Waislamu wasiotaka kuendana na mila na desturi za bara Uropa wahamie kwingine, asema waziri wa Ujerumani

Ni wajinga sana na yanakwenda yanapewa ukimbizi badae yanazaliana na kuanza kubagua waliowapa hifadhi.
Kuna mji nimeona wenyeji wote wamehama wako wao tu wameachiwa mji.
Hapo ni alahu akibaru kila saa,kazi hayafanyi serikali iwahudumie.
 
Hata mimi linanishangaza sana, sioni waislamu weusi wanioa waarabu
Wapo wachache sana! Ila ukiona mwarabu kaolewa na mswahili basi anapitia mengi sana! Na wamepitia/walipitia misukosuko mingi sana!... Na aliyeolewa lazima baadhi ya watu kutoka kwenye familia wamuone mwenzao amewasaliti, hayuko timamu kiakili, karogwa au mtu wa ajabu sana! Hata kama aliyemuoa ni msimamisha dini (moja ya kigezo wanachodai wanakitaka wao, ila ni uongo tu!)

Hao waanzilishi wa hii dini yetu ya kiislam wanaoiita dini ya Imaan ni washenzi na makatili sana! Wanatangaza amani huku wameficha mapanga Wachache sana huwa wamenyooka.

Kumbuka hata mimi ni Muislam pia, ila UKWELI USEMWE!
 
Umesahau Pakistan ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฐ Afghanistan ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ซ Bangladesh ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฉ & Somalia ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ด
Haha..
Si moto utawaka huko?
Kuna mahali niliona muislamu mmoja Pakistan huko alijilipua ndani ya msikiti wakati swala ya ijumaa ikiendelea akaua zaidi ya 100
 
Huwa nashangaa sana jitu limepewa chakula bure linauliza halal haram,
Huwa najibu haram pisha wenzio wale
 


View: https://youtu.be/8sMO0lPJ9Fg?si=n-6Y1pbU6lwQ5AsP
 
naona umeamua kuhara chuki zako dhidi ya uislam
 
Hao wazungu walikwenda kila mahali miaka 100 iliyopita na kuiba resources. Sasa hivi ni wakati wetu kwenda kwao ili na sisi tuifaidi neema waliyoitengeneza kwa jasho na rasilimali zetu. Kama hawataki sisi kwenda kwao Watulipe Matrillion ya Dola kama Fidia kea ukoloni na uporaji wa rasilimali zetu.
Damu ya mababu zangu waliouawa ktk vita vya MajiMaji haitokwenda bure!
 
naona umeamua kuhara chuki zako dhidi ya uislam
Uislamu una matendo ya chuki ndiyo maana wenye akili timamu hawautaki.
Iran: Binti hajafunikwa kichwa, anauliwa
Zanzibar: Ikifika Ramadhan, wanaanza kuchapa viboko watu wanaokula hadharani. Funga yako inahusu vipi watu wengine? Dini yako isiyo kero kwa wengine
 
Ni upumbavu kuweka machapisho yanayolenga kuonesha chuki, kebehi, mashambulizi dhidi ya watu wa dini nyingine. Umezaliwa umekuta wazazi wako ni waumini wa hiyo dini unayoiamini ukafuata mkumbo wa imani. Ungekuta wazazi waislamu ungekuwa muislamu as well.
 
Wangapi wamefia mikononi mwa polisi marekani,Tanzania nk!?..lilikua suala la dini au misconduct ya polisi!?..kule new Zealand mkiristo alienda kutembeza risasi msikitini watu wakiswali,alisukumwa na ukiristo wake,ni maagiza ya ukiristo!?..china wanakamata waislam na kuwalazimisha kula nguruwe,kutofunga Ramadan na kuwahasi,wanatumwa na Imani yao!?..si ukatili!? punguza chuki ikiwa huwezi achana nazo kabisa
 
Sasa sijui kwann umeamua ku-share hiyo link na mimi hapo...

Mimi ni Muislam, nazungumza kile cha kweli kutoka moyoni na ninayoyajua.
Nakuona kweli wewe ni muislamu ? Sijui Nani alikupa Huo uislamu ? Au ulipewa kanisani?
 
Sawa ,, kwanini mnapenda kukimbilia inchi za makafiri na sio zenu,,, waarabu kutwa kuchwa wanawaza kwenda USA, Canada,na ulaya kwanini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ