Sisi ni Watanzania kwanza halafu ndiyo zinakuja dini zetu.
Je una uhakika wa unachokisema.
Je unaijua Mou yenyewe na unajua kanisa linakwapua kiasi gani toka katika Serikali masikini ya Tanganyika.
MOU ya Kanisa na Serikali ilifungwa mwaka 1992 na Fisadi EL. Kila mwaka makanisa yenu yanapata Billioni 60 (sasa hivi yanapata Billioni 91) .
Toka 1992- 2011 ni miaka 19= 60,000,000,000 x 18 + 91,000,000,000= Trilioni 1.17 or Trilioni 1.2. Kutoka katika kodi za WATANZANIA.
Jiulize kama Serikali ingekuwa kila mwaka kutokana na pesa hizo ingekuwa inajenga hospitali 2 na labda chuo kimoja na secondari 3. Je sasa ingekuwa imefikia wapi?
Kwanini wazidi kukodi kwa kanisa? Kwa mwenye akili timamu atajiuliza kama kanisa waliweza kujenga kwanini washindwe kuviendeleza?
Lahaula!!! Mbona wewe umeandika kama kilaza kulikoni?
Chama
Gongo la Mboto DSM
Ulitaka niseme Tanzania iko mbele ya Uislaam wangu? unanshangaza.
Ukiona mtu anaanza matusi ujuwe hana hoja.
Hii mechi kati ya uislam na ukristo kwenye ligi ya Udini inafanana na ile ya El classical ya La Liga . Pamoja na hayo yote sisi sote ni Watanzania na tunapendana tu ila tunapita kwenye kipindi kibaya katika historia ya nchi yetu. Nina uhakika tukipata viongozi wazuri na uelewa wa watanzania ukiongezeka tutabaki salama kwenye safari yetu...!Ligi ya udini ishaanza tena hahahahah
tuone sinema inavyoendelea.
Waislamu huwa mnanichekesha sana mnapojenga hoja. Huwa ninajiuliza hivi huko misikitini huwa kuna watu wa aina gani. NO wonder all muslims educated huwa hawasiklizi mawaidha baada ya sala!
Hizo pesa zinazotolewa na serikali ni kwenye taasisi za kikristu zinazotoa huduma kwa jamii. Sio kwaajili ya kuendeleza/kuendesha ukristu kama makanisa. FYI hiyo MoU haimo kwenye katiba ya nchi na haijavunja kipengele chochote cha katiba. Endeleeni kuwadanganya waislamu kwamba hospitals na shule zote za kikristu zimepatikana kutokana na MoU. Mtabaki watu wa kulalamika milele.
Imagine kama Mkoa wa Kagera hospitali zote za wilaya ni DDH (District Desgnated Hopital). Eti leo serikali iache kuzi subside hizo DDHs na ianze kujenga za kwake, hivi hiyo malaria, UKIMWI, Pneumonia, TB, ARS, etc yatakuwa yanawasubiri tu nyinyi waislamu hadi hizo hospitali zitakapomalizika?!
Mimi ninafikiri MoU hiyo ifutwe tu halafu kila mgonjwa atakayekwenda DDHs, Bugando, Agha Khan, KCMC etc aononesha cheti cha ubatizo kama anacho analipa 1/2 of the cost, kama mtu hana au ana sigida kwenye paji la uso analipa x 10 of Christians ili kufidia wakristu kwasababu ya kutumia huduma zao. Na hivyo hivyo kwenye mashule, kama watoto wa wakristu let say wanalipa 100,000/- per years as school fees, basi waislamu walipe x10 times, 1,000,000/- Nafikiri tukifanya hivi haya malalamiko yatakwisha na waislamu watatia akili kichwani na kujenga hospitals na mashule yao badala ya kuendelea kuwaonea husuda wakristu tu kwa mali zao.

Kikwete alishasema ushikiano kati ya serikali na taasisi za kanisa ni mzuri na akawahakikishia kuwa huo ushirikiano utaendelea. Hujajiuliza kwa nini rais wetu(tena mwislam mwenzako) anaona MoU ina manufaa kwa jamii?Bobuk,
Nafikiri tofauti yangu na wewe ni kuwa wewe unatazama kisiasa zaidi MoU hiyo wakati mimi naitazama kiuchumi zaidi.
Kumbuka kuwa Kama utapata bahati ya kupitia bajeti ya Tanzania (Muungano) ya mwaka 2009/2010 na ile ya 2010/2011 na hata 2011/2012 kwanye jedwali lile la misamaha ya kodi kwa taasisi za kidini na NGO,s utagundua mengi sana.
Kumbuka kuwa makanisa hayo hayo kwa zaidi ya 86% wanasamehewa kodi na vile vile wanapewa bilioni 91 za kuendesha hospital/vyuo/ skuli zao na vile vile kama hospital kunakuw na waganga na manesi wanaolipwa na Serikali katika kuziendeleza.
Mimi nasimamia kuwa kama hospitali hizo zilijengwa na makanisa hayo ni vizuri zibaki kuwa za makanisa na watendaji wake wote wawe wanalipwa na makanisa hayo hayo.
Na serikali ijenge mahospitali yake na kuweka watendaji wake. Kushabikia nyumba yyyyya kukodi/ kupanga ni upunguani wa akili na urudishaji nyuma wa maendeleo ya nchi yenu. Naweza kusema ni wizi mkubwa kuliko EPA.
Jitazameni na mjikomboe katika janga hilo.
Kikwete alishasema ushikiano kati ya serikali na taasisi za kanisa ni mzuri na akawahakikishia kuwa huo ushirikiano utaendelea. Hujajiuliza kwa nini rais wetu(tena mwislam mwenzako) anaona MoU ina manufaa kwa jamii?
Bobuk, Ndugu yangu tumia busara na akili katika kufikiria mambo kiuchumi zaidi.
Jiulize je ni busara mtu mwenye akili timamu kuendelea kuisifia nyumba ya kupanga badala kuisifia nyumba yake mwenyewe.
Jiulize kwa sasa Kanisa linakwapua Bilioni 91 kila mwaka. Je ni hospitali ngapi wangejenga Serikali kwa mwaka na zingekuwa mali ya Serikali. Kumbuka kuwa katika hospitali hizo madaktari na wauguzi wengi ni waajiliwa wa Serikali ambao katika hizo Bilioni 91 wanazopewa hawamo bali wanalipwa na halmashauri.
Chukulia Tanzania kuna mikoa 30. Kila mwaka Serikali ingeamua kujenga District Hospital 3 na sekondari 3 na cho kimoja kutokana na pesa hizo wanazopewa kanisa. Kuanzia 1992 mpaka sasa kungekuwa na District Hospital 51 na Skuli za Sekondari 51 na vyuo 19 kutokana na pesa hizo tu. Jumlisha na pesa wanazotenga kwenye bajeti za wizara ya Afya na tamisemi. nfikiri kusingekuwa na haja ya Serikali kuwa tegemezi kwa kanisa.
Kumbuka kuwa huduma za afya zipo na zilikuwepo tokea uhuru, mbona hakuna aliyewahi kufa. MoU imeanzishwa 1992. Je tokea 1961 Dec wananchi walikuwa wanapata hudima wapi?
Fikiria kabla kuandika na ili kujali maendeleo ya nchi yake ni vizuri ufikirie kiuchumi zaidi na sio kisiasa.
Pole sana.
Kwa hiyo hata Profesa Shevji na Beregu ni wajinga hawakusoma sio?..
Thanx. Heri ya mwaka mpya !Sweke34.
kama unaangalia MoU kisiasa its Ok. Lakini kama unaangalia kiuchumi basi ina mushkeri mkubwa kwa Taifa lenu.
Nikuulize kwanini mlivunja mkataba na Richmond (Dowans).
Je hiyo inatofauti gani na Bilioni 91 wanazolipwa kanisa kila mwaka? Kwanini serikali isijenge vyuo na Hospitali zake na kutegemea na kujinasibu na hospitali za kanisa. (nimekupa mchanganuo huko juu kama itajenga vyuo 1 hospi 3 na skuli 3 kila mwaka sasa hivi wangekuwa na hospitali ngapi za kwake?
Fikiria kiuchumi na sio kisiasa.
Nakupa heri ya mwaka wako mpya 2012 Sweke.
Bobuk,
Ndugu yangu tumia busara na akili katika kufikiria mambo kiuchumi zaidi.
Jiulize je ni busara mtu mwenye akili timamu kuendelea kuisifia nyumba ya kupanga badala kuisifia nyumba yake mwenyewe.
Jiulize kwa sasa Kanisa linakwapua Bilioni 91 kila mwaka. Je ni hospitali ngapi wangejenga Serikali kwa mwaka na zingekuwa mali ya Serikali. Kumbuka kuwa katika hospitali hizo madaktari na wauguzi wengi ni waajiliwa wa Serikali ambao katika hizo Bilioni 91 wanazopewa hawamo bali wanalipwa na halmashauri.
Chukulia Tanzania kuna mikoa 30. Kila mwaka Serikali ingeamua kujenga District Hospital 3 na sekondari 3 na cho kimoja kutokana na pesa hizo wanazopewa kanisa. Kuanzia 1992 mpaka sasa kungekuwa na District Hospital 51 na Skuli za Sekondari 51 na vyuo 19 kutokana na pesa hizo tu. Jumlisha na pesa wanazotenga kwenye bajeti za wizara ya Afya na tamisemi. nfikiri kusingekuwa na haja ya Serikali kuwa tegemezi kwa kanisa.
Kumbuka kuwa huduma za afya zipo na zilikuwepo tokea uhuru, mbona hakuna aliyewahi kufa. MoU imeanzishwa 1992. Je tokea 1961 Dec wananchi walikuwa wanapata hudima wapi?
Fikiria kabla kuandika na ili kujali maendeleo ya nchi yake ni vizuri ufikirie kiuchumi zaidi na sio kisiasa.
Pole sana.
duu hii hatari mazeee yaani kongamano la kutetea maslahi ya wais..........u ndani ya katiba na si ya Wadanganyika.......sorry Watanganyika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kweli jiulize utaufanyia nn ukristo/uislam na si U-TZ!!!!!!!!!!! eeeee MOLA 2epusha na hili balaa :A S embarassed:
Mkuu sasa haya matusi... najaribu sana kuwaondoa ktk fikra duni kama hizi lakini wapi mnazidi kunivuta tuu kama Al Pacino ktk mchezo wa sinema ya Godfather..Waislamu huwa mnanichekesha sana mnapojenga hoja. Huwa ninajiuliza hivi huko misikitini huwa kuna watu wa aina gani. NO wonder all muslims educated huwa hawasiklizi mawaidha baada ya sala!
Hizo pesa zinazotolewa na serikali ni kwenye taasisi za kikristu zinazotoa huduma kwa jamii. Sio kwaajili ya kuendeleza/kuendesha ukristu kama makanisa. FYI hiyo MoU haimo kwenye katiba ya nchi na haijavunja kipengele chochote cha katiba. Endeleeni kuwadanganya waislamu kwamba hospitals na shule zote za kikristu zimepatikana kutokana na MoU. Mtabaki watu wa kulalamika milele.
Imagine kama Mkoa wa Kagera hospitali zote za wilaya ni DDH (District Desgnated Hopital). Eti leo serikali iache kuzi subside hizo DDHs na ianze kujenga za kwake, hivi hiyo malaria, UKIMWI, Pneumonia, TB, ARS, etc yatakuwa yanawasubiri tu nyinyi waislamu hadi hizo hospitali zitakapomalizika?!
Mimi ninafikiri MoU hiyo ifutwe tu halafu kila mgonjwa atakayekwenda DDHs, Bugando, Agha Khan, KCMC etc aononesha cheti cha ubatizo kama anacho analipa 1/2 of the cost, kama mtu hana au ana sigida kwenye paji la uso analipa x 10 of Christians ili kufidia wakristu kwasababu ya kutumia huduma zao. Na hivyo hivyo kwenye mashule, kama watoto wa wakristu let say wanalipa 100,000/- per years as school fees, basi waislamu walipe x10 times, 1,000,000/- Nafikiri tukifanya hivi haya malalamiko yatakwisha na waislamu watatia akili kichwani na kujenga hospitals na mashule yao badala ya kuendelea kuwaonea husuda wakristu tu kwa mali zao.
Mkuu ,hivi hii MoU kama inavunja katiba ni nini kinachowazuia waislam kui challenge mahakamani? Kama wewe unaweza kuonyesha jinsi MoU inavyovunja katiba jaribu kutuonyesha hilo hapa jamvini.Mkuu sasa haya matusi... najaribu sana kuwaondoa ktk fikra duni kama hizi lakini wapi mnazidi kunivuta tuu kama Al Pacino ktk mchezo wa sinema ya Godfather..
Hujui lolote kuhusiana na MoU bora nyamaza maana hujaisoma sheria ya katiba kuhusiana na ELIMU. naokuomba rudi tena kausome vizuri Muafaka huo kisha tafuta sheria ya nchi inayohusiana na swala hili utagundua kwamba CSSC sasa hivi ni idara ya wizara mbili za Elimu na Afya..Inahudumiwa kama idara nyingine zozote za serikali ingawa ni Ubia baina ya serikali na Kanisa.
Tatizo kubwa linakuja ni pale wananchi wanapotozwa gharama kubwa kuliko hata shule ama Hospital private.. na kama wewe unaona ni msaada tu kwa nini hamtaki kuachia? kwa nini wewe kama Mkristu unatetea hili kama Mkristu?..unatumia fikra za Udini na dini yako na sisi tunabisha kama Waislaam... Je huoni kama tumechonganishwa?
Ingekuwa waislaam wameshirikishwa hivi ungelalamika badala ya kuunga mkono hivyo jua hapa kuna tatizo.. Kifupi Haitakiwi serikali yetu kuunda ushirika na dini ktk maswala ya ujenzi wa Taifa...
Katiba ya Jamhuri inakataza serikali yetu kujihusisha na dini maana yenyewe haina dini isipokuwa watu wake, hivyo kanisa linapotoa Huduma kwa wananchi ni swala la kikanisa na ndio maana mnasifia kanisa kwa wajibu huo..Tunavyobishana hapa ni kuonyesha wazi kwamba serikali imetutenganisha kwa kukiuka Katiba laa sivyo tusingekuwa tunabishana kwa dini zetu uhalali wa kitu hiki..
Inasikitisha sana watu mnajiita wasomi lakini mnashindwa hata kuona mambo mdogo sana, hata hivyo sishangai ikiwa mtu unaamini mengine mazito ya kushtua kuliko haya!..
Bobuk,
Nafikiri tofauti yangu na wewe ni kuwa wewe unatazama kisiasa zaidi MoU hiyo wakati mimi naitazama kiuchumi zaidi.
Kumbuka kuwa Kama utapata bahati ya kupitia bajeti ya Tanzania (Muungano) ya mwaka 2009/2010 na ile ya 2010/2011 na hata 2011/2012 kwanye jedwali lile la misamaha ya kodi kwa taasisi za kidini na NGO,s utagundua mengi sana.
Kumbuka kuwa makanisa hayo hayo kwa zaidi ya 86% wanasamehewa kodi na vile vile wanapewa bilioni 91 za kuendesha hospital/vyuo/ skuli zao na vile vile kama hospital kunakuw na waganga na manesi wanaolipwa na Serikali katika kuziendeleza.
Mimi nasimamia kuwa kama hospitali hizo zilijengwa na makanisa hayo ni vizuri zibaki kuwa za makanisa na watendaji wake wote wawe wanalipwa na makanisa hayo hayo.
Na serikali ijenge mahospitali yake na kuweka watendaji wake. Kushabikia nyumba yyyyya kukodi/ kupanga ni upunguani wa akili na urudishaji nyuma wa maendeleo ya nchi yenu. Naweza kusema ni wizi mkubwa kuliko EPA.
Jitazameni na mjikomboe katika janga hilo.
Wana nini cha kuingia MoU na serikali? Hivi kuna hospitali yeyote au University yeyote zaidi ya ile waliyopewa ya Morogoro (By the way, hivi serikali ilwauliza wananchi kabla ya kugawa kile chuo bure kwa waislam??). Shukuruni kwamba wakristu wana ustaarabu hawana ulalamishi. I am sure ingekuwa wamepewa wakristu, wangejilipua.Kama unataka pia waweza kuuliza hivi: Wakati Jakaya Mrisho Kikwete anawataka Waislam nao wapeleke ombi kusaini MoU yao, aliwauliza wananchi? Kwanza hilo takwa la kuulizwa unalitoa wapi? Ukipeleka ombi lako serikalini ni hiari serikali kukubali au kukataa.Siyo lazima serikali ikuulize wewe au mtu yeyote au kikundi chochote.
Ningependa kujua ni kwanini hadi sasa Waislam hawajachukua hatua hadi leo hii kusaini MoU yao na serikali?
Ni kikwazo gani kinawafanya wasipeleke document yao kusaini na serikali na badala yake wanalalamika tu na kutaka MoU ifutwe? Kuna nia njema kweli?
Kwa hiyo wewe ndio msemaji wa Chadema? Wewe endelea kuhara damu..
Ni vigumu sana kutofautisha Kanisa na Chadema..
Ha! Ha! Ha! Ha! Hivi Wasomi wa Kikristu ndio umeifikisha Tanzania hapa ilipo? Nilikuwa sijui hongereni sana..
Na ile mikataba ya Madini kwenye migodi ya Buzwagi na Geita, ya miaka 99 waliifanya wasomi wa Kikirstu hongerini sana..
Mikataba ya Richmond, Bandari, Airport, wameifanya Wasomi wa Kikristu..
Nitajie hao wasomi wako wa Kikiristu wamelisaidiaje taifa letu kama sio kufanya ufisadi tu.