Hakuna ukweli wowote umeokoteza majina ya watu halafu unasema Uislamu unatubeba. Inaonesha unatukuza dini za watu kuliko ability ya mtu. Kama mtu anaweza kufanya Jambo tumpongeze kwa ability sio kwa dini yake. Ability ya Samatta kucheza nje isiwe kuhusishwa na dini.Ukweli mchungu kama flagyl! Pole
Shida yako unasumbuliwa na majina. Mtu akiitwa James umekimbia kumlable ni mkristo na mtu akiitwa Ally umekimbia kumlable ni muislam. Ethiopia Waziri Mkuu wake anaitwa Abeiy Ahmed lakini ni mlokole . Shida yako unatukuza udini.Shoga maarufu aliyekua anajulikana Tanzania nzima ni "James Delicious"
Unataka kujua alikua dini gani?
View attachment 2050760
Huo no mtazamo wako. Mimi kwangu akitawala Mkristo naona huwa Kuna maendeleo, Kama Rais Mkapa na Rais Magufuli. Kikwete ufisadi ulikuwa mkubwa na kujiana.Waislamu Kuna kitu wametuzidi wakristo na inabidi tujitafakari sana matendo Yao, mie Mkristo ila huwa na enjoy utawala wa Waislamu, huwa hawana mambo ya hovyo hovyo hivi tofauti na sie
Hapo kwenye orodha ya matajili Shekhar Kanabar muondowe siyo mwislamu, namjuwa vizuri huyo mtoto tangu anasoma IST Upanga, then Switzerland mpaka anamaliza college Marekani, Baba yake nimepiga naye sana mishe.They dominate and represent Tanzania in many aspects of life:
1. Football
70% of Simba, Yanga and Azam first evelen teams are dominated by Muslim players.
Not to mention the likes of Mbwana Samatta who shines our name internationally!
View attachment 2049955
2. Boxing
Nothing to say here. Check these names:
Hassan Mwakinyo
Dullah Mbabe
Twaha Kiduku
View attachment 2049956
3. Basketball
Kuna anaemjua successful basketball player other than Hashim Thabit?
View attachment 2049957
4. Muziki
😀😀 Tuseme nini hapa.
Muziki genres karibu zote hapa kuanzia Taarab, Dansi, Urban, Singeli zote ziko dominated nao.
Chibu Dangote, Alikiba, Konde, Raymond Shaaban, Lovebyte, Zuchu, Mbosso, Aslay, Marioo.
View attachment 2049959
Tuendelee?? Alichoki, Late Banza Stone, Mwinjuma, Nasma Kidogo, Malkia Khadija Kopa, Mzee Yusuph, Isha Mashauzi, Late TX Moshi, Late Marijani jabali la muziki, Komandoo Hamza Kalala.
5. Wealth:
Top ten billionaire list in Tanzania is dominated by them. I don't want to mention them. Wanafahamika.
View attachment 2049961
5. Leadership/Governance
Historians (and political experts) agree that awamu zilizotawaliwa na Muslim presidents ndizo zilikua na economic reforms, political stability, hata diplomatic relations na nchi za nje ziliimarika.
Don't mention Ugandan war ilitokea awamu gani, don't mention mauaji ya Mwembechai yalitokea awamu gani.
View attachment 2049963
Food for Thought: Is it a coincidence that all Muslim Presidents are still alive up to date!!!
Kwahiyo unasema huyo James alikua Muislamu? Maana hata mazishi yake yaliongozwa na Kanisa!!Shida yako unasumbuliwa na majina. Mtu akiitwa James umekimbia kumlable ni mkristo na mtu akiitwa Ally umekimbia kumlable ni muislam. Ethiopia Waziri Mkuu wake anaitwa Abeiy Ahmed lakini ni mlokole . Shida yako unatukuza udini.
Tufanye hivi...Hapo kwenye orodha ya matajili Shekhar Kanabar muondowe siyo mwislamu, namjuwa vizuri huyo mtoto tangu anasoma IST Upanga, then Switzerland mpaka anamaliza college Marekani, Baba yake nimepiga naye sana mishe.
Kupitia huyu dogo ninavyomfahamu ukiniambia watu weusi tumelaaniwa naweza kukukubalia kirahisi tu.
By the way umesahau tajiri namba moja duniani wa muda wote Mansa Musa.
Nimekuuliza unamfahamu mchezaji yoyote wa Basketball kutoka Tanzania zaidi ya Hashim? Hakuna.Anayejulikana wapi?. Ungeniambia Kwanza NBA au TBF. Mtu kashachuja na hakuwa na impact yeyote kwenye basketball. Wewe shida yako ni dini, unatukuza watu kiss dini zao na sio ability.
Kwani Juma Lokole ni dini gani?Kwahiyo unasema huyo James alikua Muislamu? Maana hata mazishi yake yaliongozwa na Kanisa!!
Hilo ndilo jibu la swali uliloulizwa?Kwani Juma Lokole ni dini gani?
Hapo muislamu ni Said Bakhresa tu, waliobaki hao ni Illuminati, wengi kulijuwa hili ni ngumu sana.Tufanye hivi...
Tumtoe huyo mtoto wa bosi wako plus huyo marehemu Patel (Hindu)
Hao wengine nane waliobaki umeona kuna Mkristo hata mmoja hapo?
Ndiyo uislam unaruhusu ungekuwa hauruhusu wasingefanya hayo.Ukweli Ni kwamba Kuna watu wengi sana Wana majina yanayoendana na ya waislamu lkn watu hao sio waislamu.
Hivi unaweza kusema Naseeb nimuislamu ?
Uislam unaruhusu kufuga mbwa?
Uislam unaruhusu kuchukua mke wa mtu?
Uislam unaruhusu wizi au kutembea na kina delicious?
Jifunze adabu, utaukimbia uzi huu.Hilo ndilo jibu la swali uliloulizwa?
Una akili timamu?
Acha uongo James hajafariki. Wewe utakuwa umechanganya mafaili. Halafu hata Kama angekufa, mazishi kufanyiwa ibada ya kidini inaweza kuchangiwa na uhusianao was familia yake kwenye Mambo ya kanisani sio yeye. Tofautisha dini ya kikiristo na jina la kikristo.Kwahiyo unasema huyo James alikua Muislamu? Maana hata mazishi yake yaliongozwa na Kanisa!!
Wengi sanaNimekuuliza unamfahamu mchezaji yoyote wa Basketball kutoka Tanzania zaidi ya Hashim? Hakuna.
Nakutajia mmoja Olyn LondoNimekuuliza unamfahamu mchezaji yoyote wa Basketball kutoka Tanzania zaidi ya Hashim? Hakuna.
Wakisha dominate hizo aspects, wewe unapata faida gani?They dominate and represent Tanzania in many aspects of life: