Waislamu wanatubeba sana!!

Hao ni waisilamu ila sio waumini
 
Waislamu Kuna kitu wametuzidi wakristo na inabidi tujitafakari sana matendo Yao, mie Mkristo ila huwa na enjoy utawala wa Waislamu, huwa hawana mambo ya hovyo hovyo hivi tofauti na sie
Utawala wa wakiristo roho mbaya sana mfano nyerere mkapa magufuli tawala hizi ziliwafanya watu kuwa watumwa kwenye nchi yao
 
Naona mlengo wako ni kutaka watu wasifuate dini wafuate asili yao swali mbona unaandika kwa kuchanganya lugha ya watu weupe unaojitia kuwa kataa?au unajificha hili tujue aumo kwenye mkumbo wa kufuata dini!!!kuwa wazi bhana na hiyo dini yako
Kwa sababu mada imeyataja majina usio yapenda unajifanya kuponda watu weusi Udini hupo sana sio Tanzania hata huko kwa unakodhani wameendelea
 
Umewataja dagaa ndani ya nchi ya madagaa.ungepanua kichwa hata kidogo usingekuja na huu Uzi wako wa rangi.

Uchumi wa dunia hii inaongozwa na wakristo.

Ukitaka kuleta udini wako humu tutakushangaa tu.

Marekani,china,ujerumani ,uingereza na ukiongeza na urusi usingeleta uislamu wako humu
 
Mkuu si umeshamaliza (umefunga hoja) "swala tano" hivi unaswali mara 5 kila siku na wenzako wengine wanakusaidia kweli utashindwa kupata ulichokusudia?
sawa mwingereza naona hujui kiswahili vzr, britain wazima?

afu waislam wa swala tano huwa wanafanikiwa haraka sana, sijui wale jamaa kuna kitu cha ziada wanatumia?
 
Udini upo sana na ukabila na ukanda unakataa jambo ambalo limo moyoni mwako
Mi moyoni kwangu sina habari hizo,kabila au dini,Mtu ni mtu.Kafanya vyema nitamsifia pasipo kusema huyu hivi ni hivi.Haya ya udini au ukabila tumeyakuta hapa chini ya jua.Nasema mimi siulizagi haya ya udini wala ukabila.
 
Acha kujifanya hamnazo, kaelezea Tanzania wewe unakuja na ngonjera za uchumi wa Dunia.
Elezea uchumi wa Tanzania unashilikiliwa na Wakristo ama Waislamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…