Waislamu wenye msimamo mkali wafunga mtaa London wakitaka kuwepo kwa Sheria za Kiislamu nchini Uingereza

Sheria Law inaua Fikra Huru na Innovation watu wanakalia kuangaliana nani hajafunga Swaumu na nani hajafuga Ndevu ipasavyo.

Technology itafanywa ni haramu na Uingereza kama tuijuavyo ndio mwisho wake.

Kamal Ataturk alikataa huo ujinga ndio maana Turkey inamaendeleo sana.
 
Ndo mana nasemaje mkuu...
Wee angalia aridhio, ukichoka nenda safari Tv ila huku watakubonda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkuu utapigwa ooooh oooh
Ardhio ulihaidi kuwa utafanya setting, lakini umekuwa mtoa Ahadi kama za Waziri MAJARIWA 😁😁. ( punguzeni vile vibibi vilivyopo pale TBC)

. Hawawezi mkuu, hata hivyo inabidi tutoe Ushauri kidunia ili waludishwe hata SYRIA πŸ˜…πŸ˜…
 
Kuna nchi za kiarabu ambazo hata hiyo sharia imelegezwa mno wala haina uzito zaidi ya kwenye ndoa na talaka mfano;

1 Morocco πŸ‡²πŸ‡¦

2. Tunisia πŸ‡ΉπŸ‡³

3. Jordan πŸ‡―πŸ‡΄


Kwa nini wasikazie huku kuwe na full sharia ,wanakazia hizo nchi ambazo hata sio utamaduni wao?πŸ€”
 
Tutakufatilia wewe jichanganye tuuu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Kuhusu alidhio tunaomba msamaha maana kama unavojua huku serikalinu mambo yetu ni taratibu sana ,πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Tutakufatilia wewe jichanganye tuuu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Kuhusu alidhio tunaomba msamaha maana kama unavojua huku serikalinu mambo yetu ni taratibu sana ,πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“. Sawa mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…