Waislamu wazindua Jukwaa la KATIBA


Waarabu tuna usemi mmoja. nitauweka katika tafsiri isiyo rasmi kwa kimombo.

The right question is usually better than a right answer for a wrong question.

Sasa suala langu kwako Kabla ya MoU hiyo ya mwaka 1992. Je wananchi ambao ni watanganyika walikuwa wanapata wapi tiba?
Suala hili lianzia kabla ya uhuru wenu 1961 na baada ya uhuru wenu 1961.

nasubiri jibu lako hapa.

lakini kwa kuongeza. Je unaona ni busara kwa serikali yenu kuwa tegemezi kwa kanisa? Na kwanini wasijenge hospital zao wenyewe?


Fikiri kabla kuandika.

 


Kwa hakika unaongea usichokijua.

Tembele hospitali yoyote ile ya dini kama Bugando, KCMC au hata zile za wilaya kule Kagera mfano mzuri ile ya kule Ngara. Utaona hospitali nzima inaendeshwa na Serikali kuanzia mishahara wa madaktari, wauguzi na wafanyakazi wengine, madawa, gari la wagonjwa na hata upanuzi wa majengo unafanywa na Serikali kupitia halmashauri zake au serikali kuu. Kwa lugha nyepesi all operational cost zinafanywa na Serikali.

Kanisa linapewa Bilioni 91 kwa ajili ya admin cost. Je ni sawa hapo?

Kuhusu gharama za kujenga District Hospital naomba upitie bajeti yenu ya 2011/2012 ya wizara ya Afya na ustawi wa jamii imeainishwa humo kuwa ni kati ya bilioni 4 mpaka 7 ikijumuisha na vifaa vya hospital. naomba unyambue kwenye bajeti kisha utaliona hilo.
 
Malengo ya jukwaa la katiba.

[1] Tanzania ijiunge na OIC

[2] Tanzania ianzishe mahakama ya Kadhi.

[3] Tanzania ifunge ubalozi wa Vatican.

[4] Tanzania ianzishe mfumo wa kugawana madaraka nusu kwa nusu ie baraza la mawaziri likiwa na mawaziri 20 kumi wakristo kumi waislamu
 
Wajameni, hilo jukwaa limezinduliwa leo au limegoma kuzinduka, au lisomewe rugya?
 

(5) Mahospitalini idadi ya madaktari iwe sawa kwa sawa
(6) Idadi ya wanafunzi wanaojiunga vyuo vya elimu ya juu iwe sawa kwa sawa.
(7) idadi ya wanafunzi wanaochaguliwa kujiunga na form one shule za serikali iwe sawa kwa sawa
(9) idadi ya shule za binafsi kwa wakristo na waislamu iwe sawa kwa sawa
 

Tanzania ifunge balozi za Iran na Saudia kwa sababu ni nchi za kidini kama Vatcan!
 

ivi waarabu wa Oman,mambo ya uku Tanzania kwetu yanawahusu nini??
 
Unaweza kuwa na ushahidi mzuri.Je pesa alizokusanya Babu Loliondo wa KKkt Zinanufaisha wakatoliki?.Pesa walizopewa BAKWATA wamepata Shura ya Maimamu?.Wakati wa Uchaguzi Shura walitaka kuandamana BAKWATA wakapinga.Sasa hivi kuna fungu limetolewa na Rais kushughurikia mchakato wa Kadhi lakin akina Shehe Ponda wapo Diamond kutaka kadhi awe kwenye katiba mpya.Pengo na Mfuti wana diplomati paspoti lakin wengine hawana!.Napenda kukwambia acha kudhani kwamba Wakristo ni Katoliki,KKT,Anglikan.Wakristo hawana Mkataba na serikali bali Wakristo wanamkataba na YESU KRISTO katika misingi ya kumukiri
 

hivi hili kongamano limeishia wapi? au kulikuwa hakuna waandishi wa habari?
 
Mkuu nakupongeza kwa kuandika kiadirifu na kueleza fact,binafsi sikufahamu,but your pts speaks the naked fact which wengi wa hawa watu amefunga akili zao,they've vowed nt to understand and choose to live intheir continued illusion,that they alwayz should have enemies,hili tatizo huwa limen'gan'gania rohoni kwenye utu wao! I ussually hardly understand these people,hivi utakuwa na adui ambaye yeye hakuoni kuwa wewe ni adui? Wajua spending much of time,money and other resources kujadili upuuzi kwao nikawaida! Man! Better have strategy for development,muwe na kitu mtaongezewa,km hamjui kutumia hata akhli mliyopewa bure,nayo mnanyan'ganywa nahao wanaofikiria on behalf.
 
 
 
 

very true ndo wanachotaka
 
mbona waislamu wana Mwongozo wao Mzuri wa Qurani na Sunnah ambao umekusanya mambo yote ya maisha,uongozi na siasa,nk,sasa wana haja gani ya kutaka mwongozo wa kibinaadamu? kwa sababu katiba kila muda fulani inarekebishwa,nawashauri waislamu kuwa huu utaratibu wa kibinaadamu wa kujitungia sheria na mwongozo kwao wao hauwafai,watosheke na Qur'ani.
 
Isitoshe,nakumbusha kuna sheikh Mmoja Aitwa Salum Barahiani tayari kazunguruka Karibu mikoa yote akieleza Qur'ani inavyosema kuhusu katiba za kibinaadamu,na akiwataka waislamu wabaki na Qur'ani yao inawatosha.
Pia nalimsikia Sheikh Mussa Kileo akiwa katika msikiti fulani maeneo ya kinondoni akisema :Matatizo ya waislamu si katiba,wala kubadilishwa kwa katiba,na hata katiba iliopo ikibadilishwa bado waislamu wataendelea kuwa na matatizo yao,na akabainisha kuwa tatizo msingi la Waislam ulimwenguni kote ni kuyaweka pembeni mafunisho ya Qur'ani na kuwa mbali na maisha yao,cha kufanya ni kuyageuza maisha yao yaendane sambamba na mafundisho ya dini yao.na hatimaye kupatikana Khalifah (kiongozi Mkuu wa kidini na kisiasa wa Kiislam.
 
Ina maana matatizo ya waislamu ni hayo ya kuwa na kadhi ? mbona Rais kawapa ruhusa kuwa na kadhi wao au wanataka kadhi wa Serikali?kama ndivyo basi serikali hii si ya kiislamu,wafanye kampeni ije serikali yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…