Waislamu wasiotaka kuendana na mila na desturi za bara Uropa wahamie kwingine, asema waziri wa Ujerumani

Sasa tukienda kwengine dini itasambaa vipi ... Lazima twende nchi zisizo za kiislam tuzae tuishi tuache athari ya uislamu na huko
Well ni jambo jema kwa mtwzamo wenu,Ila kama hawataki huwezi kuwalazimisha, kitu Bora ni kila watu waishi kwao na tamaduni zao,
Arabs, na Africans, hathpendwi ulaya, kwa sababu hakuna cha maana tunachopeleka, sie tunaenda kula manono waliojenga wazungu, Ulaya, haizuii mchina, au, kaburu wa SA, au MTU tajiri, talented kama Dangote kwenda ulaya, Ila wale makupe choka mbaya wanaovuka Mediterranean au wale Arabs wa Afghanistan, waliojaa chawa,wale hawatakiwi kabisa.
Mzungu anamkaribisha Mhindi, anajua pale kuna kichwa cha IT, na udokta, African, anazamia aende kula manono, ukiangalia mitandaoni, Africans, ni kukata mauno tu barabarani kuchekesha wazungu! Tubaki kwetu, tupige elimu,tuive,kwenye IT, AI, udokta nk, wao wenyewe watatufuata
 
Uislamu umeikosea nini dunia!
Mbona kila kukicha nikupigwa mawe??
Hawa watu wako demon possessed; halafu kwa ujinga waliojazwa na kitabu chao wanafikiri ati wako karibu kupata ushindi wa kuifanya Dunia yote itawaliwe kiislam. Watu wako na misikiti ya kusalia halafu bado wanafunga barabara ati waswali! Kule Uingereza baada ya Waislam walioko chama cha Labour kushinda Umeya katka miji Saba wamemuandikia Kiongozi wa Labour takribani 17 demands, kwamba tumesaidia Labour kushinda uchaguzi w Serikali za Mitaa tunataka tutimiziwe masharti yetu ya Uislam. Kati ya hayo ati wanataka wanafunzi waislamu watengewe vyumba vya kuswalia shuleni. Serikali ya Labour iwawekee vikwazo Israel etc.
 
Mufti umeelewa kweli?
sana tenaaaaa, lakini kama wao walikwenda nchi za kiislamu wakatawala, wakapeleka waliyoyataka wao na kuharibu mfumo mzima wa maisha uliokuwepo, sasa ni zamu yao na wao wastahmili tu mwisho mambo yatajibalance.
 
The truth be told, amesema ukweli maana kuna nchi hasa mashariki ya kati huko kutawafaa zaidi, sema muislam mweusi na mweupe hawakai sehemu moja licha ya kuwa wao ni ndugu katika imani.
Mwislam mweupe aka mwarabu anaona mweusi kama mtumwa ama kijakazi. Anastahili kutumikishwa
 
Ikishakuwa chini ya waislam muanze ugaidi halafu mtakimbilia wapi?!
 
Daaa wewe umeongea ukweli mwingi saaaaana
 
Its too late hao wamagharibi hawaendeshwi tena na propaganda wameshaelimika wanajua baya na zuri tofauti na wewe kilaza cheki wasomi hao
 

Attachments

  • VID-20240516-WA0032.mp4
    39.7 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…