
Haya makatazo mengine ni kunyimana raha tu za dunia, katoka huko mwarabu arabuni anakuja kunipangia cha kula,kweli?
 
Mimi mkristo pentecoste Nina rafiki yangu Moslem ni swala tano ila ni rafiki yangu tunapatana sana huwezi amini
 
Watu wa itikadi Kali, wenye dini Zao hawawezi Kula chakula cha sikukuu ya kikafiri
Sio itikadi kali bali ni mafundisho ya uislamu, hairuhusiwa kula chakula kilichoandaliwa kwaajili ya sikukuu zisizokuwa za kiislamu, na hata zinazosemwa za kiislamu kama maulid ni haramu kula chakula hicho, isipokuwa eid mbili ya fitr na ya kuchinja.

Ama khitma, arobaini n.k ni haramu kula.
 
Back
Top Bottom