Waislamu wanatubeba sana!!

Waislamu wanatubeba sana!!

Nakuunga Mkono.
Mimi ni Mkristo pia ila
Mwislamu anapokuwa Raisi huwa mambo yangu yananyooka sana
Utawala wa
Mwinyi
Kikwete
Na
Samia
Nimefanikiwa sana kimaisha.

Ila zama za
Mkapa
Magufuli
Zilikuwa kama Jehanam kwangu mimi. Mambo yangu yalikuwa Ovyo kabisa

Pongezi sana kwa Jamaa Zetu wa Kiislamu.
Mungu awajalie muendelee kufanikiwa.
Nchi hii haina Udini wala Ukabila katika kiwango kisichofaa.
Shida sie wakristo ni roho mbaya na unafiki mwingi mtu ana mtaja Mungu kila saa mara Kristo Tumaini letu mdomoni ila hayaishi matendo mema ya Kristo, imagine Rais ni Mkristo watu wanaonewa hadharani, watu wanauliwa kwenye viroba wala hatoi tamko la watu na anaenda kanisani madhabahuni ana mtaja Kristo na ma padre Wana mpa ruhusa ka si kunajisi Imani nini?
Hafu ni nadra waislamu kuwa mafisadi waliokubuhu ka ni kula kila mtu ale kwa nafasi yake bila kuzuia wengine.
Dah wakristo tujitafakari matendo yetu, wenzetu waislamu ni rahisi kutoa kwa wenye uhitaji ni wakristo wangapi husaidia wenye uhitaji, tunabaki kulaumu waislamu eti Wana majini wakati Siri ni kutenda mema, kufunga mwezi mtukufu, no wonder ma Rais wa kiislamu Wana ishi mda mrefu maana hawana miroho mibaya, pia hawaweki vinyongo na kukomoana.
 
Bila ya kusahau AZAM MEDIA group 90% au zaid ya wafanyakaz wake ni Muslim
 
Raisi akiwa Muislamu mambo yanakuwa wazi na mazuri.

Anakula na sisi tunakula
Na ufisadi wote unajulikana.

Rais akiwa Mkristo kwa hawa waliopita.
Anakula sisi tunalala na njaa.

Ufisadi wote unafichwa ukijitokeza kuuliza unauliwa

Ulifika wakati Mungu aliwachoka akawaua wote tena mwingine akiwa Madarakani a.k.a Magu.

Wake zao wote bado wapo
Maraisi Waislamu wote wapo.

Raisi Mkristo anakuwa Dicteta wa Kutisha sana kama Kim wa Korea Kaskazini.
(Pole Profesa Musa Asad kwa kufukuzwa kazi kwa kuhoji zilipoenda 1.5 Tri ndani ya mwaka mmoja tu wa bajeti)
Wanapenda sana kusifiwa.

Kwa mimi ni Bora Maraisi waendelee kuwa Waislamu wana Karoho flani ka huruma.

Wakristo wanapokuwa ktk hicho cheo wanageuka Mumiani kabisa yaani chinjachinja.
Ni vitisho na visasi na ufisadi uliokithiri.
Ovyo kabisa
 
tanzania waislamu ni 90/% wananchi wake ni waislamu ila wengi hawaingii msikitini lakini kama siku mungu akiwakbusha waingie msikitini sala 5 tanzania itakuwa kama mwezi wa ramadhani kwa siku zote kwenye sensa hawataki kuandika dini na waislamu tanzania wakiamua wote wavae kanzu aaaa utahesabu mmoja mmoja wenye suruali
Wacha we! hizi bangi huwa mnavutia wapi?

Halafu alikudanganya nani kama kanzu ni vazi la kiislamu?

Umeshawahi kuhudhuria sherehe za wahaya?

Unajuwa kwamba mapadre, wachungaji na maaskofu wanavaa kanzu pia?

Kweli wale maadui watatu aliotuambia Nyerere bado tumeshindwa kuwateketeza.
 
Raisi akiwa Muislamu mambo yanakuwa wazi na mazuri.

Anakula na sisi tunakula
Na ufisadi wote unajulikana.

Rais akiwa Mkristo kwa hawa waliopita.
Anakula sisi tunalala na njaa.

Ufisadi wote unafichwa ukijitokeza kuuliza unauliwa

Ulifika wakati Mungu aliwachoka akawaua wote tena mwingine akiwa Madarakani a.k.a Magu.

Wake zao wote bado wapo
Maraisi Waislamu wote wapo.

Raisi Mkristo anakuwa Dicteta wa Kutisha sana kama Kim wa Korea Kusini.
(Pole Profesa Musa Asad kwa kufukuzwa kazi kwa kuhoji zilipoenda 1.5 Tri ndani ya mwaka mmoja tu wa bajeti)
Wanapenda sana kusifiwa.

Kwa mimi ni Bora Maraisi waendelee kuwa Waislamu wana Karoho flani ka huruma.

Wakristo wanapokuwa ktk hicho cheo wanageuka Mumiani kabisa yaani chinjachinja.
Ni vitisho na visasi na ufisadi uliokithiri.
Ovyo kabisa
Hata Sasa tangia Samia aingie madarakani mambo yameanza kuwa bulibuli huku mtaani, watu wameanza kufungua mabiashara kote zilikofungwa mitaani biashara zimetaradi kama zote, kaanza kutoa ajira Kuna Hadi ndugu zangu wamepata ajira na ma tender na wamelipwa hela walizozifamyia kazi zao maisha yamekuwa murua bin murua furaha.
Akiwa Mkristo Sasa yeye atakula na ka circle kake kadogo huku majority ya watu wakiambia Kwa shida na bado Wana create hofu wasifiwe kuwa wao ni wazalendo na ndio wenye uchungu tu na nchi wengine waliharibu nchi.
Dah Mimi naona heri ya mama Samia huko mbeleni naona mwanga, kwanza sikuhizi hatuishi kwa hofu tena tunapiga story tuko huru hatuogopani kama zamani, Rais Mkristo mtu anapigwa marisasi hadharani karibu na bunge na hao wahalifu hawakamatwi what a shame?
Imagine maiti za watu waliokosoa utawala zinafungwa kwenye viroba na ndugu zao hawajui ka si laana ni nini?
Tuendelee tu na ma Rais waislamu na sipendi kuona ma askofu uchwara wanamkosoa Rais wa Sasa maana ni wanafiki wakubwa
 
Mitano tena kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Lazima Mama ugombee tena.

Kura yangu nishakupatia.

Ukimaliza mpe
January Makamba[emoji106]
Bila kupepesa macho.
Atakula na sisi tunakula.

Akimaliza Makamba ampe Hussein Mwinyi[emoji106]
bila mashaka.

Watanzania tunataka Amani, Furaha na Maendeleo.

Na sio Usabaya.
 
They dominate and represent Tanzania in many aspects of life:

1. Football
70% of Simba, Yanga and Azam first evelen teams are dominated by Muslim players.
Not to mention the likes of Mbwana Samatta who shines our name internationally!
View attachment 2049955

2. Boxing
Nothing to say here. Check these names:
Hassan Mwakinyo
Dullah Mbabe
Twaha Kiduku
View attachment 2049956
3. Basketball
Kuna anaemjua successful basketball player other than Hashim Thabit?
View attachment 2049957
4. Muziki
😀😀 Tuseme nini hapa.
Muziki genres karibu zote hapa kuanzia Taarab, Dansi, Urban, Singeli zote ziko dominated nao.
Chibu Dangote, Alikiba, Konde, Raymond Shaaban, Lovebyte, Zuchu, Mbosso, Aslay, Marioo.
View attachment 2049959
Tuendelee?? Alichoki, Late Banza Stone, Mwinjuma, Nasma Kidogo, Malkia Khadija Kopa, Mzee Yusuph, Isha Mashauzi, Late TX Moshi, Late Marijani jabali la muziki, Komandoo Hamza Kalala.

5. Wealth:
Top ten billionaire list in Tanzania is dominated by them. I don't want to mention them. Wanafahamika.
View attachment 2049961
5. Leadership/Governance
Historians (and political experts) agree that awamu zilizotawaliwa na Muslim presidents ndizo zilikua na economic reforms, political stability, hata diplomatic relations na nchi za nje ziliimarika.
Don't mention Ugandan war ilitokea awamu gani, don't mention mauaji ya Mwembechai yalitokea awamu gani.
View attachment 2049963
Food for Thought: Is it a coincidence that all Muslim Presidents are still alive up to date!!!
Wakristo wengi wameenda sana shule ivyo kuingia kwenge entertainment world sio rahisi,waislam shule ni ndogo ivyo option kwao ni kuingia kwenye biashara na fani za burudani.

Hii ipo sana USA,blacks wengi wako kwenye fani za sanaa wakati weupe wako levels zingine kabisa eg. Elon M.
 
Kuna ukwel flan..tho nahis weng elimu ya darasan inawashinda na tokana na umaskin unaosababishwa na kuegemea sana kwenye dini na kusahau mambo ya dunia kunawafanya wawe dhaifu kwenye mambo ya msing na kuhangaika sana na hyo ndo siri ya mafanikio..kuto relax..

Tho behewa hilo la mafanikio hutoa vinara wachache konki kwelkwl

Ila kwa upande mwingne huu behewa lao linatoa weng sana avarage na wenye maisha bora
 
Hiki ni kigezo kingine kwanini asilimia 95 ya nchi za kiislam hazina Amani. Waislam hawajawai kujua wanataka nini maana hata kwenye nchi zenye waislam tupu hawaelewani .
 
Back
Top Bottom