EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,579
- 21,407
Wewe na huyu alie sema wote ni wapumbavu......kuna mtu alisilimu juzu akiwa anafuga nguruwe ila sheria ya Dini ili muhumru kuziua bila kuziumiza, ange ziuza kwa wengine ni sawa sawa na alio kula hiyo nyama.Itaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya,wakati akiyasema hayo aliwasisitiza waislamu kuielewa Quran zaidi na kutokubaliana na mambo ambayo hayako katika Quran,aliendelea kufafanua kuwa Quran haijakataza kufuga nguruwe bali imekataza kula nguruwe,alisema hata yeye amekuwa akifuga nguruwe ambao wamempa manufaa ya kiuchumi changamoto mbalimbali za ikiwemo uwezo wa kuwalipia karo watoto shuleni,alisisitiza waislamu hawakatazwi kufuga nguruwe kwa ajili ya kujikwamua kutoka katika dimbwi la umasikini
Upumbavu uko wapi?Wewe na huyu alie sema wote ni wapumbavu......kuna mtu alisilimu juzu akiwa anafunga nguruwe ila sheria ya Dini ili muhumru kuziua bila kuziumiza ange ziuza kwa wengine ni sawa sawa na alio kula hiyo nyama.
Anasoma kitabu gani huyu mtu wako? ni mgalatia kama wewe ndo nimesema wewe na mwenzio ni wapumbavu wa kutupwa.Upumbavu uko wapi?
Punguza hasira kobazi,zingatia ushauri wa shehe wewe maamumaAnasoma kitabu gani huyu mtu wako? ni mgalatia kama wewe ndo nimesema wewe na mwenzio ni wapumbavu wa kutupwa.
Sio kwa karibu mkuuKwa mbali inaleta mantiki 😄
Tupe aya inayosema hivyoWewe na huyu alie sema wote ni wapumbavu......kuna mtu alisilimu juzu akiwa anafuga nguruwe ila sheria ya Dini ili muhumru kuziua bila kuziumiza, ange ziuza kwa wengine ni sawa sawa na alio kula hiyo nyama.
Sina hasira na shangaa mwanaume kua mpumbavu na muislamu wake uchwara, uelewa wa muislamu moja ni sawa sawa na Wagalatia 10 wenye degree Za theology hamna muislamu wa kuubili hilo.Punguza hasira kobazi,zingatia ushauri wa shehe wewe maamuma
Najua hawawezi kukubaliSio kwa karibu mkuu
Nakushangaa sana unachopingana nacho ni kitu gani simbilisi wewe,kinachomfanya muislamu ashindwe kufuga nguruwe ni nini?Sina hasira na shangaa mwanaume kua mpumbavu na muislamu wake uchwara, uelewa wa muislamu moja ni sawa sawa na Wagalatia 10 wenye degree Za theology hamna muislamu wa kuubili hilo.
Astagafilullayhi ni nyingi nyumba ya vibodi vya kobazi wengi ila ndio hivyo shehe mwenzao kasema hayoNajua hawawezi kukubali
Hata hapa Hedaru kobaz na wafuasi wa mwanamama Hellen G White hawana ugomvi na nyama ya huyu mdudu.Waislam wa Mbeya wanapitia wakati mgumu kwa hali ya ulaji wa mbuzikatoliki huko kwao.
Kila chochoro ni kaharufu murua ka mdudu.