Wasaliti wana haki yao maalumu.
Ila msaliti hata akiwa mjapan anaweza kua usaliti hautokani na race dini rangi kabila nk kuna muda pesa au kuamua tu au kutokukubaliana nasera za taifa husikaIsrael ni kama Iran wasaliti hawawezi kosa, kote uko kuna raia wasio asili ya hizo nchi. Israel ina raia Waarabu almost milioni mbili, na ina raia wa asili ya nchi karibu na Waarabu. Nchi ngumu kupata wasaliti ni kama Japan
Wote walio kamatwa ni wayahudi hakuna mwarabu hata mmoja.
Kinacho fanya watu wafanye usaliti ni fedha au shinikizo fulani kutoka kwa walio watuma na si kwasababu ya asili yao.
Katika ulimwengu wa sasa hakuna aliye salama kwenye ulimwengu wa kijasusi.
Hata Azerbaijan kuna wayahudi pia"The suspects, all residents of Haifa and the north who emigrated from Azerbaijan, include a soldier who deserted the military, as well as two minors aged 16-17. They performed some 600 missions over two years, authorities said."
Israel ni kama Iran wasaliti hawawezi kosa, kote uko kuna raia wasio asili ya hizo nchi. Israel ina raia Waarabu almost milioni mbili, na ina raia wa asili ya nchi karibu na Waarabu. Nchi ngumu kupata wasaliti ni kama Japan
Kuna nchi ngumu kupata usaliti, Japan ni vigumu. Marekani ni rahisi mno kupata ina watu kutoka kila kona ya dunia.Ila msaliti hata akiwa mjapan anaweza kua usaliti hautokani na race dini rangi kabila nk kuna muda pesa au kuamua tu au kutokukubaliana nasera za taifa husika