Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Wasio kua waislamu wote wanawachukia sana waislamu tena kwa imani za kulishwa na wazazi wao toka utotoni
Popote ple atakapokaa Muislamu na non Muslim lzma kutatokea tu kitu
Sisi Waislamu dini yetu inatufundisha Amani ndo maana halisi ya Uislamu na imani yetu ni kua Mungu ni mmoja tu na issa(yesu) sio Mungu bali ni mtume wa Mungu kma Mitume wengine
Sasa sikiliza habari za upande wa pili huko utaambiwa wale ni waabudu majini tu na wana majini mengi tu.Hizi chuki wakristo mnapandikizwa toka utotoni kwenu sasa na nyinyi badala ya kutafuta ukweli mnaishia kuamini ivo ivo.
All Non Muslims jichunguzeni vzr tafuteni ukweli kuhusu dini yenu hlf ndo muanze kuongea.