Waislamu washauriwa kufuga nguruwe ili kujikwamua kiuchumi

Sema Kimeumana
 
Mwaibabile? Hii kali, tumezoea kusikia mwaipopo, huyu mwaibabile naye katokea wapi? Wanyakyusa na uislam wapi na wapi?
 
Mmeambiwa mkifikwa na dhalula mle Nguruwe:
Sasa kama hamuwafugi mtawapata wapi wakati wa hiyo dhalula?
Mnataka awafugie nani?
Kama mnaweka akiba ya pesa ili iwafae wakati wa dhalula ni kwanini hamfugi Nguruwe ili awafae wakati wa dhalula ?

Mi kila weekend nafikwa na dhalula ya chakula na kupata japo ka kilo kamoja tu ka mdudu:
Hakuna haramu hapo no janja janja tu:

[ AL - BAQARA - 173 ]
Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
 
Nyie makubazi kutetea hoja hamjui bali ni kutukana tu. Nilitegemea uje na aya kumpinga shekhe .
Huyo kobazi ndio kobazi mtupu kichwani kuliko kobazi wote afrika mashariki na kati
 
Watakuja kuyapinga maandiko yao wenyewe,Qu'ran yenyewe kwanza huwa inajipinga yenyewe
 
Mwaibabile? Hii kali, tumezoea kusikia mwaipopo, huyu mwaibabile naye katokea wapi? Wanyakyusa na uislam wapi na wapi?
Mbona wapo wanyakyusa makobazi,huwezi kuniambia kwenye ile misikiti iliyoko mbeya katila wanaoswali mle hakuna wanyakyusa
 
Mbona wapo wanyakyusa makobazi,huwezi kuniambia kwenye ile misikiti iliyoko mbeya katila wanaoswali mle hakuna wanyakyusa
hii itashangaza sana kama kule kilimanjaro, kagera ukute wachaga na wahaya ni waislam basi hata wamasai waislam wapo!
 
ifike muda waache kujificha ficha tu.. mbona mdudu hana baya yule..
Allah ana mambo mengi ya kufanya sidhani kama anaweza acha shughuli zake aanze kuwachunga makobazi wasile nguruwe
 
We jamaa mimi nadeal na mpunga,nilikuwa mbarali na ndiko nilipoyashuhudia haya na nikashangazwa hata nikalileta hapa,sasa huko kukashifu unakonibambikiza kunatoka wapi jamaa
Soma uelewe koment nimekubambikizia wapi
 
Kama ni haram kwao kwanini awashauri kufuga? Wafuge wanyama wengine
 
 

Attachments

  • ssstik.io_@giftfabulous1_1750216669521.mp4
    4.7 MB
Warabu wali overate ishu ya nguruwe sijui kwa nini ! Cha ajabu warabu na 1 kufuga mimbwa japo dini imekataza iia nguruwe aah. Mie ni muislim sijawahi fuga nguruwe ila huwa nashangaa sana warabu ku overrate pigs wakati huo huo waislam wengi wanakula kambale, nyama pori, sungura.
Waafrika inatakiwa tuchunguze kauli za hawa watu wa mashariki ya kati kwa imakini sana, vinginevyo jamii yetu itaendelea kuwa masikini milele huku wao wakioga pesa za mafuta na wala hawatugawii zaidi kutuchukua vijakazi wak.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…