Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,324
Ndio shida ya kurukia mambo yasiyokuhusu. Nashukuru leo nimejua kuwa wewe sio mTanzania ila unachochea tu magomvi ya kidini kwa manufaa ya shetani aliyekutuma. Nani aliyesema kuwa serikali haina nia ya kujenga hospitali zake? Kama unaona serikali haijengi hospitali, basi ni kwa kuwa na uwezo mdogo wa kufanya hivyo kwa wakati. Hebu niambie kwa kutumia hizo hizo akili zako ulizotumia kuandika hapa juu: Kwa kipindi ambacho serikali itasitisha kutoa 91bn kugharamia dawa na gharama za uendeshaji kwenye MoU, wananchi wanaotibiwa kwenye hospitali hizo watakuwa hawaumwi mpk ujenzi wa hospitali za serikali ukamilike au wafe tu?
Shida yako ni kuleta ushabiki kwenye jambo ambalo linahitaji sera. Pamoja na kanisa kujitahidi kufikisha huduma kwa jamii zilizopo mbali na huduma, hilo halijafanikiwa kwa kuwa Tanzania ni kubwa na idadi ya watu inaongezeka kila leo. Kwa hiyo ukiwa na akili hata kidogo utaona kuwa serikali hata ikiwa na uwezo wa kujenga hospitali, basi itajenga kwanza ktk maeneo yale ambayo hayana hata za kanisa na sio kuanza ku-replace za kanisa kwa kuwa tu kuna watu ambao kwao elimu na hekima ni tatizo kwa hiyo hawataki. Ikajenge Hospitali mpya pembeni ya Teule Mission Hospital au ikajenge zahanati Mafia ambako hakuna hata moja ya maana sbb kanisa halijafika huko?
Naomba nikupe mfano wa hai wa tatizo lenu la kiitikadi: (tafadhali soma kwa makini na zingatia kuwa natumia muda wangu ili tu uelewe): Jana hapa hapa JF ktk moja kati ya THREAD lukuki za Malaria Sugu kuna moja ilikuwa inazungumzia matatizo ya uongozi ya kisiwa cha Mafia. Kama kawaida Uislamu kuonewa haukukosekana ndani ya uzi huu (as far as Malaria Sugu was the author), na matatizo mengine lukuki in form of manung'uniko kama ilivyo kawaida. Ipo sehemu ktk huo uzi inayoshutumu uongozi wa kisiwa kugawa kiwanja kwa kanisa bila kuzingatia kuwa 99.9% ya wakazi wa Mafia ni Waislamu.
Sasa turudi kwenye My Perspective: Kisiwa cha Mafia kinakaliwa na Waislamu (kwa mujibu wa Malaria Sugu), na ni dhambi kwa kanisa kupewa kiwanja huko. Kisiwa cha Mafia hakina maendeleo, na huu ni ukweli. Sasa tujiulize jambo: Kuna misikiti mingapi na madrassa Mafia? Tunaposema kuwa hamna utashi wa kufanya mambo ya maendeleo siku zote huonekana tunawatukana au kuwaonea. Lkn wkt jana MS anaongea ujinga hapa, alijiona labda ndio anajua saana solution ya matatizo ya Mafia. Sasa amini nawaambia, kama KANISA litaingia Mafia (kama MS hatazuia kanisa kupewa kiwanja), basi ni suala la wakati tu, utaona Zahanati na Shule ya Ufundi mahali hapo. Hiyo ndio namna kanisa hufanya mambo yake.
Najua badala ya kutafakari utarukia mwenye kubisha lkn acha nikwambie: Ukiwa Mafia, kama ukapatwa na serious health problem, kimbilio ni Zahanati ya Mission ya Mchuki. Mchuki si kisiwani bali ni huku Ikwiriri (Rufiji) na inamilikiwa na Kanisa la Pentekoste. Mchuki haipewi ruzuku (Mou) lkn inategemewa na watu hadi wa nje ya Rufiji km Mafia hadi Kilwa. Ndio hospitali inayoongoza hapa nchini kwa kufanya operation za mabusha. Sioni kama kuna utashi wa viongozi wa dini ya kiislamu (huko Mafia) wa kuona waumini wao wanaishi maisha yenye ufani. Na hii ni kwa sababu elimu ipo nyuma kwao. Sasa nyinyi mliopo nje ya nchi badala ya kuwasaidia mawazo na tija waislamu wa hapa, nyie mnatumia fursa ya kuwa kwao nyuma kiufahamu kuleta manung'uniko na chuki.
Mimi sijui wewe ni wa nchi gani lkn naaamini una nchi ulikotoka au kama uko Qatar ndio kwenu, basi fanyeni mambo yatakayoupa uislamu sura ya dini yenye kuleta maendeleo na sio manung'uniko. Jamii za kiislamu hutambulika kirahisi kwa ID ya ufukara na ujinga badala ya tija na maendeleo, na kisiwa cha Mafia ni mfano. Ufadhili mnaoutoa kujenga misikiti, madrassa na ugaidi ungepanuliwa kidogo na kufadhili huduma za jamii pia. Hii itawajengea Waislamu wa Tanzania utamaduni wa kupenda elimu na maendeleo badala ya mafundisho ya chuki mnayoyagharamia sasa.
Na pia nikuombe, Mambo ya Tanzania tuachie watanzania wenyewe ikiwa huna nia ya kusaidia.
Waarabu tuna usemi mmoja. nitauweka katika tafsiri isiyo rasmi kwa kimombo.
The right question is usually better than a right answer for a wrong question.
Sasa suala langu kwako Kabla ya MoU hiyo ya mwaka 1992. Je wananchi ambao ni watanganyika walikuwa wanapata wapi tiba?
Suala hili lianzia kabla ya uhuru wenu 1961 na baada ya uhuru wenu 1961.
nasubiri jibu lako hapa.
lakini kwa kuongeza. Je unaona ni busara kwa serikali yenu kuwa tegemezi kwa kanisa? Na kwanini wasijenge hospital zao wenyewe?
Fikiri kabla kuandika.