Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Ndiyo Ukweli WenyeweHata Hamisa Mobeto amejua kutubeba sana huko kimataifa kwa Rick Ross!!
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo Ukweli WenyeweHata Hamisa Mobeto amejua kutubeba sana huko kimataifa kwa Rick Ross!!
HaaKuna ligi inanukia hapa
HaaHata kwenye vilabu vya kitimoto wako "on top"
HaaVyote hivyo unavyowasifia navyo kwenye vitabu vyao ni haramu kwa maana nyingine ni dhambi
Tofautisha race na dini.Mbn matajiri ulioweka Ni wahindi Na waarabu?
😄😃😀😆😆😁😅🤣😅😁Eneo Lake Hili Akija Anasuka Mpira KambaniMwiteni Mzee Mohamed aje huku!😄😄
Hii Inaitwa Long Range MissileKwa hiyo unataka kusemaje labda kwa mfano?
Kwa kweli Mzee wetu Mohamed Said kama ikikupendeza hebu sema jambo kuhusiana na mada hii ya Waislam kuibeba jamii nzima ya Tanzania.Kumbe anayosemaga mzee Mohamed Said kuwa waislam wanaonewa na kutengwa yote siyo sahihi.
Waislam ndio wanaokula keki ya nchi.
Labda mzee Mohamed Said anachokitafuta ni roho za watu wasiokuwa waislam ili afurahishe nafsi yake.
Anakuja Na Data Toka NATIONAL BUREAU OF STATISTICSKwa kweli Mzee wetu Mohamed Said kama ikikupendeza hebu sema jambo kuhusiana na mada hii ya waislam kuibeba jamii nzima ya Tanzania.
Fact mkuu ndo tuamini usitupeleke Kama maccm na rangi zao za kijani toa vielelezo Kwanza Kama mwenzio kwakuwa sio ugomvi maana wewe unaonekana una wivu kupitiliza wahenga wanasema kikubwa kuomba uhai
Race ndo imesababisha wealth sio dini,,,maana kwa wealth wamatumbi wanapata tabu sana huko uswahiliniTofautisha race na dini.
Mkuu punguza jazba msamehee bure kapitiwa tuMleta Mada, angalia sana usije ukamkasirisha MUNGU. Natumaini kuwa MUNGU ameyapuuza makufuru yako hayo. Usilete udini ndugu.
Nitakuuliza neno moja kuhusu hao watawala unaosema hawako hai. Je, Maalim Self Mungu amrehemu, alikuwa Mkristo?. Je unafahamu kuwa Maalim Seif alikuwa Icon halisi ya vyama vya upinzani?. Tena alikubalika kwa watanzania wote dini zote.
Maisha ya mtu yanaamuliwa na Muumba sio wewe wala Ibilisi . Acha kujikinai ndugu omba toba.
Haya, wanamuziki wakubebaje?. Ivi, nyimbo zinazoimbwa leo na hao uliowaorodhesha, ni mstaarabu gani atakayeangalia au kusikiliza nyimbo zilizojaa maneno machafu . Mfano, "mke wa mtu, sumu, mume wa mtu maziwa ".
Ule wimbo Nyegezi. Haya ule wimbo Sukari, unaelewa maana yake?. Hao wanakubeba wewe mwenye mtazamo huo na sio wastaarabu.
Tulio wastaarabu tunapoona michezo ya ajabu ajabu Kama Mapooka tunahamisha channel.
"Wanatubeba", watubeba kutuelekeza Shimoni.
Kalaga bahho.