FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Mwenzeni anatangaza brand yake ya biashara, anajua wateja wake ni wa imani hiyo pia.., nyie mnabwabwata tu..Mzuka wanajamvi!
Kama kawaida yake mshambuliaji na winga matata wa timu ya ligi ya uingereza ambayo sasa hivi inaongoza ligi Raia wa Misri Mohammed Salah. Ameposti picha akiwa mbele ya mti wa Christmas na kuwatakia heri ya Krismas kila mtu.
Baada ya kuposti yaliyofuata ni mfululizo wa mashambulizi kutoka kwa waislam ambao hawakuridhishwa na kukasirishwa na Salah.
View attachment 3185476