Wait a Minute: Hivi Tunajuaje kuwa kweli Nchimbi Alijiuzulu Umakamu wa Rais?

waja wanasubiri trh 4 akienda kukabidhi ofisi au huyu mpya tayali kashapewa funguo?

Yaliyomkuta Ndugai ndiyo yaliyomkuta Nchimbi...
Hutaki kujiuzulu jamaa wanakujiulizisha kwa barua ya mtandaoni.
ccm imetekwa..
Tanganyika imetekwa...
WaTanganyika amkeni!
Tipu Tipu na Sultan wanarejea kwa kasi!
 
Lissu ni Rais au unasemaje?
 

Je Warioba aliongea na Nchimbi mwenyewe, akiwa huru au chini ya ulinzi?

Je barua anayongelea Warioba ni ipi? Inaonekana ziko zaidi ya moja?

Kazi bado mbichi. Hakuna aliye salama.
 
Hawezi kuwekwa detention mpaka mwisho wa maisha yake kama Aboud Jumbe ?
Hata Aboud Jumbe hakuwa detention kihivyo, alikwenda Zanzibar kuonana na wakeze, watu walimtembelea Mjimwema, aliandika kitabu kikachapishwa.

So, it was not a total lockdown.

Halafu ile ilikuwa age tofauti.

Sasa hivi kila rais anakuja na kipaumbele chake, tumeona watu waliofukuzwa na Magufuli wamerudishwa na Samia.
 
Wacheze karata zao vizuri wasishike wananchi mapmbmb, 100% tupo kizuizini sasa akili za awa matahira wanazijua wenyewe option walizonazo ni kuua tu wasitumie io option kwa huyu
 
Je Warioba aliongea na Nchimbi mwenyewe, akiwa huru au chini ya ulinzi?

Je barua anayongelea Warioba ni ipi? Inaonekana ziko zaidi ya moja?

Kazi bado mbichi. Hakuna aliye salama.
Warioba anakisia kama tunavyokisia, yeye aliuliza uvumi wa mtandaoni na taarifa pekew iliyopo mtandaoni muda ule ni taarifa kwa umma ya kujiuzulu
 
Warioba anakisia kama tunavyokisia, yeye aliuliza uvumi wa mtandaoni na taarifa pekew iliyopo mtandaoni muda ule ni taarifa kwa umma ya kujiuzulu
Warioba alisema kuwa baada ya kuona ile barua mtandaoni, akamtafuta Nchimbi kwa simu na akampata. Nchimbi akathibitisha ile barua, kwa mujibu wa Warioba.

Baadaye Warioba alipomtafuta tena Nchimbi, ndo akawa hapatikani.
 
Warioba alisema kuwa baada ya kuona ile barua mtandaoni, akamtafuta Nchimbi kwa simu na akampata. Nchimbi akathibitisha ile barua, kwa mujibu wa Warioba.

Baadaye Warioba alipomtafuta tena Nchimbi, ndo akawa hapatikani.
Ni kweli alisema hivyo,
ila kwenye suala la kuwekwa kizuizini nayeye anakisia hana 100%
 
I think it's time to watch the party die This shit done got too wicked to apologize It's different, get him/her whacked and disqualified We sometimes even kill the killers cause they like taking innocent lives

Burn a whole village, we start over, it's really that time Why we reason with these niggas if they can't see the future first? Why argue with these clowns if the circus is well at work?

It's love, but tough love sometimes gotta result in violence If you parade in gluttony without givin' truth to the citizens
The graveyard is company, they should just tell us what casket they choose.

Let our kids live well tomorrow 'cause today, the party just died
 
Unaweza kuwa sahihi kuwa ubaya unaweza kufanywa na mtu nje ya mfumo ili kuchafua waliopo kwenye utawala... lakini nilichoshindwa kumtetea rafiki yako aliyetajwa ni kauli zake zenye ukakasi tena mbele ya hadhara,mfano mdogo ni kusema najaribu kunukuu "kuna mtu anatumika kutoa taarifa za ndani ili kufaidisha mabeberu na huu ni usaliti kwa taifa,mimi ni mkubwa wa vyombo vya ulinzi(hapa alitaja kile cheo) na kwa wenzangu ninaowaongoza wanajua adhabu ya msaliti ni nini 🔫"
Hazikupita siku nyingi aliyetajwa kama msaliti akala chuma zakutosha!
 
Duh!
 
Mgombea binafsi no mwiba kwa wanaobebwa/kutegemea magenge a.k.a vyama.
Ndio maana mchungaji hakupendwa, mwenyezi Mungu ampe pumziko jema huko alipo.
Nakubaliana na wewe ss makamu kuwa mali ya rais na chama chake huoni umuhimu ya hicho kitu ndugu, Kwenye katiba mpya iwekwe
 
Mwanasheria Mkuu kafafanua tayari. Kitendo cha kufukuzwa uanachama wa CCM tayari amekosa sifa za kuwa VP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…