Waislamu washauriwa kufuga nguruwe ili kujikwamua kiuchumi

Huu sasa ni ukorofi. Kwann useme waislam kwann usiseme watazania,au wakazi wa mkoa fulani?
 
Hakuna Sheikh hapo maana anayetengeneza pombe,anaye uza, anayekunywa,anayebena na kuitangaza wote wanaingia kundi moja!!!
Sasa tafakari maneno ya huyo mtu Wako.
 
Kabisa shekhe, yaani wakuta mtu amdhulumu mwenzake, ampiga mke, afanya mapenzi kinyume na maumbile.

Nasema hiviii!.... Adhabu ya kabri lazima imhusu yule afanyaye vileee! Amkosea mnyezi munguuu!
Allah atujalie mwisho mwema
 
Kwani Mbeya Kuna Uislam ukiachia mbali waislamu!?
 
Mashehe inabidi wabebe ajenha ya No Pig No money
 
Ni wazo zuri sana, Ila pata picha watu wa Jamaica watushauri waTZ tulime bangi sababu zao la bangi limewasaidia kujikwamua kiuchumi....
 
Mimi ni Rastafarian. Naunga mkono hoja, maana nimefuga mbuzi na ng'ombe kijijini na hadi leo nampango wa kufuga Nguruwe japo sili nyama. Mimi nakula mboga mboga tu na msuba.
 
Wewe na huyu alie sema wote ni wapumbavu......kuna mtu alisilimu juzu akiwa anafuga nguruwe ila sheria ya Dini ili muhumru kuziua bila kuziumiza, ange ziuza kwa wengine ni sawa sawa na alio kula hiyo nyama.
Kwa nini asingewapa wanaokula??
 
Kama hujamsingizia basi haikui dini na sheria inatakikana arejee sheria au aulize wajuzi kwanza. Kwako wewe si vizuri kusambaza kwa mrengo wa kukashifu
 
Wewe na huyu alie sema wote ni wapumbavu......kuna mtu alisilimu juzu akiwa anafuga nguruwe ila sheria ya Dini ili muhumru kuziua bila kuziumiza, ange ziuza kwa wengine ni sawa sawa na alio kula hiyo nyama.
Relax mbona kizimkazi anafuga kwa ajili ya kuogopa mashetani
 
Mimi ni Rastafarian. Naunga mkono hoja, maana nimefuga mbuzi na ng'ombe kijijini na hadi leo nampango wa kufuga Nguruwe japo sili nyama. Mimi nakula mboga mboga tu na msuba.
Hayo ndio mambo sasa,waige kutoka kwako
 
Kama hujamsingizia basi haikui dini na sheria inatakikana arejee sheria au aulize wajuzi kwanza. Kwako wewe si vizuri kusambaza kwa mrengo wa kukashifu
We jamaa mimi nadeal na mpunga,nilikuwa mbarali na ndiko nilipoyashuhudia haya na nikashangazwa hata nikalileta hapa,sasa huko kukashifu unakonibambikiza kunatoka wapi jamaa
 
Hii ndio Wai
Hii ndio Waislamu wanaiita "Astakaflah"
 
Wewe na huyu alie sema wote ni wapumbavu......kuna mtu alisilimu juzu akiwa anafuga nguruwe ila sheria ya Dini ili muhumru kuziua bila kuziumiza, ange ziuza kwa wengine ni sawa sawa na alio kula hiyo nyama.
Nyie makubazi kutetea hoja hamjui bali ni kutukana tu. Nilitegemea uje na aya kumpinga shekhe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…