Waislamu wanadai Manabii wote kabla ya Mohammad walikuwa Waislamu; Je Nuhu naye pia?!

Waislamu wanadai Manabii wote kabla ya Mohammad walikuwa Waislamu; Je Nuhu naye pia?!

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
2,321
Reaction score
1,906
Kama Nuhu alikuwa Muislamu ilikuwaje akawachukua pia Nguruwe na tena akakaa nao ndani ya safina kipindi chote cha gharika?!
Ona picture
Screenshot_20260913_225004_Chrome.jpg
 
Waislamu wengi hawana elimu ya dini niseme ni bahati mbaya hata dini yao hawaifahamu vizuri kila kitu wanajimilikisha ukimuelimisha anabisha tu kama mwehu.
 
Nguruwe ni haramu hata kwa wakristo, nyie wengine wahuni mshaamua kuleni tu hakuna anayewazuia..... na endeleeni kujifariji.
 
Kwani Nuhu kupakia wanyama lengo lilikuwa ni kuwala?
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
nadhani kwa kua chakula kikosekana kabisa ni ruksa kupiga pig, hivyo yawezekana ilikua na umuhimu mzee pig kubebwa , ili watu waje kua tested na pia kuoffer backup inacase of no food
 
Kama Nuhu alikuwa Muislamu ilikuwaje akawachukua pia Nguruwe na tena akakaa nao ndani ya safina kipindi chote cha gharika?!
Ona picture
View attachment 3669994


Mkuu, swali lako lina tatizo: ni wapi Biblia au Qur’an inasema Nuhu alichukua nguruwe ndani ya Safina?

Biblia inasema Nuhu achukue wanyama wawili wawili, dume na jike (Mwanzo 6:19–20), na pia inataja wanyama safi saba saba na wasio safi wawili wawili (Mwanzo 7:2–3). Lakini haisemi “nguruwe” kwa jina.

Qur’an nayo inasema Allah alimwamuru Nuhu awachukue katika Safina “kila aina jozi mbili” (Hud 11:40), lakini haitaji nguruwe.

Kwa hiyo kama unadai Nuhu alichukua nguruwe, lete aya ya Biblia au Qur’an inayosema hivyo. Usiniulize nijibu jambo ambalo maandiko yenyewe hayajasema.

Na kuwa Muislamu hakumaanishi kwamba Muislamu haruhusiwi kuwepo karibu na mnyama huyo; kinachohusu nguruwe ni hukumu ya kula nyama yake, si kwamba mnyama huyo hawezi kuwepo kwenye Safina.
 
Back
Top Bottom