Hiyo mbona ndio kawaida ya Salah? Mwenyewe naona ameshaona ni sehemu yake ya kupatia kick.
Kila mwaka lazima 'achokoze' Waarabu wenzie.
Ghrii kula kidogo tu mkuu ukila nyingi ndio mbaya...Mimi i wont celebrate ila pilau lenu nakula vizuri tu
kwa Salah yeye ni mtu mashuhuri bila kujali imani za mashabiki wake ameamua kua neutral kusheherekea na mashabiki zake siuoni ubaya
Hata nyama natandika isipokua tu ya yule Ghriiiii
Mimi i wont celebrate ila pilau lenu nakula vizuri tu
kwa Salah yeye ni mtu mashuhuri bila kujali imani za mashabiki wake ameamua kua neutral kusheherekea na mashabiki zake siuoni ubaya
Hata nyama natandika isipokua tu ya yule Ghriiiii
Anawachokoza vipi? Nadhani ni wapumbavu na hawana akili. Anaishi maisha yake. Account ni yake hawakumchangia kufungua. They are just a bunch of stupid people wanaotaka mpangia maisha.Hiyo mbona ndio kawaida ya Salah? Mwenyewe naona ameshaona ni sehemu yake ya kupatia kick.
Kila mwaka lazima 'achokoze' Waarabu wenzie.
Sawa, lakini isiwe katika udini sana sipendelei.nifah, nina swali juu ya mjadala huu wa mo salah kama upo tayari mkuu
Hata mwaka Jana ilikua hivyo hivyo tuMzuka wanajamvi!
Kama kawaida yake mshambuliaji na winga matata wa timu ya ligi ya uingereza ambayo sasa hivi inaongoza ligi Raia wa Misri Mohammed Salah. Ameposti picha akiwa mbele ya mti wa Christmas na kuwatakia heri ya Krismas kila mtu.
Baada ya kuposti yaliyofuata ni mfululizo wa mashambulizi kutoka kwa waislam ambao hawakuridhishwa na kukasirishwa na Salah.
View attachment 3185476
Kula pilau ni sehem ya kusheherekeaHujui Kula ni sehemu ya kusherehekea?
Kula pilau ni sehem ya kusheherekea
Unaweza kua sahihi
Lakini mimi sili kusherekea nanyi nakula kama kula na jamaa na ndugu
Hao ni wapumbavu bila kujali wana amini katika imani ipi ujamuona mpumbavu mmoja hapo juu nmemjibuWatu wa itikadi Kali, wenye dini Zao hawawezi Kula chakula cha sikukuu ya kikafiri
Sawa, lakini isiwe katika udini sana sipendelei.
Ukiwa extremist unageuka kuwa zezeta bin zuzumagic, hufanyi tafakari, wewe ni kuendeshwa na mihemko tu ya kihisiaMzuka wanajamvi!
Kama kawaida yake mshambuliaji na winga matata wa timu ya ligi ya uingereza ambayo sasa hivi inaongoza ligi Raia wa Misri Mohammed Salah. Ameposti picha akiwa mbele ya mti wa Christmas na kuwatakia heri ya Krismas kila mtu.
Baada ya kuposti yaliyofuata ni mfululizo wa mashambulizi kutoka kwa waislam ambao hawakuridhishwa na kukasirishwa na Salah.
View attachment 3185476
Hao ni wapumbavu bila kujali wana amini katika imani ipi ujamuona mpumbavu mmoja hapo juu nmemjibu
Ukiwa na akili timamu kamwe huwez utweza utu wa mwenzako kisa imani yako ya dini
Hao ni wapumbavu bila kujali wana amini katika imani ipi ujamuona mpumbavu mmoja hapo juu nmemjibu
Ukiwa na akili timamu kamwe huwez utweza utu wa mwenzako kisa imani yako ya dini
Mimi nakula chakula cha asie muumini nikishiriki nae kula na kunywa vya halali bila kujali masiku na tarehe na hivyo ndivyo tunaishi watanzania na waafrikaWewe unaweza Kula chakula cha Makafiri katika sikukuu ya kikafiri? Ya kuzaliwa kwa mtu wanayemuita Mungu ambaye kwa dini yako unaamini Mungu hajazaa wala hajazaliwa
Na hii ni bila kujali upo simba au YangaUkiwa extremist unageuka kuwa zezeta bin zuzumagic, hufanyi tafakari, wewe ni kuendeshwa na mihemko tu ya kihisia