Waislamu wasiotaka kuendana na mila na desturi za bara Uropa wahamie kwingine, asema waziri wa Ujerumani


Ni kosa sana kwenda kunyanyua makalio kwenye barabara za watu...

 
The truth be told,,,,amesema ukweli mana kuna nchi hasa mashariki ya kati huko kutawafaa zaidi, sema muislam mweusi na mweupe hawakai sehemu moja licha ya kuwa wao ni ndugu katika imani.
Hata mimi linanishangaza sana, sioni waislamu weusi wanioa waarabu
 
Tatizo wanakwenda kunika binuka huko bila kujali wanafanyia wapi, hata kwenye barabarani..

Huyo yesu unaemwita wewe mungu alikuwa akisujudu, mungu anapaswa kusujudiwa ,sasa jiulize wewe unayesali bila ya kusujudu unafuata mafundisho ya nan?chuki inapunguza uwezo wa kufikiri
 
Ni kosa sana kwenda kunyanyua makalio kwenye barabara za watu...

Hauna hojq zaidi ya chuki na utoto mwingi, soma hii uzidi kuumwa bawasiri na UIT sugu. Wewe ni LGBTQ lazima uchukie Uislam.

Data from the 2000s for the rates of growth of Islam in Europe showed that the growing number of Muslims was due primarily to immigration and higher birth rates. In 2017, Pew projected that the Muslim population of Europe would reach a level between 7% and 14% by 2050. The projections depend on the level of migration.
 
Hapana mnakosea na ukweli uko hivi: wale waarabu wanaozikimbia nchi zao na kukimbilia nchi za magharibi zaidi ya theluthi mbili yao hawana mapenzi na uislamu na ndio maana wanapofika kwenye nchi hizo za magharibi huwakuti hata wakihangaika kwenda kwenye misikiti na wala kwenye mfungo wa ramadhani hawahusiki kabisa kufunga.

Ni kama theluthi moja tu hivi ndio wanauenzi uislam na humo humo ndio wanakopatikana wale magaidi wanaosumbua ktk nchi hizo.

Leo hii ikitokea miujiza ya kuwepo kwa mfumo wowote wa kisiasa kama ule uliopo kwenye nchi za magharibi uwe katika nchi za kiarabu basi watakaobaki kama waislam katika nchi hizo hawawezi kuzidi asilimia kumi ya watu wote na sababu ziko wazi.
 
Wewe hakuna unachofahamu ni ubishi tu wa kipumbavu. Asilimia 70 ya waarabu wanaozikimbia nchi zao na kukimbilia nchi za magharibi hawana shida na mambo ya dini na ndio maana wanazikimbia hizo nchi zinazojiita za kiislamu.
 

Your browser is not able to display this video.
 


View: https://www.youtube.com/watch?v=f_PHEKSwztw&t=80s
 

View: https://www.youtube.com/watch?v=F7VQa2nojew&pp=ygUbbWFueSBnZXJtYW5zIHRha2luZyBzaGFoYWRh
 
Wewe hakuna unachofahamu ni ubishi tu wa kipumbavu. Asilimia 70 ya waarabu wanaozikimbia nchi zao na kukimbilia nchi za magharibi hawana shida na mambo ya dini na ndio maana wanazikimbia hizo nchi zinazojiita za kiislamu.
Hao nchi za ulaya na marekani wanaanzisha vita kwenye nchi zao hao wakimbizi halafu wanashangaa kwanini wanakimbilia kwenye nchi hizo. Maajabu haya
 
Sasa tukienda kwengine dini itasambaa vipi ... Lazima twende nchi zisizo za kiislam tuzae tuishi tuache athari ya uislamu na huko
Njoeni uku South America ambapo Uislam unajlikani 0.0000001%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…