Waislamu wanatubeba sana!!

..huu Uzi Una ukweli Fulani...pamoja na kwamba Una Sura ya udini....ni.kweli kabisa tawala kandamizi kabisa na zilizotesa Raia nchi hii ni tawala za kikristo..na hii inauma na kuudhi Sana....haya ya matajiri na ma star WA kiislam nalo kweli kabisa....na hapa lazima tuseme kuwa ..kwenye ukristo nchi hii kuna unafiki mwingi Sana...kitu pekee nachoona wakirsto wamewazidi Kwa mbali waislam nchi ni kwenye elimu... Kutoka kwenye taasisi za dini ya kikristo...na Kwa maana hiyo waajiriwa wengi.nchi hii naona ni wakristo....Ila Kwa unafiki.. wakristo wanawazidi waislam..
 
Waislam ata tufanye nini hatutaweza kuwa na baba wa taifa!

Baba wa taifa ni mmoja tu milele yote,mkristo Nyerere,alietangulia kubikiri ni wa kuheshimika daima.
 
..kweli kabisa...unafiki Kwa watawala wa kikristo nchi hii umezidi..na labda ndio sababu hawako hai...kufru Kwa Mungu ziliwazidi...ukiondoa Baba WA taifa ambae kifo chake kina utata....
 

Kabla ya kuusoma huu uzi ni jana nilikuwa naongea na sister
Tuliongea kuhusu utawala na waliotangulia mbele ya haki
BW, JKN na John kweli niliwaza tu

Tunayaishi na kuyaona matendo yao ila lawama zinaangukia upande mmoja eti tunalaumu sana na kulialia
 

Kweli wasomi ni wengi na wanaolimaliza Taifa hili ni hao wasomi
Nikikumbuka yale maburungutu aliogawa Rugemalira na kuwapa dini yake tu mpaka maaskofu na wenye ELIMU hujashangaa

EPA, Escrow na mengine
Mtu anapewa 1.5b anasema mboga
Na yule wa Rada pia dini hiyo hiyo

Kwa kweli kusoma sio kusaidia Taifa bali kuliangamiza kwa wizi
Baada ya wakristo kusoma sana na waislamu kupigwa biti kwenye elimu waliamua kufanya biashara

Na leo wao ndio wanaotoa mchango mkubwa katika kulipa kodi nchini

Someni sana ila bado wanafunzi wanajisaidia porini umejiuliza kwanini?

Kalamu inaiba sana
 
Kwa Waislam Uongozi ni Dhima..yaani ni mtego.kwamba kama unaona hutotenda haki ni bora ukae pembeni sababu utakuja kuulizwa namna uongozi wako ulivyowafanyia watu.

Kwa Wakristo Uongozi ni Fahari.ukiwa kiongozi basi wakati wako wa kujifaharisha,kujimwambafai nk nk so ukishaleta mambo hayo ni rahisi sana kutoka kwenye reli.

Viongozi waKiislam fahari yao kubwa ni kuona wale wanaowangoza wanafurahia Uongozi wao,kwa kuishi vizuri na kwa amani.

Yaani kiongozi wa kiislam hawezi kumshindisha mtoto njaa ili anunue baiskeli ya kumringishia Jirani. Fahari ya dunia na vyote vilivyomo si kipaumbele kama Uhai,Furaha,Amani,mshikamano na umoja miongoni mwao.

Kiongozi wa kikristo ni kheri punda afe ila mzigo ufike.
Ni maoni yangu.
 

Sio maoni yako bali ndio ukweli
Uliza mchungaji yeyote anajuwa watoto yatima wangapi au wenye njaa wangapi mtaa wake

Je sadaka wanatoa asaidiwe nani maskini au mtu mmoja aendeshwe kwenye shangingi
 
Kalamu ndo inayofanya dunia izunguke,msomi anaweza kumfilisi tajiri muda wowote kupitia tu taratibu za kiserikali/sheria.

Kila kitu dunia hii kinaendeshwa na shule/sayansi,ata ivyo makundi yote yanahitajiana.
 
Lawama nyingi huwa hazina msingi wowote vile wamejawa na udini ila uhalisia jamaa wako vizuri
 
Sio maoni yako bali ndio ukweli
Uliza mchungaji yeyote anajuwa watoto yatima wangapi au wenye njaa wangapi mtaa wake

Je sadaka wanatoa asaidiwe nani maskini au mtu mmoja aendeshwe kwenye shangingi
Tena Hawa manabii wanakusanya sadaka kwa maskini lakini wao ni matajiri hawajawahigi kutoa msaada kwa watu tofauti na waislamu mkuu, na sifa kuu Ili ubarikiwe lazima uwe mtoaji na kusaidia mayatima na maskini waislamu wako vizuri
 
..kweli kabisa...unafiki Kwa watawala wa kikristo nchi hii umezidi..na labda ndio sababu hawako hai...kufru Kwa Mungu ziliwazidi...ukiondoa Baba WA taifa ambae kifo chake kina utata....
Na huo unafiki na kukosa roho ya utu kumewafanya wasidumu kabisa duniani aisee, Mwinyi ni Rais aliyeitoaga nchi kwenye umaskini mkubwa wa watu kukosa Hadi nguo I wonder watu Wana mlaumu huyo mzee, amewahi kupigwa Hadi kibao na raia na huyo raia hakupotezwa na tofauti Rais angekuwa mkristo
 
Mama wamuongezee tu miaka mingi aisee, kuliko utawala uliokuwa wa Jiwe maisha yalikuwa stress tu na kilio usipoguswa wewe basi ni ndugu yako, chakushangaza sikuhizi watu wameanza kufufua kabisa biashara zao zilizokufa.
Hata huyo Mwinyi huko Zanzibar anapatendea sana haki tu
 
..kabisa dear....
 
Unataka kusemaje naona umezunguka sana
 
Tena Hawa manabii wanakusanya sadaka kwa maskini lakini wao ni matajiri hawajawahigi kutoa msaada kwa watu tofauti na waislamu mkuu, na sifa kuu Ili ubarikiwe lazima uwe mtoaji na kusaidia mayatima na maskini waislamu wako vizuri
matajiri wa kiislamu wanatoa sana kwa moyo....hawa wakrsito wanaojiona wana pesa kama kina gwajima ni majizi matupu yanakusanya sadaka kwa maskini na kuzitumia kwa mambo yao.....hii nchi wanaitia najisi sana hawa wanafiki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…