Waislamu wanaosema Ukristo sio dini huwa wana maana gani?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini.

Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
 
Mti mwema ndio unaopigwa mawe, huwezi kurusha mawe kwenye mti wa mkaratusi.
 
Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini.

Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
Gentleman,
nadhani ni vizuri kujiepusha na mijadala ya kichochezi hususani ya kidini ambayo daima hainaga muafaka mwema wa amani, na itapendeza zaidi 🐒
 
Kwani DINI ni nini?....Mimi naona maana ya dini inategemea na dini yenyewe hivyo basi Kila DINI ina maana Yake ya dini ni nini... Waislamu wana maana yao, wakristo Wana maana yao na hata Kwa wengine ni hivyo hivyo na pia kuna maana universal ya dini ambayo fundamentalist wa dini hawakubali maana universal ya dini...Hivyo basi Muislamu anaposema ukristo sio dini Yuko sawa na Mkristo akisema uislamu sio dini pia Yuko sawa, the same Kwa wengine wenye dini tofauti.
 
Wengi wao, akili kichwani mwao huwa ni Pungufu. Ndo maana mda wote kukashfu ukristo.
 
Waislam tunaamini ukristo ni dini sababu hata Allah s w anajua kuhusiana na hilo
Ila tunakubaliana kwamba sio dini sahihi kama ambavyo wakristo mnakubaliana kwamba uislam sio dini sahihi
Qur’an inasema nyinyi mna dini yenu (dini zisokua uislam)
Na sisi tuna dini yetu (Uislam)
Mada ifungwe 🚶🏿🚶🏿🚶🏿
 
Kwani DINI ni nini?....Mimi naona maana ya dini inategemea na dini yenyewe hivyo basi Kila DINI ina maana Yake ya dini ni nini... Waislamu wana maana yao, wakristo Wana maana yao na hata Kwa wengine ni hivyo hivyo na pia kuna maana universal ya dini ambayo fundamentalist wa dini hawakubali maana universal ya dini...Hivyo basi Muislamu anaposema ukristo sio dini Yuko sawa na Mkristo akisema uislamu sio dini pia Yuko sawa, the same Kwa wengine wenye dini tofauti.
Wewe kwako dini ni nini?
 
Kwangu DINI ni mfumo unaoratibu maisha binafsi ya mwanadamu na jamii Kwa ujumla....

Je wewe kwako DINI ni nini?.
Kuabadu mungu au miungu.
 
Waislam tunaamini ukristo ni dini sababu hata Allah s w anajua kuhusiana na hilo
Ila tunakubaliana kwamba sio dini sahihi kama ambavyo wakristo mnakubaliana kwamba uislam sio dini sahihi
Qur’an inasema nyinyi mna dini yenu (dini zisokua uislam)
Na sisi tuna dini yetu (Uislam)
Mada ifungwe 🚶🏿🚶🏿🚶🏿
Dini ni ujinga mtupu, ni muhimu kukubaliana Mungu yupo kuliko dini.

Utapeli wa dini, dini zote hazipingani kwenye kutowa sadaka.
 
Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini.

Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
Waislam wanasema hivi
Adamu
Nuhu
Ibrahim
Isaka
Jakobo
Hao wote walikuwa waislam na sio Kwa hiyari Yao ila waliambiwa na Mungu wawe waislam
Sasa kama ndio hivyo
ukristo ulitoka wap?
 
Usiseme Waislamu wanasema hivi au vile, sema hivi verse fulani kitabu fulani inasema abcd na siyo hear saying, hapo tutaelewana.
 
Waislam wanasema hivi
Adamu
Nuhu
Ibrahim
Isaka
Jakobo
Hao wote walikuwa waislam na sio Kwa hiyari Yao ila waliambiwa na Mungu wawe waislam
Sasa kama ndio hivyo
ukristo ulitoka wap?
Uislamu ulianza na Muhammad, yeye ndio Muislamu wa kwanza, hizo nyingine zote ni porojo tu.
 
Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini.

Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
Mkuuu Uislamu haujasema Ukristo sio dini.. achana na waislamu wanasema fuata kile uislamu unachosema.

Quran inasema nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu.

Na pia unasema Dini ya haki ni uislamu means kuna dini zingine ila hazikubaliki katika Uislamu
 
Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini.

Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
Na kinyume chake, ukristu ni mila za kizungu na uislamu ni mila za kiarabu.
 
Uislamu ulianza na Muhammad, yeye ndio Muislamu wa kwanza, hizo nyingine zote ni porojo tu.
Unatamani iwe hivyo lakini Kwa bahati mbaya uliyonayo sio hivyo

Muhammad ni nabii wa mwisho manabii wenzake waliomtangulia wote walikuwa waislam
 
Back
Top Bottom