Waislamu wasiotaka kuendana na mila na desturi za bara Uropa wahamie kwingine, asema waziri wa Ujerumani

Nakuona kweli wewe ni muislamu ? Sijui Nani alikupa Huo uislamu ? Au ulipewa kanisani?
Tunapoelekea naona si pazuri. Achana na mimi tafadhali, sikujui wala hunijui.

Alafu cha kusikitisha huna hujualo. Ni uchawa tu unakusumbua.
 
Mnawaita makafiri cha ajabu mnaenda kuishi kwenye nchi zao kwanini msiende syria, Gaza, Iran, iraq, pakistan, afghanstan
 
THUBUTUUUU....Hawaondoki hawa hata wafanywaje

Ni bora waishi huko huko kwa wanaowaita Makafiri kuliko waende kwa ndugu zao huko Yemen, Afghanistan, Pakistan na Somalia

Ila bado wanawaita Wajerumani makafiri...Waislam wanafiki SANA
Dini ya kiislamu ni ya kishenzi sana
 
Tunapoelekea naona si pazuri. Achana na mimi tafadhali, sikujui wala hunijui.

Alafu cha kusikitisha huna hujualo. Ni uchawa tu unakusumbua.
Wewe Itakuwa muislamu unayejuwa sana labda mwalimu wako ni Nabii wako Tito
 
Adabu hawana,wewe unaenda kwenye nchi za kikristo halafu unaanza kuleta mila na tamaduni zako ndio zifuatwe,wee uliona wapi!?
Nchi ipi ni ya Kikristo duniani? Hata hiyo Vatican inasuasua
 
Ya mwaka 1939 hadi 1945 yanataka kujirudia Germany

Katika Vita vya Kidunia vya pili, Ujerumani ilitaka kuwashinda wapinzani wake katika mfululizo wa kampeni fupi huko Uropa.

Ujerumani ilishinda haraka sehemu kubwa ya Uropa na ikashinda kwa zaidi ya miaka miwili. Ujerumani ilishinda na kuiteka Poland (ilishambuliwa Septemba 1939), Denmark (Aprili 1940), Norway (Aprili 1940), Ubelgiji (Mei 1940), Uholanzi (Mei 1940), Luxembourg (Mei 1940), Ufaransa (Mei 1940), Yugoslavia. (Aprili 1941), na Ugiriki (Aprili 1941).

Lakini, Ujerumani haikushinda Uingereza, ambayo ililindwa kutokana na shambulio la ardhini la Ujerumani kutokana na bahari iliyoizunguka Ungereza na Jeshi la Wanamaji la Kifalme.

Mnamo Juni 22, 1941, vikosi vya Ujerumani vilivamia kwa ghafla Muungano wa Sovieti . Lakini Ujerumani haikuweza kuushinda Umoja wa Kisovieti, ambao pamoja na Uingereza na Marekani ziligeuza wimbi la vita na hatimaye kuishinda Ujerumani mnamo Mei 1945
 
Kila siku wanaimba kama wimbo kwamba mataifa ya magharibi ni makafiri lakini Cha ajabu hao makafiri ndio wanawapa hifadhi ya ukimbizi ndugu zao katika Imani hawataki hata kuwasikia hii dini ina unafki mwingi sana
 
Chomeni moto wanaowaletea madudu katika nchi yenu hitler angekuwepo angewatia kibiriti HONGERA KWA KULITAMBUA HILO WATU WANAFUATA MAMBO YA HADITHI HADITHI ZA KIPUZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…