Waislamu wamshambulia Salah baada ya kuposti picha ya Krismas

Mwenzeni anatangaza brand yake ya biashara, anajua wateja wake ni wa imani hiyo pia.., nyie mnabwabwata tu..
 
If Islam were truly God's religion, I would be a devoted Muslim.

Si l'islam était véritablement la religion de Dieu, je serais un musulman dévoué.

Une Islam ng’ane yawe dini ya Ng’wene wa ukweli, nandaga niwe MuIslamu wa ukweli.

Ili Islam ing’we dini ya Mungu wa ukweli, nendikawa MuIslamu wa ukweli.
 
Syo mara ya kwanza kupost picha ya hivi kwahyo nadhani alijua tua atatukanwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…